Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Nimeshuhudia watu wakipona kwa waganga wa kienyeji, wapo waliopona kwa mashekhe! Kwanini nishangae uponyaji kwa wanaojiita manabii? Hata Kristo alisema atawakana bila kujali walifanya nini kwa jina lake! Soma hii...

22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Mathayo 7:22

23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
Mathayo 7:23

Onyo! acha kuvutwa na miujiza badala ya neno ambalo ndio Kristo mwenyewe! Usirukie wimbi la kiroho bila kupima na kuongozwa na Roho Mtakatifu!

Mimi nafahamu wengi wakiwemo ndugu wa karibu wanavyohangaika na haya makanisa! Walituimbia tuokoke wakiwa kwa Kakobe, Gwajima, Mwamposa na sasa wapo huko kwa kuhani Musa! Mbaya zaidi maisha yao ni yale yale! Wengjne wamefungua na makanisa wanahangaika huko na watu!

Wengine tuliamua kukaa bila kuyumbayumba Kanisa Katoliki! Mawimbi yakija tunakimbilia kitubio, tunaabudu Ekaristi, hudhuria misa na jumuiya, kutii maagizo ya Kanisa! Upendo kwa jirani na kusaidia wenye huhitaji! Ukipata kidogo unatoa Zaka! Maisha yanaenda salama na amani! Tutulie kwa Bwana kwenye Kanisa lako na kutii badala ya kurukaruka kutafuta overnight miracles!
 
Matimizi mabaya ya maandiko na tatizo hapa ni NENO la KRISTO haliko kwa wingi miongoni mwetu vinginevyo msingekuwa na shaka na Kuhani Musa!
 
Nchi ina wapuuzi wengi sana kuna limoja linawakanyagisha watu mafuta ya alizeti na linapiga hela kwa kwenda mbele yaani , nchi hii ukiwa msanii kidogo tu utaishi maisha mazuri sana , kimsingi dini ni biashara nzuri sana hasa ukijua kupiga perepete za kisanii
Imani huhamisha milima hata maji ya kandoro ukiamini yanaweza kubadilika na kuwa Dani Safi Takatifu ya Yesu!
 
UONGO MTUPU, HAKUNA NA HAIWEZI KUTHIBITISHWA NA YEYOTE HATA KUNA MTU ALIKUFA AKAFUFULIWA NA HUYO KUHANI UCHWARA WENU.
Maigizo ya kitoto tu, kuhani wenu amewapata watu wenye akili ndogo amewageuza mavuvuzela wake huku akiwalia na vijisenti vyenu vya kuganga njaa
Mbona unatumia nguvu nyingi kupinga? Yesu atakalo kulifanya lolote hulifanya wala hakuna wa kumzuilia.
 
Nimeshuhudia watu wakipona kwa waganga wa kienyeji, wapo waliopona kwa mashekhe! Kwanini nishangae uponyaji kwa wanaojiita manabii? Hata Kristo alisema atawakana bila kujali walifanya nini kwa jina lake! Soma hii...

22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Mathayo 7:22

23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
Mathayo 7:23

Onyo! acha kuvutwa na miujiza badala ya neno ambalo ndio Kristo mwenyewe! Usirukie wimbi la kiroho bila kupima na kuongozwa na Roho Mtakatifu!

Mimi nafahamu wengi wakiwemo ndugu wa karibu wanavyohangaika na haya makanisa! Walituimbia tuokoke wakiwa kwa Kakobe, Gwajima, Mwamposa na sasa wapo huko kwa kuhani Musa! Mbaya zaidi maisha yao ni yale yale! Wengjne wamefungua na makanisa wanahangaika huko na watu!

Wengine tuliamua kukaa bila kuyumbayumba Kanisa Katoliki! Mawimbi yakija tunakimbilia kitubio, tunaabudu Ekaristi, hudhuria misa na jumuiya, kutii maagizo ya Kanisa! Upendo kwa jirani na kusaidia wenye huhitaji! Ukipata kidogo unatoa Zaka! Maisha yanaenda salama na amani! Tutulie kwa Bwana kwenye Kanisa lako na kutii badala ya kurukaruka kutafuta overnight miracles!

