I get you bro now I have run out of energy ila ngoja nipambane mpaka tone la mwishoMkuu,
Kwenye hii Dunia ili utie huruma inabidi uwe na uhakika una watu watakao kuonea huruma, otherwise jitahidi kukaza.
In the jungle of life your salvation is largely in your hands, There is no God who can do anything for you.
Tafakari picha hii, Ndipo utajua hakuna Mungu wa kusaidia chochote.
Jitihada zako ndizo zitakazo kuokoa.
Allah s.w ndie mungu alieumba malaika ,,majini na wanaadam pamoja na kila kichomo ,,haathiriw na muda wala majira ,,uwepo wake hatuwez kuutathmini maana akili yetu inashindwa kuhimili ukuu wake kutokan na alivyotutengeneza ,,ametupulizia energy yke ili iweze kufanya kazi kwenye uhai wetu,, yeye ndie alieratibu kila kitu kwa vinavyoonekana na visivyooneka aMUNGU wa kweli ni Mungu wa Mbinguni, wanamwita Yaweh, Jehovah, ambaye pia ndiye Mungu wa Abraham, Mungu wa Isaka na Mungu wa Israel. Aliyeumba Mbingu na Dunia na Viumbe wote wanaoonekana na wasio onekana, vilivyohai na visivyohai. Yeye ndiye Asili ya yote, Hana mwanzo na hatakaa awe na Mwisho.
Ukielewa chukua, hutaki endelea na majizingaombwe ya Dunia.
Wewe shule ulikwenda kupoteza muda, ada waliyotumia kukusomesha ni bora wangebeti tu, yaan mpaka sasa kuna watu hawajui kazi ya ubongo??,Ubongo sio akili. Nadhani nimesha eleza yote kuhusu hilo. Kama bado huelewi basi that's up to you.
Mimi sio Mungu, na wewe sio Mungu.Miungu wote wa dini ni uzushi, Allah hayupo, Yesu, Elshadai sijui takataka inayoitwa Yehova huyu hayupo, hajawai kuwepo na hatowai kuwepo, acheni kuamini ujinga.
Mungu wa kweli ni wewe binadamu mwenye uwezo wa kuzaa kiumbe ama wewe mtu/binadamu mwenye nguvu/ushawishi mkubwa ktk jamii,ukoo,familia,mtaa, nchi wewe ndiye Mungu.
Chief, ni kwa facts zipi kwamba Mungu hayupo? Sayansi nayo hutumia neno nadharia kuelezea jsmbo lisilokuwepo, huku wakitafuta facts juu yake. Mmojawapo ya nadharia ni asili ya ulimwengu. Hivyo nae anaeamini aachwe hadi wakati ukifika wa kufahamuKitu chochote ambacho hakipo, Kujitahidi kuelezea kipo huwa ni ngumu sana.
Ndio maana waamini mungu (Theists) wanahangaika sana kuelezea mungu asiyekuwepo.
All religions require you to have faith because they lack proves, evidences, facts, logic and reasoning.
Huyo mjasiriamali mlaini tu kama kekiSasa nyie jichanganyeni kuweka ligi na huyo Infropreneur πππ
Sio mda atakuja na tag ya Kiranga
Hapo lazima mkae kwanza...
ππππ
Unayesema Mungu yupo ndio utoe facts za uwepo wake.Chief, ni kwa facts zipi kwamba Mungu hayupo?
Sayansi nayo hutumia neno nadharia kuelezea jsmbo lisilokuwepo, huku wakitafuta facts juu yake. Mmojawapo ya nadharia ni asili ya ulimwengu. Hivyo nae anaeamini aachwe hadi wakati ukifika wa kufahamu
Nyie msio na imani mna tabu sana. Anza kuthibitisha kwamba hakuna Mungu. Mimi kwa nafasi yangu na nafsi yangu nakiri kuwa yupo kulingana na uumbaji uliopo. Sihitaji facts katika hili. Hii hali ya kutoelezeka katika uumbaji ndio uungu wenyewe.Unayesema Mungu yupo ndio utoe facts za uwepo wake.
Kama huna facts za uwepo wa huyo Mungu automatically hayupo.
Sasa wewe unadai Mungu yupo halafu huna facts.
Kitu kisichokuwepo hakina facts zozote zile kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kutolewa facts.
Vivyo hivyo, Mungu huyo hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Ukisema yupo, ndio utoe uthibitisho wa namna gani huyo Mungu yupo.
Kuhusisha vitu vilivyopo kwa kudai kwamba viliumbwa na kitu fulani kiitwacho mungu ambacho hata kuthibitisha huwezi ni kufanya hitimisho potofu.Nyie msio na imani mna tabu sana. Anza kuthibitisha kwamba hakuna Mungu. Mimi kwa nafasi yangu na nafsi yangu nakiri kuwa yupo kulingana na uumbaji uliopo. Sihitaji facts katika hili. Hii hali ya kutoelezeka katika uumbaji ndio uungu wenyewe.
Sasa tuje kwako mtu wa facts. Tupatie asili ya mtu/bunadamu kwa facts
Mbona we Jamaa ni mjinga kwenye Mambo marahisi na madogo hv? Hivi una elimu hata ya msingi kweli?Kumbuka Brain ni physical, ili ipate hitilafu basi sababu inakuwa physical pia.
Sasa nadhani unafahamu kuna watu wamepata uchizi bila hata kuguswa physically.
