Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Karibu, wakati unaweka video endelea kufuatilia mafundisho

Kama upo Tanzania mfuatilie kwa JEHOVAJIRE TV channel 006 Azam, 455 Startimes

Swap kuelekea kushoto utaona vipande vya clip zote
 
Swap kuelekea kushoto utaona vipande vya clip zote

Ni kweli,

Na hao waliohongwa wakahama na kumtukana yamewakuta ya kuwakuta
Huko walikokua wanatukania wamefukuzwa wote

Matokeo yake wamerudi kwa huyo huyo Kuhani Musa wakidai walipitiwa na shetani😂😂😂

Endelea kujifunza kupitia jehovajiretv
 
Wamerudi? Sasa mbona mchungaji kavujisha siri za kondoo wake kuwa alikuwa shoga?
Mimi haya mambo yamenipita kushoto
 
Wamerudi? Sasa mbona mchungaji kavujisha siri za kondoo wake kuwa alikuwa shoga?
Mimi haya mambo yamenipita kushoto

Wamefukuzwa wote, kilichompata aliyewaita anakijua mwenyewe. Kama upo dar fika kwa kuhani Musa utawakuta

Shoga aliyepona na kumkufuru Roho wa Mungu kwa kuwa firauni

Mathayo 12:31-32
Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa. Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
 
Wamefukuzwa wote, kilichompata aliyewaita anakijua mwenyewe. Kama upo dar fika kwa kuhani Musa utawakuta

Shoga aliyepona na kumkufuru roho wa Mungu a

Mathayo 12:31-32
Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa. Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
Kwa kweli mimi na manabii wa dar hatupatani hivyo kufika huko siwezi.
Ila lililonishangaza ni kuwananga madhabahuni
Kwa hiyo baada ya kurudi hiyo kesi ya ubakaji ambayo eti mchungaji alioteshwa imekwisha au?
 
Kesi ni ya jamhuri
 
Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu.

Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka michache sasa.

Ukifuatilia ni muda mfupi tangu aanze huduma ila utakutana na mambo mengi sana na kati ya hayo mengi ni style ya mahubiri yake, miujiza na maajabu kwenye ibada zake na idadi kubwa ya waumini alionao ndani ya muda mfupi sana maana miaka 3 au mi4 bado huduma ni changa.

Watu wengi tunajiuliza mengi sana juu ya mtumishi huyu. Wengi wetu hatuamini kama yanayonekana kuotokea ni ya kweli lakini pia wapo wanaoamini ni kweli.

ILA SWALI MOJA LA MSINGI "KUHANI MUSA NI NANI HASWA?

Shuhuda zimetolewa hadharani, na ni shuhuda zinazodhihirisha mambo magumu kufikirika katika hali ya kawaida. Ila hawa walioshuhudia wapo kati yetu, mtaani kwetu hata majumbani kwetu, kigoma, chato, kilimanjaro, sumbawanga, kagera, Dar es salaam mmetisha sana. Wenyeji wa huko mnasemaje kuhusu Kuhani Musa?

Fred William Rwegasira.
View attachment 2123813
Mr Rwegasira ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera, Bukoba kule, Mkazi wa Salasala - Dar es salaam. Na sasa anaishi kimara

Innocent Carol Paulo
View attachment 2123832
Innocent Carol Paulo ni mzaliwa wa Chato. Na mkazi wa Tabata - Dar es salaam

Levina Lyamuya na mdogo wake
View attachment 2123876
Levina ni mwenyeji wa Kilema, Moshi- Kilimanjaro

Malkia

Wakorinto

KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NI NANI??

Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY

Cancer

View attachment 2124268

Baada ya siku2
View attachment 2124312

Baada ya miezi 2

View attachment 2147561

Nimekuelewa sana. Ufufuo upo na uponyaji upo

Babu Ochu; mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.

Sasa nadhani ili kuuthubitishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema lazima uthibitishe kwamba hizo shuhuda ni za uongo. Hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa

Kuhusu matumizi ya biblia vifungu vya kuogofya vya ufunuo na agano la kale sioni kama vinaogofya kuliko matendo yanayofanyika na wanadamu wa leo, na wala hauna kipande cha maandiko matakatifu kisichotakiwa kutumika

Zaidi ya yote ili neno liweze kuwasaidia watu lazima lihubiriwe kwa nyakati na mazingira waliyomo na wanayoishi

Kwanini tunaongea maneno mengi ya kukataa bila kusema hayo anaayofanya yapo au hayapo?

Turudi kwenye maada, tuje na shuhuda kwamba yanayotendeka pale ni ya uongo au ni ya ukweli kwa maslahi makubwa ya umma

Umesema "Mtu akianza mara nabii, mtume au kuhani, mwulize ni nani aliyempa hicho cheo;" mimi nitakuuliza je, kina Ibrahimu, Musa, Yakobo walipewaga vyeo vyao na nani

Nimepata video ya Kuhani Musa akielezea historia yake kwa ufupi sana

Kuhusu hilo la kuandamana kwenda mortuary na kiongozi wa dini ili akafufue wafu nalo ulifikirie vizuri.
Habari za miujiza ya kufufua wafu ipo tangu enzi za manabii na Yesu Kristo mwenyewe lakini sio kila mtu anayekufa alifufuliwa

Nimesikiliza baadhi ya shuhuda za watu kufufuka sikuona popote pale ambapo amesema anataka kuwafufua; waliofikwa na hayo matukio ndio wamerudi kupaza sauti ya ufufuo

Sijawahi kusikia hilo la kuwako na kiingilio au la kutoa pesa ili watu waponywe. Labda mama kubwa na wengine hao walioshuhudia hapo juu au ndugu na jamaa zao watupatie ukweli wa hili ili tumjue Kuhani Musa zaidi

GREAT THINKERS wa Jamiiforums hivi huyu KUHANI MUSA RICHARD MWACHA ni nani haswa?
[/QUOTE]
Wewe ni chawa wa kuhani humu ndani. Period
 
Ila mi bado najiuliza mbona hawa wanaofufuka hakuna maelezo sehemu nyingine yoyote zaidi ya ushuhuda wa hapo Kanisani? Ishu ya kufufuka siyo ndogo...
Hakuna anayefufuliwa bosi. Ni drama tu kama za Gwajima wakati ule [emoji706]
page0001.jpg
 
Prophet kanyari

Taperi wa kenya

Ukifuatilia hii utagundua mwenyewe mtu ni mkweli au muongo

Huyu kuhani ni tapeli tu kama walivyo wa tuma na yakutolea
 
Kaingia hivi
👉

😅😅😅😅😅
sasa wewe na akili zako mbona mada yako haikuhusiana na wazazi? Ulishindwa kujiongeza? Mbona nakuonaga na akili sana Mama D shida ipo wapi?
 
sasa wewe na akili zako mbona mada yako haikuhusiana na wazazi? Ulishindwa kujiongeza? Mbona nakuonaga na akili sana Mama D shida ipo wapi?

Wanawake ni wazazi!
Kanisa ni mwanamke

Tusidharauliane
 
Na wewe fanya utumiwe na ya kutolea
Au wewe mwenzangu hutaki na ya kutole!?
Mimi sitaki mama d ila huyu mtume anawadanganya waliopo gizan na watu wasiojitambua , kua gizani sio kitu kibaya sema utatapeliwa mno
 
Back
Top Bottom