Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
This logical fallacy is called logical non sequitur.Mtu amejua ulimwengu umekuwepo kabla ya yeye kuwepo baada ya yeye kuwepo.
Maana yake ni kwamba mtu hakuwa anajua kama ulimwengu upo au hata umekuwepo kabla ya yeye kuanza kuwepo. Uzoefu huo ameupata baada ya kuanza kuwepo duniani.
Kwa maneno mengine ni kuwa, kabla mtu hajaanza kuwepo duniani hakuwa anajua kama ulimwengu upo na kwamba umekuwepo kabla ya yeye kuwepo.
Hii inaonyesha kwamba kama mtu au watu hawatakuwepo, uzoefu kwamba ulimwengu upo au ulikuwepo na utakuwepo hautakuwepo na hivyo ulimwengu pia hautakuwepo.
Ukweli kwamba wewe hunioni, haumaanishi kwamba mimi sipo.