Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Akili ni neno la kufikirika tu.

Si kitu ambacho kinaonekana au kipo kwenye ubongo wa mwanadamu.

Ufanyaji kazi wa ubongo ndio ulipachikwa jina "Akili"

Ukipasua kichwa cha binadamu huwezi kuta hiyo akili

Usiwe mjinga kiasi hicho kila siku nakwambia mambo usio kuwa na elimu nayo achana nayo kujadili.

Unaposema akili neno la kufikirika, kwanza ulitakiwa ujue nini maana ya tamko "Kufikirika". Shida yenu ile ile kila siku ya kutojua maana ya maneno.

Hata hao waliosema akili kwenye ubongo hawajui maana ya akili. Akili mahala pake ni moyoni ila ubongo huchukua na kuyaweka mahala pake yale yanayochakatwa na akili ambayo ipo moyoni. Mfano ukiona wewe watu wawili wamevaa nguo fulani za rangi tofauti, hatua ya kwanza ni mlango wa fahamu huchukua taarifa hiyo taarifa inapatiwa utambuzi na akili kwenye moyo na ili kuyaweka hayo mafuhumu katika mahala pake kwa maana, mwenye nguo nyeusi ni mwanamke au mwanamke kazi hii hufanywa na ubongo.

Kwa ufupi akili ni uwezo unaofanya aeupukane na kufanya makosa katika kujenga hoja au matendo. Ndio maana ukija kusoma maana nyepesi ya Logic (Japokuwa huwa mnajifaragua nayo lakini hamuijui asili yake) husemwa Logic (Mantiki) ni elimu ya kutumia akili inayomsaidia mtu asikosee katika kujenga hoja.

Ujinga ulioje kila siku mnaiongelea logic lakini unasema akili ni tamko la kufirika. Una matatizo ya akili kijana.
 
Hizi huwa ni nadharia tu.
Hata nadharia zinatakiwa kuwa na misingi fulani yenye logical consistency.

Kama hatuwezi hata kuweka nadharia yenye msingi wa logical consistency kuonesha kuwa ni lazima ulimwengu uwe na mwanzo, tutajuaje kuwa suala zima la ulimwengu kuwa na mwanzo halitokani na umasiki wa mawazo yetu tu, uzoefu wetu mdogo?

Hiyo inaitwa "anthropic bias". Kasumba ya kiutu.

Yani unataka kuufanya ulimwengu uwe na mwanzo na mwisho kama wewe ulivyo na mwanzo na mwisho, wakati wewe na ulimwengu ni vitu viwili tofauti sana.

Kwamba tumezoea kuona watu wanazaliwa na kufa, mambo yana mwanzo, tuka conclude tu kuwa ulimwengu nao una mwanzo, wakati inawezekana kiuhalisia ulimwengu (multiverse, not universe) hauna mwanzo.
 
Nadharia yangu inajikita kwenye hii kauli.

Kwa sababu sisi binadamu tupo na huu ulimwengu upo kama sisi tusipokuwepo na huu hautakuwepo
 
Hapana.

Ulimwengu ulikuwepo kabla watu hawajakuwapo.

Na utakuwapo hata watu wasipokuwapo.
 
Usiwe mjinga kiasi hicho kila siku nakwambia mambo usio kuwa na elimu nayo achana nayo kujadili.

Unaposema akili neno la kufikirika, kwanza ulitakiwa ujue nini maana ya tamko "Kufikirika". Shida yenu ile ile kila siku ya kutojua maana ya maneno.

Hata hao waliosema akili kwenye ubongo hawajui maana ya akili. Akili mahala pake ni moyoni ila ubongo huchukua na kuyaweka mahala pake yale yanayochakatwa na akili ambayo ipo moyoni. Mfano ukiona wewe watu wawili wamevaa nguo fulani za rangi tofauti, hatua ya kwanza ni mlango wa fahamu huchukua taarifa hiyo taarifa inapatiwa utambuzi na akili kwenye moyo na ili kuyaweka hayo mafuhumu katika mahala pake kwa maana, mwenye nguo nyeusi ni mwanamke au mwanamke kazi hii hufanywa na ubongo.

Kwa ufupi akili ni uwezo unaofanya aeupukane na kufanya makosa katika kujenga hoja au matendo. Ndio maana ukija kusoma maana nyepesi ya Logic (Japokuwa huwa mnajifaragua nayo lakini hamuijui asili yake) husemwa Logic (Mantiki) ni elimu ya kutumia akili inayomsaidia mtu asikosee katika kujenga hoja.

Ujinga ulioje kila siku mnaiongelea logic lakini unasema akili ni tamko la kufirika. Una matatizo ya akili kijana.
๐Ÿšฎ
 
Unajuaje ulimwengu una mwanzo?
Chanzo kikuu cha maarifa ni vitabu.

Chanzo kikuu cha kitabu ni ndio aliyeleta wazo la mwanzo wa kila kitu.

Binafsi naweza kuthibitisha hayo kupitia Quran.

Ni matrix ya ajabu sana yenye majibu ya kila hoja.

Hata kama hoja hiyo haitokuwa na majibu kwayo, lkn ukiichimba Quran itakupatiwa majawabu ya maswali yenu mengi.

Kama nilivyosema chanzo cha maarifa ni maandiko.

Hata hivyo kuna ukweli mmoja; kwa kujua chanzo cha maarifa ni vitabu vya Mungu watu wameamua kuingilia vitabu vya Mungu kujinguza uongo ndani yake. Na kwa kuelewa hilo Mungu Elio akaleta kitabu chake cha mwisho ambacho kakifunga. Kakiwekea lock ambayo usijaribu kukifungua kitakuumbua.
 
Arguing from the Quran is a logical fallacy, argument from authority.

The Quran has a lot of stupid contradictions.
 
Strange argument

Strange learning can't cure stupidity from the learner too.

May be u a contaminated by Egotism

Or just you ever given me the last kicks of a dying horse.
 
Nakwambia hivi, Quran imejaa contradictions na nikikuwekea hapa uzitatue huwezi kumaliza kuzitatua.

Bisha.
 
Back
Top Bottom