Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Sina ushahidi? Anaanza mwaka wa kwanza mpaka anamaliza mwaka wa tatu pale CoICT UD namuona, alafu unassma Sina ushahidi? Haya banaSi vizuri kusema vitu ambavyo hauna ushahidi navyo.
Sina ushahidi? Anaanza mwaka wa kwanza mpaka anamaliza mwaka wa tatu pale CoICT UD namuona, alafu unassma Sina ushahidi? Haya banaSi vizuri kusema vitu ambavyo hauna ushahidi navyo.
Wanasema mtu akilewa anaongea ukweli😁😁🚶🚶🚶Hahaha , sidhani.😜
Tanapa?Wataanza na weye😁
Zipo kweli tena zimepoa tu nashuhudiaPisi kali zinafahamika hata sio za kuuliza jf bwashee, zipo rada na havijawahi angushwa kwa hivi vizazi vya mirungi bwashee
Mnajuana wenyewe,Sina ushahidi? Anaanza mwaka wa kwanza mpaka anamaliza mwaka wa tatu pale CoICT UD namuona, alafu unassma Sina ushahidi? Haya bana
Weka tukuone.Nitaweka siku moja🤣 mpaka pombe iseme, kwanza niweke yangu
Watoto wazuri wapo wengi humu wewe jichanganye tu utakutana nao, Tatizo lako upo slow sana kama yule dogo na mabakuliNachelea kuwa fala na mwongo bwashee 😜
Eeh,uwaonyeshe hao majangiri.Tanapa?
Gwajima ataku-mind mkubwa😂
Kuna kitu wengi hamjui, coca ndio lgbtiaq. Lakini bichwa komwe ni miyeyusho tu na utani wake huo wa kijinga lakini Wala sio lgbtiaqCoca na Bichwa komwe wao wako na jinsia inaitwa Mabibi na mabwana 😊😊😊.
Niliona walivyokua wanakuletea mawenge 😂😂 Kwani yule mdada ulimkoseaga nini?Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅
Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu.
Acheni tu nilewe asee
Jf sio ya kuwa siriaz hivyo.Kuna kitu wengi hamjui, coca ndio lgbtiaq. Lakini bichwa komwe ni miyeyusho tu na utani wake huo wa kijinga lakini Wala sio lgbtiaq
Ushaanza kuisingizia pombe😁😁😁Sidhani tulia mpaka nilewe🤣🤣
Mambo Mrembo DKumbe Minnie ndiye chiwawa Sr 😹😹
Halooo weeh!