Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuna hoja mbili ambazo kwenye mada kama hii zinapaswa kujibiwa.
Mtu akianza mara nabii, mtume au kuhani, mwulize ni nani aliyempa hicho cheo;
Kwenye miujiza kumekuwa na usanii mwingi, mara utasikia kafufua mtu dar, Moro , Mwanza, etc, wakati inakuwa ni usanii mtupu kama ule wa Gajwima kusema anafufua wafu.
Kiongozi wa dini akisema ana uwezo wa kufufua wafu, watu wandaamane naye mpaka mortuary iliyo karibu wakamkabidhi mwili ili aufufue, akishindwa wahakikishe wanamfungia huko mortuary. Hizi tabia za "kufufua "watu hai inabidi zikome.
Duuh wachawi mnaumia sana
 
Ndio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje

Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
Kuhani wa mchongo tu.
Na mimi nitakuwa kuhani soon
Ngoja adake sadaka za kondoo
 
Sio wote wanaosoma huku kwetu wanakalia matofali
Tuheshimiane kidoooooooogo
Ukiona sehemu wanahamasisha michango, juwa hapo kuna ujanja ujanja; wakitakiwa kunyang'anywa leseni wanakuwaga wapole sana. Sasa najiuliza, kwa nguvu walizonazo, inakuwaje wawe wadogo kama pilitoni kwa mamlaka?
 
Mimi na mama yangu tulikua na operation. Kuna mama mmoja alituomba sana sana sana tuende hapo wakati yuko mwenge. Yaan mpaka tukapata imani. Kufika watu ni wengi sijapata ona. Kanisa ni kubwa mnoo. Basi tukatulia. Inada ikaisha usiku ule. Tukaja ambiwa tukitaka tumuone kuhani kwa foleni ni elfu 50. Tukitaka express ni laki moja. Na kama nimechanganya digits basi ni 100k kwa 150 sikumbuki sana ila ni hizo digits. From then hatukuwahi jigusa. Why? Kwasababu kumbe tuliona tunalipia huduma ta kiroho. Sitaongea vibaya maana sijui ya kesho ila nilishaenda kanisa la apostle mutalemwa lile la makongo juu.. its abt money. Unasikia mpaka mwenye dollor 500 aje hapa apakwe mafuta na nabii. Na wanakimbilia wamama haswaa na wale viongozi hasahasa wa kanisani palepale. Yaan its all about money paale kwa mutalemwa. Wale wa 5k na 10k ni kama huwa hawana uzito aisee. Sijahadithiwa niliona. Kuna siku tuliambiwa tutoe hata nauli Mungu atatufikisha majumbani. Sitasahau. Nilivyokua mkosa akili usiku ule wa saa 6 nami nikatoa[emoji23][emoji23][emoji23] again kwa kuhani same thing... hapana. Mimi natulia na kanisano kwangu tu. Imani yangu itaniponya aisee. Dini nzuri ni ile kujali yatima na wajane na wahitajo wotee.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Halafu eti Kuna watu walimtukana TB joshua
 
Kwanini uende kumwona private!? Kwani ibada haikuwatosha kupokea na kufunguliwa?
Popote unapoabudu kitu cha kwanza ni imani. Kama huyohuyo mtumishi ndio anakuongoza ibada yote halafu imani yako unataka umuone ndio upone huna tofauti na Naamani

2Wafalme 5:9 -12
Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni pa nyumba ya Elisha.
Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Enenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.

Lakini Naamani akakasirika, akaondoka, akasema, Tazama, nalidhania, Bila shaka atatoka kwangu, na kusimama, na kuomba kwa jina la Bwana, Mungu wake, na kupitisha mkono wake mahali penye ugonjwa, na kuniponya mimi mwenye ukoma.

Je! Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora kuliko maji yote ya Israeli? Je! Siwezi kujiosha ndani yake, na kuwa safi? Akageuka, akaondoka kwa hasira.
 
