Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Hao uliowataja wote wana agenda zao binafsi nje ya kupinga DP World na pia ndani kabisa ya nafsi zao ni wapinzani serikali CCM kwa 100%. Hao wanaongoza kwa mipasho against CCM govt hata kwenye mambo mema. Umemsahau Mbowe au umefanya makusudi kwa sababu ya hoja yake mbovu ya utanganyika na uzanzibari? Ninamshauri Mama Samia aendelee kuwapuuza. Hakuna machafuko yanayoweza kutokea kwa Rais kufanya jambo lenye manufaa kwa taifa.
 
hili suala la dp world litawasumbua sana.
 
wewe ni wa hovyo sana, kizazi chako kina laana maana haujui ulipotoka na unapokwenda
 
Nimesema hivi, tutoree uvundo hapa nenda kachochee maharage jikoni
laana ya kizazi chako inakusumbua,
haujui ulipotoka na haujui unapokwenda ndio maana haujui umuhimu wa bandari
 
Mnatumia nguvu kubwa sana kwny hili suala.., machafuko hayo yatoke wapi? Labda tumboni!
Subiri siku utakapokurupushwa na Kutoka nje Ukiwa umevalia suit ya Kuzaliwa nayo.

Siku Ile walinzi watapoacha LINDO na kuasi amri Yako,

Siku Ile mama atapomchukua paka akiamini amebeba kichanga.

Ukishauriwa, ukakaza shingo, shingo huvunjika.

Tusubiri.
 
Juzi John Heche amenyimwa airtime Star TV walipogundua kuwa anaenda kuongelea swala la DP world.
wanajaribu kuzima mijadala ya huo uozo, ila watanzania wengi sasa wanauelewa hivyo kilichobaki ni kutengua huo mkataba hovyo wa bandari, hakuna namna nyingine
 
Dada ungemeza P2 ungeepusha hizi hasira zako za mimba changa
laana inakusumbua wewe, utakua chawa milele na hiyo laana itakusumbua wewe na vizazi vyako vyote vitavyokuja.
hauwezi kuleta masihara kwenye jambo muhim kama bandari
 
Acheni ujinga.
 
Tunasubiri kwa hamu muanzishe fujo!
sawa, jipangeni vizuri safari hii hatuingii mtaani ila tunaingia ndani ya nyumba zenu na ndugu zenu.
ndugu zenu na familia zenu ndio watawaambia muufute huo mkataba
 
Machafuko hali tena? Umeona waSudani ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…