Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
For now just keep connecting the dots... Kama yupo hivyo ni suala la muda tu! Tatizo lenu mnashindwa kufanya timing hadi mnawashtusha hao mnaowafuatilia!Lema tatizo mienendo yake inatia shaka.. uki connect dots utagundua...
Lissu nina imani nae... Heche nina imani nae pia...
Lema ni mpenda sifa tu.. nabii uchwara..
Ni kweli, lakini Lissu hajafanya mienendo yeyote inayotia shaka..Kwa logic hiyo hata Lissu sio mtu special. Aint he?
Mwaghene mwi sasa...Ulinkafu kalumbu?
Inanikumbusha tukio la Aldrich Ames... Miaka ya 1980s..For now just keep connecting the dots... Kama yupo hivyo ni suala la muda tu! Tatizo lenu mnashindwa kufanya timing hadi mnawashtusha hao mnaowafuatilia!
Mbona kwa Mbowe yanaendelea kutimia? He is more associated with SSH than TAL!
Mali nyingi kama zipi?Mbona Heche anamiliki vitu vingi tofauti na uhalisia wa kazi yake?
Unaona siasa za CCM ni zenye kujali utu?siasa zenye kujali utu
Chadema inabidi kuwa makini sana. Inaelekea kuna mpango wa kudhoofisha chama chenu kwa kuwaondoa wale wote wenye experience ya siasa za upinzani. Sio tu Lema, Boni na Sugu pia wametajwa kuwa ni wasaliti wa Chadema. Watu kama Boni na Sugu wana base ambayo itamchukua mtu mgeni muda mrefu kuweza kuijenga. Kwa mawazo yangu, kwa sasa hivi, Chadema ina watu wachache sana wenye mvuto wa kitaifa au hata wa kijimbo.Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Wakiwepo watu waaminifu hii ndo furaha yetu Watanganyika.Mali nyingi kama zipi?
Ungekuwa na data kamili, na data za kipato kwenye kazi yake nadhani unge eleweka...
Suala ni mienendo...
Mienendo ya Lema inatia shaka...
Hili la CHADEMA kutokuwa na watu wengi wenye mvuto mimi nalichukulia kama positive (iwapo ni kweli kama unavyosema), Hii maana yake ni kwamba wananchi wanajali chama kuliko watu, na ndiyo maana ukipitishwa mchango watu wananchanga. Au mikutano inajaa mpaka serikali inapiga marufuku haramu. Hii inafanya kila kiongozi awe humble, ajue CHADEMA siyo yeye, Kumbuka CHADEMA ilihi kukimbiwa na watu wengi tu maarufu kama Dr Sla, Mbowe, Msigwa, mzee Mdee etc lakini bado inaendelea kutikisa,Chadema inabidi kuwa makini sana. Inaelekea kuna mpango wa kudhoofisha chama chenu kwa kuwaondoa wale wote wenye experience ya siasa za upinzani. Sio tu Lema, Boni na Sugu pia wametajwa kuwa ni wasaliti wa Chadema. Watu kama Boni na Sugu wana base ambayo itamchukua mtu mgeni muda mrefu kuweza kuijenga. Kwa mawazo yangu, kwa sasa hivi, Chadema ina watu wachache sana wenye mvuto wa kitaifa au hata wa kijimbo.
Majuzi nilimsikia Lissu akiuliza mbona kuna watu wachache Mahakamani. Hiyo hali sio nzuri.
Amandla...
Ni sahihi hata akibaki mmoja..Wakiwepo watu waaminifu hii ndo furaha yetu Watanganyika.
Waendelee kua na mioyo safi hivyohivyo.
Una kadi ya chama?Ni sahihi hata akibaki mmoja..
"Ukiisha kula nyama ya mtu mara ya kwanza, huwezi kuacha"! Mwl. Nyerere.Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Mimi sina chama..Una kadi ya chama?
Wanaotoa maoni ya usaliti siyo CHADEMA ni mahasimu wao wanaotumia fursa zinazotengenezwa na CHADEMAChadema inabidi kuwa makini sana. Inaelekea kuna mpango wa kudhoofisha chama chenu kwa kuwaondoa wale wote wenye experience ya siasa za upinzani. Sio tu Lema, Boni na Sugu pia wametajwa kuwa ni wasaliti wa Chadema. Watu kama Boni na Sugu wana base ambayo itamchukua mtu mgeni muda mrefu kuweza kuijenga. Kwa mawazo yangu, kwa sasa hivi, Chadema ina watu wachache sana wenye mvuto wa kitaifa au hata wa kijimbo.
Majuzi nilimsikia Lissu akiuliza mbona kuna watu wachache Mahakamani. Hiyo hali sio nzuri.
Amandla...
Na ametangaza press conference kesho sasa sijui kila mwanachama wa chadema anaweza kutoa press conference tu au kuna utaratibu gani mkuuInawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Ni haki yake...Na ametangaza press conference kesho sasa sijui kila mwanachama wa chadema anaweza kutoa press conference tu au kuna utaratibu gani mkuu
Ni sahihi mkuu..Lema alishangaza alipoanza kucheza script za Lumumba mara "mama " sijui upendo "utawale"
Mara Heche kapata passport yake kwa njia za panya hii michezo walianza vibaka wa Lumumba waliojificha Chaumma wakiongozwa na Yericko Nyerere sasa leo ushahidi wa jinsi passport ile imepatikana umemuachia aibu.
Aombe radhi atulie pengine watu washashtukia moves zake arudi nyuma ajisahihishe.
Mange Kimambi amejijengea jina hasa kutokana na credibility ya taarifa zake sio kama Maria Sarungi , Mange akishusha bomu linakua bomu ndio maana hata kule Meta waliona ana coverage wakaona wampunguze upepo na sio kwamba hawezi kufungua account mpya ni kwamba akijaribut tu wanampa ban maana wamempa ban ya kudumu sio kwamba hawajui CCM wanamjua nani ni hatari zaidi katika harakati zao chafu tafakari hayo.
Ni sahihi mkuu..
Halafu ushenzi wote alikuwa anaanza chinichini..
Sema wamemstukia mapema...