Ubongo sio akili. Nadhani nimesha eleza yote kuhusu hilo. Kama bado huelewi basi that's up to you.
Wewe shule ulikwenda kupoteza muda, ada waliyotumia kukusomesha ni bora wangebeti tu, yaan mpaka sasa kuna watu hawajui kazi ya ubongo??,
Akili ndio ubongo wenyewe maana ubongo unahusika na Functionality za Utu wako kuanzia Kuwaza, kutenda, kukumbuka na hata kufikiri, ni kazi ya ubongo, na ndiomaana wataalamu wameuelezea katika Part 3 za ubongo,
[emoji117]ubongo wa nyuma
[emoji117]ubongo wa kati
[emoji117]ubongo wa mbele.
Ubongo ni Organ inayohusika masuala mengi ikiwepo suala zima la akili, na akili katika ubongo ni sehemu ndogo sana ya ubongo maana akili inahusika sana sana na matumizi ya kumbukumbu& vitendo vya kutimiliza mawazo kuyakamilisha katika uhalisia, jambo ambalo bado halikamilishi main function ya ubongo.
Jamani tujitahidi basi hata kusoma mambo madogo madogo kama haya kuliko kukulupuka na kuanza kubishana hovyo.
Alafu inakuwaje wasomi wengi humu badala ya kujibu hoja ya mtoa thread mnabaki kubishania jambo moja la akili badala ya kuprove existence ya Mungu na elimu nzima ya Uungu.
Kiufupi tu, hayo masimulizi yote ya Miungu kutoka kila dini yamebase katika historia na hadithi za matukio ambayo yanafanana na matukio hayo hayana hata miaka mingi tangu yalipotokea kulingana na maelezo yao, tofauti na uhalisia wa Sayansi inayoprove maisha ya viumbe dunian kuwepo kwa zaidi ya maelfu ya miaka kwa ushahidi.
Maajabu biblia/quran ukisoma ngonjera zao utaambia mtu/binadamu wa kwanza alikuwa Adamu na adamu huyo kulingana na maelezo yao aliishi miaka ambayo haizid 7000 iliyopita na wao wenye dini wanadai huyu ndie mtu wa kwanza wakati huo sayansi inatupa na vithibitisho kuwa mtu wa kale na jamii za kale zilishakuwepo kwa zaidi ya miaka maelfu kwa malaki yaliyopita.
Swali je tuamini ngonjera za bible/quran na takataka zingine za wabudha/wahindu kuwa mtu wa mwanzo alikuwa fulani ambaye hana uthibitisho wa uwepo wake, wala uwepo wake hauzidi hata miaka 10,000?.
Hapa ndipo dini zinakosa sifa ya kuwa na Ukweli na hata Miungu wa hizi dini nae anakosa sifa maana hajui ukweli ni upi na wala hatambui kuwa kuna jamii zilishakuwepo maelfu ya miaka kabla ya huyo adamu wa mchongo na hata baadhi ya siri za hii dunia hawa Miungu wenu hawajui, hivyo tunawaweka nao ktk kundi la UONGO WA KUSADIKIKA.
Miungu wote wa dini ni uzushi, Allah hayupo, Yesu, Elshadai sijui takataka inayoitwa Yehova huyu hayupo, hajawai kuwepo na hatowai kuwepo, acheni kuamini ujinga.
Mungu wa kweli ni wewe binadamu mwenye uwezo wa kuzaa kiumbe ama wewe mtu/binadamu mwenye nguvu/ushawishi mkubwa ktk jamii,ukoo,familia,mtaa, nchi wewe ndiye Mungu.
Maana nzuri ya Mungu ni kiumbe mwenye nguvu&ushawishi kuwaliko wengine katika kundi la viumbe iwe watu,wanyama, wadudu ama samaki ,hiyo ndiyo maana halisi ya Mungu na sio hizo ngonjera za takataka za biblia na quran.