Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Napenda argument.Nakwambia hivi, Quran imejaa contradictions na nikikuwekea hapa uzitatue huwezi kumaliza kuzitatua.
Bisha.
Weka ndugu nikufunze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda argument.Nakwambia hivi, Quran imejaa contradictions na nikikuwekea hapa uzitatue huwezi kumaliza kuzitatua.
Bisha.
Unajuaje wewe ndiye utanifunza mimi na si mimi ndiye nitakufunza wewe?Napenda argument.
Weka ndugu nikufunze
Niko huru ndugu nani msomi na mbobezi wa dini. kwa maana si uislam tu. Bali ni msomi wa dini.Unajuaje wewe ndiye utanifunza mimi na si mimi ndiye nitakufunza wewe?
Nikikiwekea clear contradictiins zinazoonesha uongo wa Quran utakubali Quran ina contradictions na uongo?
Au utaendelea kuleta figisu na kuitetea kwa sababu ni kitabu chako tu?
Niko huru ndugu nani msomi na mbobezi wa dini. kwa maana si uislam tu. Bali ni msomi wa dini.
Kwa hiyo naelewa mengi kabla ya wewe kuwekeza. Mara nyingi nakuwa Mbele ya muda.
Nimeusoma umarx kama dini na umakaveli kdg.
Lkn nimesoma falsafa kama dini
Hata hivyo sijipi kiburi kuwa najua kila kitu.
Asante umeshindaUshajipa kiburi kwa kuniambia "Weka ndugu nikufunze", yani ushajipa kiburi kuwa wewe ndiye utanifunza mimi, na si mimi nitakayekufunza wewe, halafu unaandika hujipi kiburi.
Hujui hata umesimamia wapi, una ji contradict.
Umekubali kwamba ume ji contradict?Asante umeshinda
Namekubali wewe una knowledge na mimi nina wisdom.Umekubali kwamba ume ji contradict?
Unajipa kiburi halafu unasema hujipi kiburi?
Bado una kiburi halafu unajinadi huna kiburi.Namekubali wewe una knowledge na mimi nina wisdom.
Mfano wa Knowledge ni kujua nyanya ni tunda. Lkn wisdom ni kutochanganya nyanya na matunda as salad
Nimeamua ku quite mjadala nawe. Ni muoga. Nani dalili hutoweza kupokea kile nilichonacho. Kwa kuwa bado hatujafikia ngazi hiyo. Shukran fr your timeBado una kiburi halafu unajinadi huna kiburi.
Acha watu waseme una nini na huna nini.
Vinginevyo ni habari za muwamba ngoma ngozi huvutia kwake.
Andiko lako linatafakarisha. Ukitoka nje ya box na kulisoma kwa umakini utagundua mengi mno yakustaajabisha katika hizi dini (imani) zetu.NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai.
Ukweli mchungu ni huu, pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu.
Sisemi kuwa Mungu yupo au hayupo hapana, bali naandika kuhusu giza la ufahamu tulilonalo juu ya yupi ni Mungu sahihi ama kipi ni chanzo sahihi cha ulimwengu!
Nafahamu watu na imani zenu mnaona kama naandika maandiko yasiyosahihi!,ila naomba utulivu wa fikra zako japo kwa uchache tutazame vitu kwa undani zaidi.
Hebu fikiri imani uliyonayo sasa, najua wengi wenu mmeirithi toka kwenye jamii ulipozaliwa hivyo ulivyo laiti ungezaliwa katika jamii inayoabudu budha nawe ungeamini na kuabudu na pia ungejiona upo sahihi, imani ambayo ingekuwa tofauti nawe ungeona Kama ni uongo tupu!
Ulishawahi kujiuliza kwanini?
Jibu baki nalo!
Swali zuri nalotaka ujiulize ni kwanini tuna aina nyingi hivi ya Mungu/Miungu? Na wakati ukiangalia kiuhalisia sisi sote ni binadamu wamoja, mazingira mamoja, tunavuta hewa moja n.k.
Kwenye vitu vidogo vidogo hivi tunafanana lakini hili kubwa tunatofauti sana!
Anaeabudu tofauti nawewe unamuona sio sahihi, nayeye pia anakuona wewe sio sahihi!
So yupi ni sahihi?
Kipi kinathibitisha kuwa wewe sio au ndio unaeamini mahali sahihi?
Mtu aliekinyume na imani yako ambae amezaliwa nakuamini tofauti unafikiri amefanya kosa lipi kwa Mungu wako kwa kutokumuamini kuwa ndie Mungu sahihi, ikiwa hakupata ufahamu wowote juu ya Mungu wako?
Je, unafikiri kati yako na Mungu nani alistahiri kumtoa kwenye tope mwenzake nakumleta mahali sahihi?
Maswali haya nikuchokoza ubongo wako ili ufikiri na uelewe nini namaanisha.
Je, huyo Mungu wako mwenye uweza haoni kama ana hatia kwa kuiachia Miungu mengine iabudiwe na kuwapoteza watu wake na hata kuja kuwapa adhabu watu hao?
Ukweli mchungu mwengine ni huu, mpaka Sasa binadamu hatufahamu Mungu sahihi na ndio maana bado tuna Miungu mingi tunayoabudu!
Laiti kama usahihi wa Mungu kweli ungeonekana kati ya Miungu tunayoijua basi binadamu asingekuwa kiumbe mwenye kutapatapa ktk imani!
Kwani kusingekuwa nashaka juu ya Mungu husika kwenye vichwa vyetu!
Tumezaliwa nakukuta vitu hivi vya imani, tumerithishwa tukavipokea (wapo wasiopokea) na tukaviamini (wapo wasioamini pia).
