Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅


Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu.

Acheni tu nilewe asee
Piga vyombo mkuu ndo la muhimu hayo mengine hayana maana
 
Back
Top Bottom