Safi.Sure😅😅😅
Kazuri mno mawaa,😊 haka nikajukuu kanguu?Nipo na pisi ya jf mwaka wa 2039 itawanyoosha nyie wazee😁,
Hii nitairithisha I'd hii ya ma mkubwa.View attachment 3701160
Ma mkubwa wangu💃,enzi hizo utakuwa hauna meno🚶🚶🚶Kazuri mno mawaa,😊 haka nikajukuu kanguu?
Weka picha yake watu waseme ni pisi kali kama unavyosema....Binti yangu ni mrembo na ni pisi kali😅 hapa tu namwona na nijivunia , kumsomesha kuwekeza kwake kitu ambacho ni bora kwake , kwa nguvu zangu zote🤣
Mshana Jr mzee wa mitanange😹Mshana ni mwanangu mno
Warembo wapo wa kutosha humu Kuna kina the gworiMno bwashee 🤣🤣
😁😁😁😁,anasikitika tu,unawapondea mashangazi zake.Sihani😅😅 niombe picha kila mtu aone, na nilivyo ma masifa sasa?🤣🤣🤣