Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Sawa mkuu jitahidi usije ukakamatika, naogopa hata sijui nikuite dada au kaka maana humu ni changanyike itoshe tu hiyo mkuu jitahidi usimamie msimamo wako usije kuwa trapped
Asante kwa ushaurs, aema siku hizi nina majukumu mengi sina hata muda wa kwenda kwenye hayo makanisa, nilikua nafanya hivyo enzi zile sina majukumu au wakati mwingine ndugu anaweza akakubana umsindikize ila siku hizi sijui kama hata huomuda nitaupata kwa kweli
 
Mungu akusaidie
 
Ndio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje

Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
Hata shetan anafany miujiza Hiko sio kipimo Cha uchaji moja ya vitu atavyotumia mpinga kristo ni miujiza
 
Huko kutupa mahirizi kwenye makochi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gwajima alishindwa kumfufua magufuli
 
ibada inaanza saa nane na sio wote ni wafanyakazi. mwingine anatoroka nyumbani chapu aende kanisani kwenye maombi, Mwingine anaishi mbali na mji usafiri usiku ni shida. Mbona mwamposa na wengine wanamaliza tu mapema watu wanawahi nyumbani. Ibada ya katikati ya wiki inatakiwa isiwe na mambo mengi lazima iwe specific labda ni maombi tu, sifa n.k anay way ni uamuzi wake na aliyemtuma siwapangii
 
Serikal mpaka ione kuna uvunjifu wa amani si Kila mtu amepewa uhuru wa kuabudu popote na kuabudu chochote, Mimi Huwa nawaangalia tu kwenye TV tu basi
Kumwambia mtu mchawi wake, au nani kamroga sio uvunjifu wa amani? Unajuwa huyo aliyeambiwa jirani yake kamtupia jini au ndo kamuulia mwanae akitoka hapo ataenda kumfanyaje? Na wengine wanaenda mbali zaidi wanataja mpaka majina ya wahusika (waliomtendea huo ubaya).
 

Hahaha wote mnajiita wakristo halafu wengine mnajidai kristo ni wenu peke yenu. Sijui aliwadanganya naniπŸ™„
Wa protestants kkkt wanajiona bora kuliko wakatoliki
Waanglican wanajiona bora kuliko wakatoliki
Wa sabato wanajiona bora kuliko wa anglican
Wa Moravian wanajiona bora kuliko wa sabato
Wa pentecoste wanajiona bora kuliko Moravian
Wa assemblies of God wanajiona bora kuliko wa Pentecoste

Yeye KRISTO mwenyewe anasemaje

Marko 9: 38-40
Yohana akamjibu Yesu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.
Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;
kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
 

Hayo unayopanga hapo ni mambo yako weee binafsi. Kwani kuna mtu wmelazimishwa kwenda huko ibadani? Au kwani kuna mtu anazuiwa kuondoka muda anaoutaka yeye?

Kila kiongozi wa imani ana utaratibu wake ya mwamposa ni ya mwamposa na ya musa ni ya musa

Wacha pilipili ya shamba iwawashe wenyewe wahusika
 
Miujiza kutendeka sio ishu maana hata shetani ni mtenda miujiza ,MUNGU ni roho kama alivyoshetani , nguvu ya Giza(shetani)na nguvu ya Nuru (MUNGU)

Nvyojua pale Kuna nguvu ya Giza na inatenda KAZI kwa matambiki ya kigiza bila watu kujua

USSR
Unatia hurums Shetani kakuteja haswa kwa jinsi unavyompa credit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…