Wewe unamtukuza unayemuamini na kumtumikia. Ndio maana unaamini hayo hayafanyiki kwa jina la Yesu Kristo

Ila usisahau kwamba huyo usiamuamini kwamba ndio anayatenda hayo yeye ndio mfalme wa mbingu na nchi hata huyo unayemuamini anapiga magoti kwake

Luka 11:14-38
Basi Yesu alikuwa anamtoa pepo mchafu kutoka kwa mtu aliyekuwa bubu. Yule pepo mchafu alipomtoka yule mtu aliyekuwa bubu, akaanza kuongea, nao umati wa watu ukashangaa. Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, yule mkuu wa pepo wachafu wote.” Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. Yesu akajua mawazo yao, naye akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Nayo nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe itaanguka. Kama Shetani amegawanyika mwenyewe, ufalme wake utasimamaje? Nawaambia haya kwa sababu ninyi mnadai ya kuwa mimi ninatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli. Kama mimi natoa pepo wachafu kwa nguvu za Beelzebuli, wafuasi wenu nao je, wao hutoa pepo wachafu kwa uwezo wa nani? Hivyo basi, wao ndio watakaowahukumu. Lakini kama mimi ninatoa pepo wachafu kwa kidole cha Mungu, basi Ufalme wa Mungu umewajia. “Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha anapoilinda nyumba yake, mali yake iko salama. Lakini mtu mwenye nguvu zaidi kumliko akimshambulia na kumshinda, yeye humnyangʼanya silaha zake zote alizozitegemea, na kuchukua nyara. “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.

“Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati. Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’ Naye arudipo na kuikuta ile nyumba imefagiliwa na kupangwa vizuri, ndipo huenda na kuchukua pepo wachafu wengine saba wabaya kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo. Nayo hali ya mwisho ya yule mtu huwa ni mbaya kuliko ile ya kwanza.” Ikawa Yesu alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya ule umati wa watu akapaza sauti akasema, “Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya!” Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” Umati wa watu ulipokuwa unazidi kuongezeka, Yesu akaendelea kusema, “Hiki ni kizazi kiovu. Kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ya Yona. Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninawi, ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki. Malkia wa Kusini atasimama wakati wa hukumu na kuwahukumu watu wa kizazi hiki. Kwa kuwa yeye alikuja kutoka miisho ya dunia ili kuisikiliza hekima ya Solomoni. Na hapa yupo aliye mkuu kuliko Solomoni. Siku ya hukumu, watu wa Ninawi watasimama pamoja na kizazi hiki na kukihukumu; kwa maana wao walitubu waliposikia mahubiri ya Yona. Na tazama, hapa yupo yeye aliye mkuu kuliko Yona. “Hakuna mtu yeyote awashaye taa na kuiweka mahali palipofichika au kuifunikia chini ya bakuli. Badala yake huiweka juu ya kinara chake, ili watu wote wanaoingia waone nuru. Jicho lako ni taa ya mwili wako. Kama jicho lako ni zima, mwili wako wote pia umejaa nuru. Lakini kama jicho ni bovu, mwili wako wote pia umejaa giza. Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyoko ndani yako isiwe giza. Basi ikiwa mwili wako wote umejaa nuru, bila sehemu yake yoyote kuwa gizani, basi utakuwa na nuru kama vile taa ikuangazavyo kwa nuru yake.” Yesu alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Yesu akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani. Yule Farisayo akashangaa kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula.
 
Imani huhamisha milima hata maji ya kandoro ukiamini yanaweza kubadilika na kuwa Dani Safi Takatifu ya Yesu!
hata wewe huna akili vile vile , nyie ndio wooote mitaji ya makuhani na manabii feki
 
Kuna shule ya mpya (ya A level) ilifunguliwa huko kibaha, iko full equipped, kila kitu kimo!

Wakatangaza kupokea na kuwasomesha bure wanafunzi waliopata div 1 single digit, yani hata Kama yuko mkoani mzazi hutoi hata nauli (wanagaramia kila kitu).

