Tena aanzishe haraka, wananchi huku uraiani tunamsubiri tumuonyeshe ni namna gani tupo pamoja na mama yetu; Jemedari Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!Wewe mwenyewe uache jeuri ! Unamtishia Rais ?
Kama vipi anzisha tu hayo machafuko tuone
Wakae hapa hapa washuhudie positive vibrations and grow of nation incomes quatriple!Umenena mkuu, hawa wasiotaka kukubali ukweli wahamia Lesotho!
🤣🤣🤣Wakae hapa hapa washuhudie positive vibrations and grow of nation incomes quatriple!
Wote hao ni takataka bado wanaishi na machungu wengine kupigwa chini wengine kupigwa makofi. Rais au serikali haiwezi kurudi nyuma kwa sababu ya maneno hata siku moja itawapotezea credibility. Serikali ipo kwa kuchaguliwa inafanya kazi iliyopewa kisheria. Mtu anashida asubiri 2025 apige kampeni.Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba.
Mkataba huo umekosolewa kwamba haufai na watu kutoka kada tofauti kuanzia viongozi wa dini, siasa, wanasheria , taasisi za elimu, wasomi n.k
Miongoni mwa watu waliokosoa mkataba huo ni pamoja na
1. Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba.
2. Waziri mstaafu Professor Ana Tibaijuka
3. Mzee Butiku
4. Nguli wa sheria Professor Issa Shivji
5. Raisi mstaafu wa TLS Dr Nshana ambaye ni msomi mkubwa katika sheria kutoka chuo kikuu cha Havard kilichopo nchini Marekani.
6. Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mwanasheria ndugu Tundu Lisu
7. Kardinali wa Kanisa Katoliki Pengo.
8. Askofu Mwamakula
9. Mawakili na wanasheria tofauti wakiongozwa na ndugu Bonifasi Mwambukusi ambae hadi amefungua kesi Mahakama kuu kanda ya mkoa wa Mbeya.
10. Na wananchi kutoka mikoa yote ndani ya jamhuri ya Muungano wa Tanzaania
11. Mwenyekiti wa CUF Professor Lipumba
12. N.k
Serikali ya Samia imeshindwa kutoa majibu ya mapungufu ya vipengele vya huo mkataba baada yake imeanza propaganda kwa kuongopa na kualika watu mbalimbali ili wapotoshe ukweli wa mapungufu ya huo mkataba wa hovyo.
Leo tumesikia wanasheria huru wakilalamika kutishiwa maisha, miongoni mwa wanasheria hao ni raisi mstaafu TLS ndugu Dr Nshana na ndugu Bonifasi Mwabukusi kutoka Mbeya. kuhusu hili jambo endapo mtu yeyote akipata tatizo kutokana na kutetea bandari hakuna mtu atabaki salama ikiwemo ninyi familia na ndugu zenu.
Wito wangu kwa Rais Samia acha jeuri kuhusu maoni ya watanzania kuhusu ubovu wa huo mkataba, wananchi ndio wenye nchi hivyo kama hawaitaji huo mkataba usijitoe ufaham kwa kuwapuuzia.
Nchi yetu ni ya amani, hivyo hatutaki uvunjifu wa amani kwa sababu za maslahi yako binafsi Samia.
Kama wananchi hatutaki kufikia hatua ya maandamano na uvunjifu ila itakapobidi hatutakua na namna zaidi ya maandamano yasiyo na mwisho.
Bandari ni zawadi yetu kutoka kwa Mwenyezi Mungu lazima tutailinda kwa namna zote iwe heri au shari
Sema wanawakosea Chadema usiseme wa Tanzania, kwani unamuwakilisha nani? ulichaguliwa wapi.Ndugu haya mambo yanatia hasira sana, CCM chini ya Samia wanatukosea sana watanzania kuhusu mkataba wa bandari
Wama jeuri hao, maneno tu mwenyekiti wao alikuwa anaozea jela hata watu 10 hawakutoka mtaani.Tena aanzishe haraka, wananchi huku uraiani tunamsubiri tumuonyeshe ni namna gani tupo pamoja na mama yetu; Jemedari Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!
ujumbe umeshamfikia huyo bibi yenu mwenye akili kisoda, akipuuza tutakula kichwaKabisa!
Isitoshe, kutuambia huyo jamaa sijui kasoma havard marekani ndo nini?!!! Tuogope?!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wama jeuri hao, maneno tu mwenyekiti wao alikuwa anaozea jela hata watu 10 hawakutoka mtaani.
Hebu kachochee maharage jikoni huko, toka hapa!ujumbe umeshamfikia huyo bibi yenu mwenye akili kisoda, akipuuza tutakula kichwa
watu wenye akili ndogo kama wewe ni wachache sana nchini, tulia utaona wenye akili watachofanyaKwakuwa wawakilishi wa wananchi (bunge) wameridhia; kwakuwa serikali imetoa ufafanuzi wa jinsi gani hawa wanasheria walionunuliwa na hawa 'great thinkers' fake 20 wa humu jf wanavyopotosha na kwakuwa wananchi huku uraiani wameshaelewa muda tu na nyie wanakuoneni kama mabonto tu a.k.a vikatuni, basi hayo machafuko labda yatatokea katika familia yenu katika kugombea urithi. Tanzania itaendelea kubaki salama chini ya Jemedari Jasiri Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!!!!!!
endeleeni kujitekenya, tunajua hizo propaganda mnazofanyaKILA ZAMA NA KITABU CHAKE, ACHENI KUMTISHIA RAIS WETU, NA HAKUNA WA KUTHUBUTU KUFANYA FUJO / MACHAFUKO WALA CHOCHOTE, RAIS WETU SONGA MBELE!
bado sijamtisha, kitisho cha ukweli kinakuja.Wewe mwenyewe uache jeuri ! Unamtishia Rais ?
Kama vipi anzisha tu hayo machafuko tuone
sijajua bado kuna watu aina tanzania.Kumuelewa Samia inabidi uwe umeshiba kichwani, tena ushibe sana! Tofauti na hapo utageuka kituko kwa wenye akili kutokana na uharo utakaokuwa unaumwaga kutoka kinywani. Mama si levo zenu ndo maana jpm kwa misimu miwili alishindwa kabisa kuwa mbali nae. Pumbaaaaav senu!!!!
1. Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba.2. Waziri mstaafu Professor Ana Tibaijuka
3. Mzee Butiku
4. Nguli wa sheria Professor Issa Shivji
5. Raisi mstaafu wa TLS Dr Nshana ambaye ni msomi mkubwa katika sheria kutoka chuo kikuu cha Havard kilichopo nchini Marekani.
6. Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mwanasheria ndugu Tundu Lisu
7. Kardinali wa Kanisa Katoliki Pengo.
8. Askofu Mwamakula
9. Mawakili na wanasheria tofauti wakiongozwa na ndugu Bonifasi Mwambukusi ambae hadi amefungua kesi Mahakama kuu kanda ya mkoa wa Mbeya.
10. Na wananchi kutoka mikoa yote ndani ya jamhuri ya Muungano wa Tanzaania
11. Mwenyekiti wa CUF Professor Lipumba
12. N.k
huyo bibi yenu ndio atahama, ataiacha Tanzania kama alivyoikutaUmenena mkuu, hawa wasiotaka kukubali ukweli wahamia Lesotho!
the mother of modern evil colonisation.Tena aanzishe haraka, wananchi huku uraiani tunamsubiri tumuonyeshe ni namna gani tupo pamoja na mama yetu; Jemedari Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!