MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Mwanasheria wako nitashindwa kukutetea😁Hahaha kumbe 🤣🤣🤣
Mwanasheria wako nitashindwa kukutetea😁Hahaha kumbe 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Eti ni mfupi ni kibonge pia🚶🚶na huu unhongoti wangu si nikapima utakuwa unaishia magotini🚶🚶🚶🚶Ndio walitumia mbinu ya kudai mimi mfupi ,ili nisikupate weye😜
Nipe mbege kwanza nilewe😁,Hahah kumbe 😅 hawataja na urefu wa Charles mnyongaji pia😜 sasa ikawaje ikawa mada kubw hivyo😜😆
Nikutakie kila lenye heri, ukitaka ushauri wa yupi nipo tayari kukupa ushauriHahhaa , najua nitamuopoa mdada mzuri humu bwashee ,na atakua mfano tu😜
Ni kweli sio ya kuwa serious hivyo lakini mambo ya LGBTQ?mmhhhJf sio ya kuwa siriaz hivyo.
Wanajua vizuri bwashee, 😅😅 hivyo usipate tabu ,ila MawardatDellapina niacheni nioe kabisa 😜😜😜👊Nikutakie kila lenye heri, ukitaka ushauri wa yupi nipo tayari kukupa ushauri
cocochanel karembo ka mda wote toa maoni😅
Hahahahahhaha,ng'ombe unazo ngapi?Wanajua vizuri bwashee, 😅😅 hivyo usipate tabu ,ila MawardatDellapina niacheni nioe kabisa 😜😜😜👊
Pisi kali au mbovu Mshana Jr ndio anazijua humu
Wee elewa tu kila ke mwenye kiherehere na maneno mengi humu ni MBOVU chukua kutoka kwanguBwashee mbona unatuangusha bwashee kwani ukitutajia nasi tukajua pisi nzuri na mbovu kuna shida!
Hahahhhhhh mapenz uchiz mkuu.Akitoka hapo lips zote zimevimba..