Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Kutokuwepo kwa muumbaji
Nilisema Ulimwengu hauhitaji na hauna muumbaji.

Wewe ndio ulidai na unadai ulimwengu una muumbaji halafu huna uthibitisho na ukisemacho.

Thibitisha huyo muumbaji/mungu wa ulimwengu ni nani?
 
Nilisema Ulimwengu hauhitaji na hauna muumbaji.

Wewe ndio ulidai na unadai ulimwengu una muumbaji halafu huna uthibitisho na ukisemacho.

Thibitisha huyo muumbaji/mungu wa ulimwengu ni nani?
Sio kila kitu kinahitaji uthibitisho. Vingine vya kustaajabia tu. Labda ni kweli hakukuwepo na uumbaji. Sasa nawe nithibitishie kutokuwepo uumbaji
 
Akili alizo


Akili alizokupa Mungu wa kweli mbaye ndio aliyokuumba zinauwezo wa kumjua Mungu wa kweli na dini ya kweli
Acha alawama za kijinga mtafute Mungu wako aliyekuumba na umuabudi

Na ndio maana waliokufa wakiwa watoto na machizi hawataingia Jahannam Kwa sababu akili zao haziwezi kupambanua
 
Sio kila kitu kinahitaji uthibitisho. Vingine vya kustaajabia tu. Labda ni kweli hakukuwepo na uumbaji. Sasa nawe nithibitishie kutokuwepo uumbaji
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote ule wa kisayansi au kidini unaothibitisha pasi shaka kwamba ulimwengu uliumbwa.

Zilizopo ni nadharia tu, za watu wa dini na mitazamo ya baadhi ya wanasayansi wakidai kwamba ulimwengu uliumbwa.

Hakuna uthibitisho wowote wa kutokea Bing-bang wala kuwepo mungu zaidi ya hadithi na stori stori tu.

Kwa hivyo ni kwamba, ulimwengu upo tu wenyewe pasipo muumbaji au uumbaji.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na uumbaji, basi hata huo uumbaji wenyewe utahitaji uumbaji mwingine, Na huo uumbaji mwingine utahitaji uumbaji mwingine, Vivyohivyo pasipo kukoma.

Yani pasiwepo uumbaji wowote ule ulio exist wenyewe tu, from no where.

Ulimwengu ni Omnipresent. ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.

Lakini kama haiwezekani ulimwengu kuwa omnipresent basi hata huyo Mungu mnayedai yupo haiwezekani awe omnipresent, Na yeye lazima awe na Muumbaji wake.

You cannot exclude God from this logic...
 
Maelezo yako ni ushahidi tosha kwamba kati yako mpagani na mimi muumini ni nadharia na imani. Watu wa dini ndio huamini. Watu wa sayansi hudhania kwa nadharia zao. Tofauti hapo ni maneno tu kwani ukomo wa sayansi ni nadharia. Na ukomo wa dini ni imani. Aidha nadharia hutangulia ikifuatiwa na uthibitisho. Ukikisekana basi hubakia nadharia, mfano wa nadharia ya bing bang.

Ukweli mwingine ni kwamba kitendo cha mwanadamu kushindwa ku decode siri na chanzo cha uumbaji na ulimwengu, ndipo uungu unapata nafasi. Na utatamba hadi wanasayansi watakapokuja na facts za asili ya mwanadamu na nguvu za uumbaji. So as you wrote, you cannot exclude God from this parable (rather not logic) until man deciphers the beginning of existence (of which he may NOT)
 
And that God will remain Fictional until you will be able to prove his existence.

Otherwise, Mungu huyo ha exist kwenye uhalisia bali katika mafikirio yenu tu.
 
Hamna Hela ndiomaana mnabshana..😂 tafuteni Hela buana hayo mengine mumeyakuta na mtayacha😂
Tatizo la watanzania mnadhani kila mtu ni maskini kama nyie wa kumwambia " Tafuta hela"

Kama wewe bado una tafuta hela fahamu kwamba bado wewe ni msakatonge, mganga njaa.

Watu tushatoka huko kwenye kutafuta hela tupo kwenye hatua ya ku spend hela..
 
Tatizo ni mnadhani Mungu ni 'kiumbe' kinachoitwa kwa jina hilo. Mkibadilisha mentality ya kwamba Mungu si kiumbe mtaelewa ambayo hata si kazi kuyaelewa.
 
Tatizo la watanzania mnadhani kila mtu ni maskini kama nyie wa kumwambia " Tafuta hela"

Kama wewe bado una tafuta hela fahamu kwamba bado wewe ni msakatonge, mganga njaa.

Watu tushatoka huko kwenye kutafuta hela tupo kwenye hatua ya ku spend hela..
Haya nimekuelewa mkubwa😂
 
Kama ubongo na akili ni vitu viwili tofauti.

Hiyo akili inakaa wapi?
akili na ubongo ni vitu tofauti .akili ni marifa au mawazo. kiasili haionekani kwa macho ipo kiroho ila inashirikiana na ubongo kufanya kazi zake.chizi ni mtu aliyevurugika mawazo na mienendo na maarifa hii iko kama sensa yaani akili ubongo anakua nao tufresh na unaonekana.unapomkuta chizi anakimbia kuna vitu anaviuna kutoka kwenye akili nasio kwenye ubongo akili ipo kiroho sema inashirikiana na ubongo yaani iko ndani ya ubongo kama ilivyo roho kwenye damu yaani (uhai)
 
Upo sahihi sana imefika stage mbaya ya kumuabudu hata kiongozi wa dini.
 
It is obvious kwamba Mungu yupo angalia namna mifumo ya dunia ilivyotengenezwa kwa ustadi inaonesha Kuna akili isiyo ya kawaida sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…