Kuna jirani yangu mmoja, amemuacha mumewe na kwenda kuwa mpishi kwa mchungaji

Sasa kama mume hajazi madikodiko stoo na kwenye friji si heri amechagua jambo jema!?

Raha ya mume awe mtafutaji, aweze kumuongoza mke wake kwa upendo na awe mkali kidogo ila asipige
 
Kwanini uende kumwona private!? Kwani ibada haikuwatosha kupokea na kufunguliwa?
Popote unapoabudu kitu cha kwanza ni imani. Kama huyohuyo mtumishi ndio anakuongoza ibada yote halafu imani yako unataka umuone ndio upone huna tofauti na Naamani

2Wafalme 5:9 -12
Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni pa nyumba ya Elisha.
Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Enenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.

Lakini Naamani akakasirika, akaondoka, akasema, Tazama, nalidhania, Bila shaka atatoka kwangu, na kusimama, na kuomba kwa jina la Bwana, Mungu wake, na kupitisha mkono wake mahali penye ugonjwa, na kuniponya mimi mwenye ukoma.

Je! Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora kuliko maji yote ya Israeli? Je! Siwezi kujiosha ndani yake, na kuwa safi? Akageuka, akaondoka kwa hasira.
Mama, hiyo ni biashara kama biashara zingine. Nani alikuambia sisi ndo tulitaka enda mwona private? Hayo ni mambo ya waumini wake na hyakua matakwa yetu. Na issue hapa si pesa ila kwanini huduma ya kiroho aiuze? Mbona wewe hujahoji kwanini anauza huduma? Hakika wanawake ndo wahanga wakubwa sisi. Tunachotwaaa. Na akili tunashikiwa. Haya hongera mbeba maono. Msalimie kuhani....

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mimi na mama yangu tulikua na operation. Kuna mama mmoja alituomba sana sana sana tuende hapo wakati yuko mwenge. Yaan mpaka tukapata imani. Kufika watu ni wengi sijapata ona. Kanisa ni kubwa mnoo. Basi tukatulia. Inada ikaisha usiku ule. Tukaja ambiwa tukitaka tumuone kuhani kwa foleni ni elfu 50. Tukitaka express ni laki moja. Na kama nimechanganya digits basi ni 100k kwa 150 sikumbuki sana ila ni hizo digits. From then hatukuwahi jigusa. Why? Kwasababu kumbe tuliona tunalipia huduma ta kiroho. Sitaongea vibaya maana sijui ya kesho ila nilishaenda kanisa la apostle mutalemwa lile la makongo juu.. its abt money. Unasikia mpaka mwenye dollor 500 aje hapa apakwe mafuta na nabii. Na wanakimbilia wamama haswaa na wale viongozi hasahasa wa kanisani palepale. Yaan its all about money paale kwa mutalemwa. Wale wa 5k na 10k ni kama huwa hawana uzito aisee. Sijahadithiwa niliona. Kuna siku tuliambiwa tutoe hata nauli Mungu atatufikisha majumbani. Sitasahau. Nilivyokua mkosa akili usiku ule wa saa 6 nami nikatoa[emoji23][emoji23][emoji23] again kwa kuhani same thing... hapana. Mimi natulia na kanisano kwangu tu. Imani yangu itaniponya aisee. Dini nzuri ni ile kujali yatima na wajane na wahitajo wotee.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwa waganga mbona mnatoa hadi mbuzi na kondoo?
 
Ukiona sehemu wanahamasisha michango, juwa hapo kuna ujanja ujanja; wakitakiwa kunyang'anywa leseni wanakuwaga wapole sana. Sasa najiuliza, kwa nguvu walizonazo, inakuwaje wawe wadogo kama pilitoni kwa mamlaka?
Kuna sehemu hakuna michango? Maisha yenyewe ni michango Umeme maji majengo
 
Back
Top Bottom