Kumbe unafuatilia vitu in deep!Hata Paschal Mayalla ana tabia hiyo, anajifanya kutabiri, halafu baadae likitokea jambo anaedit post ili iendane na utabiri wake.
Cc: secretarybird
Wagalatia msio na akili mshaanza! Mbona huo utabiri hauku_trend before? Wakkristo nani kawaroga?
Huyo mzee chenga sana.Kumbe unafuatilia vitu in deep!
Daddy nipe basN humu tuu 🔥
Mbona yuko vizuri sana.Huyo mzee chenga sana.
Yuko vizuri ila ni mdanganyifu.Mbona yuko vizuri sana.
Chivayo Na Yule muhusika WA kwenye kitabu cha Zamani shule ya msingi, aliitwa SIKUELEWI Hawana tofauti, mpaka amekufa sijawahi mwelewa, RIP
Money launderingHuyu jamaa anafanya biashara gani, mana ukiangalia utajiri wake na thamani ya dola ya Zimbabwe ni kama vile maji na mafuta
Kipindi fulani alitaka kutiwa vibao na anko Magufuli 😂Yuko vizuri ila ni mdanganyifu.
Mwamba alikuwa na MPUNGA sana.View attachment 3681527Siku moja kabla ya ajali haya ndio matusi yake.
Tabiri hua zinakua nyingi sana, ipa tukio likitokea ile tabiri ambayo imeendana na kifo ndo inatrend, na tunasahau zingine zoteWagalatia msio na akili mshaanza! Mbona huo utabiri hauku_trend before? Wakkristo nani kawaroga?
Huu ni utabiri wa multiple choice.Hata angefariki kwa njia nyingine ingeibuka post nyingine iliyowai kusema atafariki hivyo.
Ni ubashiri tu ambao unakuaga mwingi ila badae tunaishiaga kuona uliofanikiwa
Naam, wengi sana wanafanya hivi. Mana hata hapo kwenye io post unaona kuna tabiri mbili. Kama angepata heart attack basi watu wangeruka na io nyingineHuu ni utabiri wa multiple choice.
Ni kama Paschal Mayalla, anatabiri mambo mengi kuhusu jambo moja, halafu likitokea moja wapo anasema ni voices from within.
Nimeshamfuatilia sana huyo mzee ni janja janja sana.
Cc: secretarybird
Anatabiri vitu kama vitano hivi, moja likitokea anakuja nalo na kutamba, siyo?Huu ni utabiri wa multiple choice.
Ni kama Paschal Mayalla, anatabiri mambo mengi tofauti tofauti kuhusu jambo moja, halafu likitokea mojawapo anasema ni voices from within.
Nimeshamfuatilia sana huyo mzee ni janja janja sana.
Cc: secretarybird Nyani Ngabu Kiranga Lamomy Tlaatlaah binti kiziwi
Nilisema kashindana na Rostam azizi kumiliki geto Ikulu ya magogoni ....