CONSISTENCY
Senior Member
- Feb 16, 2023
- 135
- 309
- Thread starter
-
- #61
mnyakyusa wawapi wewe unaogopa machafuko?,Machafuko hali tena? Umeona waSudani ee?
Sawa, ngoja mjinga niendelee kujielimisha,Acheni ujinga.
ndugu huyo ni aina ya watu wenye laana ambao hawajui wanapotoka pia hawajui wanapokwenda.Sawa, ngoja mjinga niendelee kujielimisha,
Bt usisahau kuwa, hata WAPUMBAVU hufika uzeeni pia, ingawa Si wote.
Rais Moi alitabiri kifo Cha KANU Kwa kauli za kibabe kuwa chama kina nguvu na hayupo wa kukitoa siku chache kabla ya Uchaguzi.ndugu huyo ni aina ya watu wenye laana ambao hawajui wanapotoka pia hawajui wanapokwenda.
kuna mambo mengi ya kipumbavu wamefanya CCM na tumewavumilia, ila kwa hili la bandari tutanyooka nao yani haliwezi kupita hivi hiviRais Moi alitabiri kifo Cha KANU Kwa kauli za kibabe kuwa chama kina nguvu na hayupo wa kukitoa siku chache kabla ya Uchaguzi.
Tusubiri.
Fujo hazitatoka nje,Tunasubiri kwa hamu muanzishe fujo!
NJOO HATA LEO KWANGU...NIKUPE LOCATION?sawa, jipangeni vizuri safari hii hatuingii mtaani ila tunaingia ndani ya nyumba zenu na ndugu zenu.
ndugu zenu na familia zenu ndio watawaambia muufute huo mkataba
UNAOTA WEWE, ANZISHENI FUJO MUONE...WENZENU WANAKIMBILIA BELGIUM NYIE MKITANDIKWAFujo hazitatoka nje,
Hazitaanzishwa na Jirani,
Fujo zitaanzia ndani ya family, pale mwanao atakapokwambia umwachie hatamu sababu umezeeka.
Pale utapomwamrisha polices kuwa PIGA!!
Naye atakujibu "KWANINI nipige"?
Kuna mmoja alitoroshwa na walinzi akiwa na suit ya Kuzaliwa nayo!!!
sihitaji location, nitaitafuta mimi mwenyeweNJOO HATA LEO KWANGU...NIKUPE LOCATION?
pumbavu wewe, akili zako ndio zimeishia hapo?UNAOTA WEWE, ANZISHENI FUJO MUONE...WENZENU WANAKIMBILIA BELGIUM NYIE MKITANDIKWA
NISHTUE MTAKAPO ANZA NIIFANYIE MAZOEZI MAFUNZO YANGUsihitaji location, nitaitafuta mimi mwenyewe
mafunzo ya kuwa chawa?NISHTUE MTAKAPO ANZA NIIFANYIE MAZOEZI MAFUNZO YANGU
Anzisheni fujo tuone!!mafunzo ya kuwa chawa?
laana yako mbaya sana, ila bado una mda wa kubadilika ili kuepusha hiyo laana kwa vizazi vyako
uone nini?Anzisheni fujo tuone!!
Tanzania Huwa tunasema tu, mambo yanabadilika.UNAOTA WEWE, ANZISHENI FUJO MUONE...WENZENU WANAKIMBILIA BELGIUM NYIE MKITANDIKWA
kipigo cha wavuruga amaniuone nini?
nishtue mkianzisha vurugu mkuuTanzania Huwa tunasema tu, mambo yanabadilika.
Hii ni Nchi ya Amani.
Nchi ya AGANO.
Nchi ya watu wa Mungu wapendwao sana.
Tusubiri.
pumbafu labda uko pamoja naye we mwenyewe,si uraiani tunataka bandari zetu nasiokitu kingineTena aanzishe haraka, wananchi huku uraiani tunamsubiri tumuonyeshe ni namna gani tupo pamoja na mama yetu; Jemedari Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!
Kuuza Mali za urithi bila ridhaa ya mwenye Mali Si kuvuruga Amani huko?kipigo cha wavuruga amani
wewe ni kichaa, hizo akili mfu kabisa.kipigo cha wavuruga amani