Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Huondosha magonjwa yote yenye uhusiano na nguvu za kiza, kwa yale ambayo ni ya mapenzi ya muumba hayaponi hata kidogo, elewa hilo wana nguvu nzito kupitiliza ya kushindana na vyote vilivyoingia kwa nguvu za giza na uchawi.
[/QUOTE]
Priest Rich Mwacha is a true man of God because he strictly proclaims the word of the living God, and he rebukes sinners and evils with sacred actions.
 
Watu mnajidanganya na kudanganyika sana. Huyu kuhani ni mtoto wa kiroho wa Mlirege kameka a. k.a (mzee wa Yesu) occultic grandmaster kutoka Congo ambaye alifurushwa juzi juzi na uhamiaji kurejea kwao Drc.
Haya makanisa ya waabudu shetani yatawakokota maelfu ya wa Kristo wapenda miujiza. Hawa watapoteza wengi yamkini hata wateule kwa kuyakataa maarifa ya Neno la Mungu.
Biblia inasema wazi siku za mwisho watu watayakataa mafundisho ya Mungu yenye uzima, na kugeukia mafundisho ya mashetani..
Yesu alisema, MTAWATAMBUA KWA MATUNDA YAO. Sio kukemea vitu hadharani, ni kuishi hivyo anavyokemea..
 

Umeona wapi akifundisha mafundisho ya mashetani?
Wapi ambapo hakemei vitu mashetani?
Thibitisha tuhuma zako
Ukishindwa basi wewe ndio Mwalimu wa mafundisho ya kishetani
 
Mzee mkongo askari wa siri wa karibu kipindi cha Mobutu Sese Seko, alikimbia Congo kipindi Mobutu ameondoshwa madarakani.
 
***** wakati wazungu, wahindi,wachina na wajapan wanapambana kuvumbua technolojia mpya nyie bado mnahangaika na dini na manabii wa uongo. Ndio maana Paul Kagame mie namkubali sana alikutaa huu upuuzi wa makanisa kuibuka kama uyoga...ndio maana mmekuwa ma jinga haswa watu wanatorosha almasi na dhahabu yenyewe yamelala usingizi wa pono.
 
Cha kushangaza ni Mungu gani aliye hai anayetenda kazi kupitia maji namafuta ya kunuiza? Kwanini kuna masharti kwa mtu anayehitaji kuombewa afunguliwe kwamba ni lazima atoe sadaka kuanzia shilingi laki tano na watoto shiling elfu hamsini?

Mafundisho ya neno la Mungu na kukemea dhambi anafanya vizuri lakini kwanini ili uombewe ni sharti utoe sadaka kubwa iitwayo maombi ya kujiungamanisha na kuweka maagano na Mungu?

Roho mtakatifu awafunulie watu wasije wakaangamia kwa kukosa maarifa ya rohoni
 
Sijawahi kumpa mwanamke sikio na sitarajii
 
Bwana Yesu amenifuata usiku nikiwa kwenye MAOMBI na kunambia kuwa Jumanne hii tufanye Ibada ya MSALABA na CHUMVI...
 
mama D vipu kuhani wako na kuwadhalilisha waumini waliohama?



Waumini gani waliohama? Lini wamehama? Wapi wamehamia? Na kawadhalilishaje?

Nimetoka kanisani asubuhi nipo online hapa nasikiliza sijaskia chochote
 
Waumini gani waliohama? Lini wamehama? Wapi wamehamia? Na kawadhalilishaje?

Nimetoka kanisani asubuhi nipo online hapa nasikiliza sijaskia chochote
Ngoja nikuletee video kuhani akiwa madhabahuni anawatusi
 
Nakuwekea vipande vya video hivi karibuni tulia kidogo

Karibu, wakati unaweka video endelea kufuatilia mafundisho


Kama upo Tanzania mfuatilie kwa JEHOVAJIRE TV channel 006 Azam, 455 Startimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…