Kupata uchizi ni matokeo ya kuvugika kwa mfumo wa akili, yani bado brain inakuwa inafanya kazi vizuri tu na ina sence na kutafsiri vitu kama maumivu,harufu, sauti na mengineyo.
Ubongo na akili ni vitu viwili tofauti japo kazi zao hutegemea ushirikiano. Ubongo una tafsiri hisia, miguso au maumivu ya physical. Akili ni kipawa cha kufikiri, kubuni na kuchanganua mambo mbalimbali.Mbona we Jamaa ni mjinga kwenye Mambo marahisi na madogo hv? Hivi una elimu hata ya msingi kweli?
Yani kwa ukweli kabisa unafikiri ubongo hauhusiki na akili? Hivi gurudumu la Gari linapozunguka injini haihusiki? Unatia aibu. Jaribu kusoma ht mitandaoni kazi za brain uongeze ufahamu uondoe aibu hii. Kwenye mwili wa binadamu hakuna mind wala hiyo akili. Wala hakuna kinachoitwa roho. Hivo ni vitu vya kufikirika tu ambavyo vinatokana na kaz za ubongo. Kwenye ubongo kuna section zote hizo. Ww na hizo akili zako unazofikiri cjui ziko mgongoni, cjui utosini, ukichezewa ubongo tu, hutafikiri Wala kuwaza chochote. Ni Sawa na kuzima injini ya Gari, hutaona tairi likizunguka tena.
Ni kama goti na tako na viungo vingine vilivyobatizwa.Akili ni neno la kufikirika tu.
Si kitu ambacho kinaonekana au kipo kwenye ubongo wa mwanadamu.
Ufanyaji kazi wa ubongo ndio ulipachikwa jina "Akili"
Ukipasua kichwa cha binadamu huwezi kuta hiyo akili
Ukweli mchungu ni huu, pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu.
Hiki na ukichokiandika hapo juu ndio hicho hicho.Ni wewe pekee na wenzako ndio mpo gizani na hii ni kwa kujitakia wenyewe. Kama ungekuwa unanitumia akili yako vizuri katika kuzingatia na kutafakari tu juu ya Ulimwengu ungekuwa ushamjua Mungu wa kweli ni yupi. Shida yenu ni uvivu wa kutafuta maarifa na kutafakari.Sisemi kuwa Mungu yupo au hayupo hapana, bali naandika kuhusu giza la ufahamu tulilonalo juu ya yupi ni Mungu sahihi ama kipi ni chanzo sahihi cha ulimwengu!
Nafahamu watu na imani zenu mnaona kama naandika maandiko yasiyosahihi!,ila naomba utulivu wa fikra zako japo kwa uchache tutazame vitu kwa undani zaidi.
Hebu fikiri imani uliyonayo sasa, najua wengi wenu mmeirithi toka kwenye jamii ulipozaliwa hivyo ulivyo laiti ungezaliwa katika jamii inayoabudu budha nawe ungeamini na kuabudu na pia ungejiona upo sahihi, imani ambayo ingekuwa tofauti nawe ungeona Kama ni uongo tupu!
Swali zuri nalotaka ujiulize ni kwanini tuna aina nyingi hivi ya Mungu/Miungu? Na wakati ukiangalia kiuhalisia sisi sote ni binadamu wamoja, mazingira mamoja, tunavuta hewa moja n.k.
So yupi ni sahihi?
Kipi kinathibitisha kuwa wewe sio au ndio unaeamini mahali sahihi?
Hapo najua unacheka mwenyewe kwa majibu yako. Na hiyo kusema logical non sequitur ni subjective terms ambazo hazipimiki. Ni sawa na kusema God ni Gold, Oil, Diamonds. Ukija kwa kiswahili neno Mungu haliaply hapo. Hivyo ndugu kuna vitu sihitaji kuthibitisha. Ndio maana kuna maneno kama omnipotent.Kuhusisha vitu vilivyopo kwa kudai kwamba viliumbwa na kitu fulani kiitwacho mungu ambacho hata kuthibitisha huwezi ni kufanya hitimisho potofu.
Hii inaitwa Logical non sequitur.
Unataka nikupe asili ya mtu/ Binadamu, Nikikwambia asili ya mtu ni mtu mwenyewe utakubali?
Au unataka asili ya namna gani?
Kwani wewe huwezi kuwa asili ya mtoto wako?
Au unataka asili ya mtoto wako iwe kiumbe cha kufikirika isiwe wewe?
Kama kuna vitu huhitaji kuthibitisha ulijuaje vipo?Hapo najua unacheka mwenyewe kwa majibu yako. Na hiyo kusema logical non sequitur ni subjective terms ambazo hazipimiki. Ni sawa na kusema God ni Gold, Oil, Diamonds. Ukija kwa kiswahili neno Mungu haliaply hapo. Hivyo ndugu kuna vitu sihitaji kuthibitisha. Ndio maana kuna maneno kama omnipotent.
Baada ya wakulu kutia timuSasa nyie jichanganyeni kuweka ligi na huyo Infropreneur πππ
Sio mda atakuja na tag ya Kiranga
Hapo lazima mkae kwanza...
ππππ
Nawe kama kuna vitu unajua vipo ukashindwa kuthibitisha Uwepo wake tuiteje?Kama kuna vitu huhitaji kuthibitisha ulijuaje vipo?
Au una amini hivyohivyo mkichwa mkichwa kwa vile uliaminishwa vipo?
Kitu gani nimeshindwa kuthibitisha?Nawe kama kuna vitu unajua vipo ukashindwa kuthibitisha Uwepo wake tuiteje?