Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

Unajiita vipi mtanzania halafu unafanya mambo ya kijinga kama yale kwenye ule mkataba?

Huo uzalendo wenu mnaolazimisha mnauonesha kwenye nini kama hamna uchungu na rasimali za taifa letu, hasa upande wa Bara?

Tambua, huyo mnayemuona amekosea ndie mwenye uchungu na rasilimali zetu, hao mnaowaona wamekosewa, ndio wajinga wanaosababisha machungu kwa wengine, nanyi kwa ujinga wenu hata hamuoni hilo.

Siku zote heshima ya mtu huipoteza mwenyewe, pale anapopewa na kushindwa kuilinda, na kwa zile terms za ule mkataba, Samia na Mbarawa hawastahili heshima yoyote, Mbowe yuko sahihi.

Akili zenu ndogo siku zote ndio mtaji wa CCM, kadri mnavyozidi kuokolewa shimoni, nyie ndio kwanza mko busy mnazidi kutafuta sehemu ya kujificha humo ndani ya shimo!
Hivi unajua maana ya rasilimali wewe. Nyie ndo wale mnaposema Bora madini yabakie shimoni kuliko kuchimbwa na makampuni kutoka nje wakati nyie hamna uwezo wa kuyachimba. Li bandari lip miaka na miaka lakini halina faida ya yoyote Bali faida kwa wachache kama wewe tu. Bora tupate mwekezaji ili kuleta ufanisi mana mmeshindwa na hamtaki kukiri Hilo . Ulaji wenu umefika mwisho mwbwa nyie
 
Hivi wewe ndie yule msomi wa uchumi na ile theory yako?! hebu nikumbushe inaitwaje[emoji1787][emoji1787]

Nakuona unavyoendeleza "usomi" wako, mjinga usiyejua kuchambua vipengele vilivyopo kwenye mkataba, uone manufaa au maumivu yake kwa watanzania, wewe kwako bora bandari apewe mwarabu tu!.

Kuwa na msomi wa sampuli yako nchi hii ni hasara kwa taifa, jinga kabisa.
 
Bora hata nchi iuzwe mana hatuna uwezo na fursa hatuzioni ndo mana umaskini umekuwa sana kila kukicha. Namsihi Elon musk ainunue Africa nzima ili atufundishe Nini maana ya kufanya kazi kwa ufanisi siyo talalila zenu hizi za uzalendo wa kimaskini
 
Lengo la serikali ya awamu ya 6 ni kutaka kuona mifumo ya TEHAMA kati ya TRA na TPA inasomana ili bandari zituingizie NUSU YA BAJETI YA NCHI KWA MWAKA.....

Hili nalo ni la kupinga?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kweli inawezekana "MIREMBE" vitanda VIMEJAA....wengine wameachiwa kuzurura huku mitaani [emoji1787][emoji1787]
We Mataga kama lengo ni kusomana kwa mfumo,hatuwezi kukodi watu wenye ujuzi wafunge mifumo kwa miezi 6 ?
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Msijifiche kwenye kichaka cha uislam kwani huku Tanganyika hakuna Waislam? Huu muungano uvunjike mutawaliwe tena na sultan kwani ndiyo matamanio yenu. Tanganyika kuna Waislam zaidi ya milioni 30 na Zanzibar mko milioni mbili tu mnajiona mna thamani zaidi ya hawa milioni 30 wa Tanganyika?
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Wewe utanifanya nipigwe ban bure she.z kabisa. Ushaona Mtanganyika anapewa ardhi Zanzibar?
 
hawa ndiyo wala bahasha wenyewe, sasa ni hivi dili limeshambumbuluka.... bahashaaaaaaaaaa 😀 😀 😀
 
Wewe utanifanya nipigwe ban bure she.z kabisa. Ushaona Mtanganyika anapewa ardhi Zanzibar?
Unamlalamikia nani? Wazanzibar waliwaomba muwe kwenye Muungano au nyie ndio mnajipendekeza?
 
Bora hata nchi iuzwe mana hatuna uwezo na fursa hatuzioni ndo mana umaskini umekuwa sana kila kukicha. Namsihi Elon musk ainunue Africa nzima ili atufundishe Nini maana ya kufanya kazi kwa ufanisi siyo talalila zenu hizi za uzalendo wa kimaskini
Msomi uchwara uliyejikatia tamaa kabisa, rest in peace Mr. Modigliani!.
 
Hakuna watu wabinafsi kama wapemba.
Kuoa huko shida, kuishi huko shida, kuishi nao shida, kufanya biashara huko shida
 
Kibajaji anataka kuamisha mjadala kutoka kubinafsisha bandari iwe tunaimba ubaguzi.Ubaguzi ni kitu kidogo tu kwenye hoja ya msingi.Ubaguzi aujawahi kuisha tangu kuumbwa kwa ulimwengu.Hata kwenye familia yake ,kijiji,mtaa ,mkoa ,kabila kuna ubaguzi ni kiwango tu kimetofautiana.Tu discuss hoja ya msingi inayohusu ubinafsishaji wa bandari,achambue vipengele na yeye ili kila mtanzania aelewe nini hasa kinahusiana na ubinafsishaji.Kuna faida,nini hasara nk .Ache siasa.Kuna watu wabaguzi kama CCM inapokuja issue ya CCM na vyama vya upinzani
 
Kweli Mbowe alikosea kuropoka kuhusu Zanzibar na Wazanzibar.

Saa zingine naona ACT hutumia akili kufikiri na kuchambua mambo kuliko Chadema
Upumbavu ni sifa kama ufupi au urefu.
Kutetea Tanganyika si kuropoka ni ukweli halisi.
Signatory wa mkataba wote from Zanzibar Waziti Makeme Mnyaa na Katibu Mkuu Balozi Amour.
Mkataba hagusi Bandari za Zanzibar hata moja.
Masuala ya Bandari ni ya muungano sasa kwanini mito,Maziwa na Bahari za Tanganyika ziuzwe na Wazanzibar wasiokuwa na uchungu na rasilimali za Tanganyika!.

Waziri na Katibu mkuu hawana uchungu na Tanganyika
 
We mjinga Ukiulizwa Tanganyika inafaidika vipi na Muungano utajibu vipi? Mwinyi si alinuwa Mzanzibar akauza Lolindo?
Mjinga ni wewe, baba yako, mama yako.
 
Upumbavu ni sifa kama ufupi au urefu.
Kutetea Tanganyika si kuropoka ni ukweli halisi.
Signatory wa mkataba wote from Zanzibar Waziti Makeme Mnyaa na Katibu Mkuu Balozi Amour.
Mkataba hagusi Bandari za Zanzibar hata moja.
Masuala ya Bandari ni ya muungano sasa kwanini mito,Maziwa na Bahari za Tanganyika ziuzwe na Wazanzibar wasiokuwa na uchungu na rasilimali za Tanganyika!.

Waziri na Katibu mkuu hawana uchungu na Tanganyika
Ndi hivyo sasa hata aropoke hakuna atachobadilisha zaidi kajiumiza yeye.

Lissu kakaa kimya kama si yeye
 
Ukifanya vibaya mambo mengi yanakuja.
Wakati wa Magufuri Wasukuma walisemwa sana.
Mpaka wakaundiwa Sukuma Gang.

Kinachotakiwa ni Kiongozi kuwa msafi na muadilifu kwa mali za Umma.
 
Back
Top Bottom