Jiulize, kwani imeshindikana nini kumfahamu Mungu mmoja wa kweli pasipo kurithishwa?
Imagine uzaliwe ujue kunyonya,ujue kupumua ujue kutazama ila Mungu wa kweli usimjue bali urithishwe.![emoji3]
Kimekosekana nini mpaka Tushindwe kumjua Mungu ndani yetu pasipo kufundishwa?
Binafsi mpaka hivi sasa katika Mungu na Miungu ambayo nimeilist hapo juu hakuna hata mmoja ambae logics zake zimeniingia akilini na kunishawishi kuwa yeye ndie Mungu wa kweli!
Hata robo ya ulimwengu jinsi unavyofanya kazi bado hatujaujua ama siri na kanuni za ulimwengu unavyofanya kazi bado hatujazijua!.
MIUNGU wengi tulionao tunaowaabudu bado hawana majibu juu ya chanzo chao pia na ulimwengu kiujumla! Nafikiri zipo sheria mama za kiulimwengu ambazo tukizigundua basi tunaweza kuujua ukweli wote!
Tunajikuta katika lindi la imani hizi kwasababu Kuna kitu hatujajua bado! Giza la ufahamu mbele yetu ndilo linatuweka katika matokeo haya!
Hatujui usahihi wa kweli ipi ndio maana tunatofauti katika Mungu tumuabudie!, kweli huwa haina mashaka ila uwezo wa ufahamu wako ndio unaamua ubebe kipi na uache kipi.
Kwa akili naufahamu wako umeamini kuwa wapo watu wameteuliwa kuwa karibu na Mungu, hivyo wanaweza kukusogeza karibu na Mungu! Kwanini sio wewe mwenyewe ikiwa wewe ni asili toka kwake?
Siamini katika Mungu wa mashaka ambae toka binadamu amekuwepo ktk dunia hii tunaambiwa yupo ila anawashukia wachache na hali ipo Kama hivi ilivyo! Hata kuthibitika kwake bado imekuwa ni mashaka au matendo yake hayathibitiki bali masimulizi!
Mungu ambae ameumba ulimwengu wenye sayari lukuki na akamtupa shetani katika dunia ambayo inaviumbe wake wapendwa! Mungu ambae anasema kwamba shetani amekuja kutujaribu hivyo ni kazi yake mwenyewe anaipima na Kama hukuwa sahihi basi unapewa adhabu! Sa nani hayupo sahihi ikiwa mimi nilieumbwa au yeye alieniumba?
Haitoshi yupo Mungu na Miungu iliyobumbwa kwa vito ambavyo vimetoka hapahapa duniania na tunaambiwa wao ndio walituumba!
Nfikiri tunasafari ndefu ya kufahamu ukweli juu ya nadharia ya Umungu na Mungu mwenyewe pamoja na chanzo cha ulimwengu.
Ila nikupe ukweli wote Dini ni matrix iliyotengenezwa na wachache wanaoujua ukwel ili kutawala wengne, soul zetu zimetoka kwa Mungu kweli na zinatambua Hilo, Ila akili zetu zimetekwa na matrix huku duniani, Cha msingi apo nikufanya juhudi binafsi za kiroho ili kujitambua wewe Ni Nan umetoka wap,umekuja kufanya nin na utaenda wap? Kumeditate Ni muhimu ili kuwa na utulivu na kufungua Soul zetu.
Viongozi wenu wa dini wanapoishiwa hoja hukimbilia vitisho vya kifo.Finally, ukifa ndiyo utajua hujui
Ok, ndo Mungu aliyetutaka tuibariki Israel na tusipoibariki tutalaaniwa! Si ndo huyo?MUNGU wa kweli ni Mungu wa Mbinguni, wanamwita Yaweh, Jehovah, ambaye pia ndiye Mungu wa Abraham, Mungu wa Isaka na Mungu wa Israel. Aliyeumba Mbingu na Dunia na Viumbe wote wanaoonekana na wasio onekana, vilivyohai na visivyohai. Yeye ndiye Asili ya yote, Hana mwanzo na hatakaa awe na Mwisho.
Ukielewa chukua, hutaki endelea na majizingaombwe ya Dunia.
Akili siyo kiungo ila ni matokeo ya ufanyaji kazi wa Brain.Hatakama ni neno tu, Bado akili ipo na kama hauamni kwamba ipo basi kwako ndy itakuwa haipo.
Wewe hujafikia viwango vya kufanya mjadala, unafanya humble brag za "sina kiburi" kwa kutoa kauli zenye kiburi.Nimeamua ku quite mjadala nawe. Ni muoga. Nani dalili hutoweza kupokea kile nilichonacho. Kwa kuwa bado hatujafikia ngazi hiyo. Shukran fr your time
🚮Kazi yangu nimemaliza.
You are not mentally enough to argue with me.Safi.
Kazi yangu nimemaliza.
Hujawahi kujenga hoja unaweza siku zote na mpaka unakufa, utanikimbia hivi hivi.You are not mentally enough to argue with me.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Wewe huwaga ni kilaza na sina muda wa kujadiliana na mtu ambaye nje ya Quran huna unachojua.Hujawahi kujenga hoja unaweza siku zote na mpaka unakufa, utanikimbia hivi hivi.
Shida mna utoto mwingi na mnafikiria kitoto sana.
Hizi mada za wakubwa na zinahitaji elimu na maarifa.
Mtu amejua ulimwengu umekuwepo kabla ya yeye kuwepo baada ya yeye kuwepo.Hapana.
Ulimwengu ulikuwepo kabla watu hawajakuwapo.
Na utakuwapo hata watu wasipokuwapo