Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

Mkuu, jaribu kupangilia vizuri uandishi wako maana unaonekana una facts
 
Pamoja na kuwa na timu bora iliyokamilika kila idara, haiondoi ukweli kwamba Gen. Moses Phiri ni mojawapo ya mchezaji wa kiwango cha juu kwenye ukanda wetu huu wa CECAFA.

Kocha Roberto asipobadilisha tabia yake ya kuwagawa wachezaji na kuonyesha upendeleo tena wa wazi wazi kwa baadhi ya wachezaji itakuja kumgharimu na atakosa pakutokea.

Clatous Chama ni mojawapo ya wachezaji waliopitia kadhia za Roberto, na kama isingelikuwa sauti za mashabiki kupiga kelele kwa uamuzi wa Roberto kumbania bania Chama, huenda yangemsibu haya anayopitia Gen Moses Phiri.


Muda utaongea.
SIMBASC #NguvuMoja #UnyamaMwingi.
 
Naona kocha ataondoka mapema kabla ya Phirri
 
Huyu aliyemuumiza Phiri ameitendea haki hela ya GSM aliyopokea kwa kazi chafu hii
 
Phiri anauwezo mkubwa wa kukaa na Mpira pia anauwezo wa kufunga nje ya 18, kwa anaejua soka huwez kufananisha uwezo wa phiri na kyombo,boko, Saido ama Kibu, Unamkosea heshima....ngoja tuone Kama tutaweza kwa kuwategemea wachezaji hao wanaokabia juu Kama walivyopambwa.
 
elewa hoja kwanzaa


complains za mashabiki ni why achezi?
ok mnasema fitness inamana mchezaji almost miez 6 hana
fitness ?

sasa kama hana fitness na ayupo
kwenye plan za coach kwann asiweoffloaded kwenda timu nyingine?

lakini the way umemchambua moses apo siyo huyu jenerali tunaemjua
ile ni talent inayofia benchi bro .

na ukisema jamaa asaidiii timu kumbuka katoa mchango wa magoli
almost 5 kwenye ligi ya mabingwa kati ya goli zote simba walizofunga

sasa uyo saidoo hata azingue vipi huwa atolewi na kwenye issue ya kuisaidia timu kukaba sidhan kama
yupo fit ivo.

note;
chuki tu ndy zinapoteza kipaji cha jenerali.
 
Nadhani tuache uswahili,kocha ndo anajua nani anamtaka,mi naona phiri angeachwa aende zake tu,huwezi mweka nje baleke au kibu kisa phiri,ni ngumu tena sana .

Robertinho anataka wachezaji walio active kukaba,ila sasa kaka general hawezi kukaba,hapo ndo anapopishana na mbrazil afadhali chama kidogo ila naye kwa sababu ya jina lake tu lasivyo mbrazil angemtema cos saidoo anaweza kucover namba yake vyema.

All in all,tumuache kocha afanye kazi yake,sisi tumuulize mwisho wa msimu kama kafanikiwa au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…