Msiipimie nguvu ya advertising (matangazo) haswa katika zama hizi ambapo biashara zimekuwa na ushindani mkubwa. Inakulazimu uje na mbinu mpya upige hela chapchap!

Kwenye biashara ya mashule ya sekondari siku hizi wanatumia lile jedwali la mwisho kabisa linaloonyesha matokeo ya kila somo ( EXAMINATION CENTER SUBJECT PERFORMANCE)
Utaskia "... imeongoza katika somo la biashara kimkoa na kushika nafasi ya nne katika somo la fizikia...." , Miaka ya nyuma watu hawakujua umuhimu wa hili jedwali, kumbe linaweza kutumika kibiashara!

Nawapongeza sana wafanyabiashara wote wanaojitahidi na kupambana kila siku kuvumbua mbinu mpya zenye 'usalama' kwa jamii ili kupiga pesa!

KAZI IENDELEE.
 
Na ndio utumbie huyu Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani haswa? Hebu pita pale Benjamin Mkapa Hospital na Muhimbili hospital pale upanga uje na maelezo ya kueleweka

Maana na yeye anaongoza kwenye kuombea watu na wakapata kupona kama hivi

@ hawa wajuajiwabishi nimewawekea kila kitu ili wapingue kwa proof ila naona wameingia mitini, na wachache waliobaki ni wa blahblah tuu

Cc Janja weed MTAZAMO Eddy Love msonobali atlas copco
 
Wewe unamtukuza unayemuamini na kumtumikia. Ndio maana unaamini hayo hayafanyiki kwa jina la Yesu Kristo

Ila usisahau kwamba huyo usiamuamini kwamba ndio anayatenda hayo yeye ndio mfalme wa mbingu na nchi hata huyo unayemuamini anapiga magoti kwake

Luka 11:14-38
Basi Yesu alikuwa anamtoa pepo mchafu kutoka kwa mtu aliyekuwa bubu. Yule pepo mchafu alipomtoka yule mtu aliyekuwa bubu, akaanza kuongea, nao umati wa watu ukashangaa. Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, yule mkuu wa pepo wachafu wote.” Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. Yesu akajua mawazo yao, naye akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Nayo nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe itaanguka. Kama Shetani amegawanyika mwenyewe, ufalme wake utasimamaje? Nawaambia haya kwa sababu ninyi mnadai ya kuwa mimi ninatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli. Kama mimi natoa pepo wachafu kwa nguvu za Beelzebuli, wafuasi wenu nao je, wao hutoa pepo wachafu kwa uwezo wa nani? Hivyo basi, wao ndio watakaowahukumu. Lakini kama mimi ninatoa pepo wachafu kwa kidole cha Mungu, basi Ufalme wa Mungu umewajia. “Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha anapoilinda nyumba yake, mali yake iko salama. Lakini mtu mwenye nguvu zaidi kumliko akimshambulia na kumshinda, yeye humnyangʼanya silaha zake zote alizozitegemea, na kuchukua nyara. “Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.

“Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati. Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’ Naye arudipo na kuikuta ile nyumba imefagiliwa na kupangwa vizuri, ndipo huenda na kuchukua pepo wachafu wengine saba wabaya kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo. Nayo hali ya mwisho ya yule mtu huwa ni mbaya kuliko ile ya kwanza.” Ikawa Yesu alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya ule umati wa watu akapaza sauti akasema, “Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya!” Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” Umati wa watu ulipokuwa unazidi kuongezeka, Yesu akaendelea kusema, “Hiki ni kizazi kiovu. Kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ya Yona. Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninawi, ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki. Malkia wa Kusini atasimama wakati wa hukumu na kuwahukumu watu wa kizazi hiki. Kwa kuwa yeye alikuja kutoka miisho ya dunia ili kuisikiliza hekima ya Solomoni. Na hapa yupo aliye mkuu kuliko Solomoni. Siku ya hukumu, watu wa Ninawi watasimama pamoja na kizazi hiki na kukihukumu; kwa maana wao walitubu waliposikia mahubiri ya Yona. Na tazama, hapa yupo yeye aliye mkuu kuliko Yona. “Hakuna mtu yeyote awashaye taa na kuiweka mahali palipofichika au kuifunikia chini ya bakuli. Badala yake huiweka juu ya kinara chake, ili watu wote wanaoingia waone nuru. Jicho lako ni taa ya mwili wako. Kama jicho lako ni zima, mwili wako wote pia umejaa nuru. Lakini kama jicho ni bovu, mwili wako wote pia umejaa giza. Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyoko ndani yako isiwe giza. Basi ikiwa mwili wako wote umejaa nuru, bila sehemu yake yoyote kuwa gizani, basi utakuwa na nuru kama vile taa ikuangazavyo kwa nuru yake.” Yesu alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Yesu akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani. Yule Farisayo akashangaa kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula.
Kiukweli nimetoka kapa, nieleweshe huu ujumbe wako Mama D
 
