Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hawa jamaa ni very matured kwenye hayo mambo ๐๐๐Baada ya wakulu kutia timu
Mwenye uzi kaukimbia ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa ni very matured kwenye hayo mambo ๐๐๐Baada ya wakulu kutia timu
Mwenye uzi kaukimbia ๐
Astakafillah astakafillah astakafillah ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Huyo mjasiriamali mlaini tu kama keki
Kama ubongo na akili ni vitu viwili tofauti.
Hiyo akili inakaa wapi?
Akili ni neno la kufikirika tu.
Si kitu ambacho kinaonekana au kipo kwenye ubongo wa mwanadamu.
Ufanyaji kazi wa ubongo ndio ulipachikwa jina "Akili"
Ukipasua kichwa cha binadamu huwezi kuta hiyo akili
Hizi huwa ni nadharia tu.Unajuaje ulimwengu una mwanzo?
Hata nadharia zinatakiwa kuwa na misingi fulani yenye logical consistency.Hizi huwa ni nadharia tu.
Nadharia yangu inajikita kwenye hii kauli.Kwamba tumezoea kuona watu wanazaliwa na kufa, mambo yana mwanzo, tuka conclude tu kuwa ulimwengu nao una mwanzo, wakati inawezekana kiuhalisia ulimwengu (multiverse, not universe) hauna mwanzo.
Hapana.Nadharia yangu inajikita kwenye hii kauli.
Kwa sababu sisi binadamu tupo na huu ulimwengu upo kama sisi tusipokuwepo na huu hautakuwepo
Nadharia yangu hiyo Mkuu ๐๐๐Hapana.
Ulimwengu ulikuwepo kabla watu hawajakuwapo.
Na utakuwapo hata watu wasipokuwapo.
Hiyo si nadharia ni nadharia tete.Nadharia yangu hiyo Mkuu ๐๐๐
Asante kwa kunielewesha na kuniweka sawqHiyo si nadharia ni nadharia tete.
๐ฎUsiwe mjinga kiasi hicho kila siku nakwambia mambo usio kuwa na elimu nayo achana nayo kujadili.
Unaposema akili neno la kufikirika, kwanza ulitakiwa ujue nini maana ya tamko "Kufikirika". Shida yenu ile ile kila siku ya kutojua maana ya maneno.
Hata hao waliosema akili kwenye ubongo hawajui maana ya akili. Akili mahala pake ni moyoni ila ubongo huchukua na kuyaweka mahala pake yale yanayochakatwa na akili ambayo ipo moyoni. Mfano ukiona wewe watu wawili wamevaa nguo fulani za rangi tofauti, hatua ya kwanza ni mlango wa fahamu huchukua taarifa hiyo taarifa inapatiwa utambuzi na akili kwenye moyo na ili kuyaweka hayo mafuhumu katika mahala pake kwa maana, mwenye nguo nyeusi ni mwanamke au mwanamke kazi hii hufanywa na ubongo.
Kwa ufupi akili ni uwezo unaofanya aeupukane na kufanya makosa katika kujenga hoja au matendo. Ndio maana ukija kusoma maana nyepesi ya Logic (Japokuwa huwa mnajifaragua nayo lakini hamuijui asili yake) husemwa Logic (Mantiki) ni elimu ya kutumia akili inayomsaidia mtu asikosee katika kujenga hoja.
Ujinga ulioje kila siku mnaiongelea logic lakini unasema akili ni tamko la kufirika. Una matatizo ya akili kijana.
๐ฎAkili mahala pake ni moyoni.
Chanzo kikuu cha maarifa ni vitabu.Unajuaje ulimwengu una mwanzo?
Arguing from the Quran is a logical fallacy, argument from authority.Chanzo kikuu cha maarifa ni vitabu.
Chanzo kikuu cha kitabu ni ndio aliyeleta wazo la mwanzo wa kila kitu.
Binafsi naweza kuthibitisha hayo kupitia Quran.
Ni matrix ya ajabu sana yenye majibu ya kila hoja.
Hata kama hoja hiyo haitokuwa na majibu kwayo, lkn ukiichimba Quran itakupatiwa majawabu ya maswali yenu mengi.
Kama nilivyosema chanzo cha maarifa ni maandiko.
Hata hivyo kuna ukweli mmoja; kwa kujua chanzo cha maarifa ni vitabu vya Mungu watu wameamua kuingilia vitabu vya Mungu kujinguza uongo ndani yake. Na kwa kuelewa hilo Mungu Elio akaleta kitabu chake cha mwisho ambacho kakifunga. Kakiwekea lock ambayo usijaribu kukifungua kitakuumbua.
๐ฎ
Strange argumentArguing from the Quran is a logical fallacy, argument from authority.
The Quran has a lot of stupid contradictions.
Nakwambia hivi, Quran imejaa contradictions na nikikuwekea hapa uzitatue huwezi kumaliza kuzitatua.Strange argument
Strange learning can't cure stupidity from the learner too.
May be u a contaminated by Egotism
Or just you ever given me the last kicks of a dying horse.