Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅
Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu.
Acheni tu nilewe asee
toto juri Nkuu....

Huyu mtoto wa watu mume muandama
Aah unawaogopa!!Haha waje, wenye stress nimewatambua , nimewatia ignore
Hahaha
Umeanza wkend mapema..Leo hiyo , kisura😅
Akitoka hapo lips zote zimevimba..
Akitoka hapo lips zote zimevimba..
Bwashee mbona unatuangusha bwashee kwani ukitutajia nasi tukajua pisi nzuri na mbovu kuna shida!