Ni ngumu kunielewa sababu wewe ni chawa wa shetani🤣🤣🤣🤣
Yaani unaamini shetani ndio mwenye nguvu ya kutenda maajabu na sio Mungu
Nikuombee ukutane na nguvu zake uujue uweza wake
 
hata wewe huna akili vile vile , nyie ndio wooote mitaji ya makuhani na manabii feki
Kutokuamini Kazi kubwa na Miujiza ya Yesu Kristo kama wewe ndo ukosefu wa akiki kwani kumcha Mungu ni mwanzo wa hekima
 
Wakristo wasiojitambua wataibiwa mno...ni.muda muafaka sasa umefika wa kuwasaidia...this guys are corning live from poor.
 
Kwakweli waKristo wasio na Kristo wanaibiwa sana ufahamu wao. Wanaishia kumtukuza shetani katika kila jambo na kusahau kwamba mambo yote yanayomshirikisha Mungu yanatendeka kwa uweza wa Mungu

Kama hujui kuwatambua waongo basi kajifunze

Kumbukumbu la torati 13: 1-5

Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo; wewe usiyasikize maneno ya nabii yule, au yule mwotaji wa ndoto, kwa kuwa Bwana, Mungu wenu, yuawajaribu, apate kujua kwamba mwampenda Bwana, Mungu wenu, kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote.

Tembeeni kwa kumfuata Bwana, Mungu wenu; mcheni na kushika maagizo yake na kuisikia sauti yake, nanyi mtumikieni na kushikamana naye.
Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya Bwana, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru Bwana, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.
 
Na ndio utumbie huyu Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani haswa? Hebu pita pale Benjamin Mkapa Hospital na Muhimbili hospital pale upanga uje na maelezo ya kueleweka

View attachment 2146078

Maana na yeye anaongoza kwenye kuombea watu na wakapata kupona kama hivi

@ hawa wajuajiwabishi nimewawekea kila kitu ili wapingue kwa proof ila naona wameingia mitini, na wachache waliobaki ni wa blahblah tuu

Cc Janja weed MTAZAMO Eddy Love msonobali atlas copco
Wajinga ndio waliwao, wajinga wataliwa sana.
 
Mjinga zaidi yako ni nani hapa. Ungeenda hospitali kuwauliza ukarudi na majibu ningekuheshimu walau kidogo. Ila kwa jibu la blahblah nimekudharau

Maana Benjamin Mkapa hospital walishindwa wakamtuma mgonjwa Muhimbili. Muhimbili wakaamua wamng'oe jicho, Kuhani Musa akaomba, Mgonjwa akapona
 
Huko ulaya na MAREKANI wezi kama kina Musa walikuwepo sana ni jambo la muda tu kiwango Cha elimu kikiwa kikubwa jamii itaondkana na haya maupuuzi

USSR
Ulaya ni wapi... na marekani ni wapi
 
Ni ngumu kunielewa sababu wewe ni chawa wa shetani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani unaamini shetani ndio mwenye nguvu ya kutenda maajabu na sio Mungu
Nikuombee ukutane na nguvu zake uujue uweza wake
Pumbav, nilifikiri najadiliana na mtu mwenye akili walau za kuvukia barabara. Nonsense
 
Back
Top Bottom