Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata angekaa kimya.

Chalamila amebwabwaja tu wala hakuna alichosema cha maana kutuambia kwa nini, yeye kama kiongozi mwakilishi wa raisi, alitoa kauli kama ile ya kubeza, kudhalilisha na hata kumtukana mama ambae alikuwa akimlilia kuhusu kulazimishwa kutoa Tshs 50,000 ili apewe huduma ya kujifungua. Mtu yeyote mwenye akili hawezi kudhania kwamba huu ni utetezi unaotolewa na msomi wa Masters degree. Chalamila hata anagusia kwamba huyu mama mjamzito alishindwa kulipa Shsh 50,000 kwa sababu alimaliza fedha kwenye ngoma za vigodoro! In fact, hayo ni matusi kwa watu wasio na uwezo kwamba wanashupalia ngoma ndio maana hawawezi kumudu gharama za matibabu!

Ushauri wangu kwa Chalamila ni kwamba aache kiburi. Aombe msamaha kwa huyo mama mjamzito, kwa mume wake, kwa Rais Samia na kwa Watanzania wote kwa ujumla. In fact, kwa kauli ya Chalamila, kiongozi yeyote mwenye akili za kiasi angeandika barua ya kujiuzulu kwa Raisi Samia badala ya kusubiri kuondolewa. Kuendelea kujitetea ni kuwaambia wananchi alichosema ndio msimamo wa serikali ya Samia - kama huna hela ya kuchangia kujifungua mwambie mumeo achukue kisu na mikasi akuzalishe!

Na niseme wazi, Raisi Samia usipomchukulia Chalamila hatua yeyote basi utaonekana na watu wengi zaidi kuwa wewe ndio tatizo. Uchaguzi ni wako, umsuke Chalamila au umnyoe!

Hebu msikilize Chalamila wewe mwenyewe u-judge kama huu ni utetezi unaopaswa kutolewa na kiongozi kama Chalamila

Ona pia: CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue
Naungana na Chalamila , yani unaambiwa elfu Hamsini changia vifaa ,unampigia mkuu wa Mkoa ,so lengo ni nini kama sio kuchafua watumishi wetu idara ya afya!

Nchi hii hii ukisha kuwa na no ya waziri, mkuu mkoa basi unajiona hu bingwa , Kwa hili nasimama na Chalamila
 
wewe chizi...Sawa huduma ya kumfungulisha mama mjamzito ni bure, Je unajua gharama ya delivery KIT?

Mjamzito anakuja hospitali akiwa na upande wa kanga tu, Je hizo gharama za vifaa vya kumfungulisha mjamzito zinatolewa na nani?
 
Una umri gani mzee!? Kuna watu elfu 5 ya kula wanaibahatisha, ila kuipata 50 ndio kimbembe, jamani tembeeni muone hali zilivyo nchini.

50 unaitaja eazy tu, kuna watu 50k ni kipengele kikubwa kwake.
wajawazito huwa wanashauriwa kuwa na kibubu nyumbani ili kutunza mia mbili kwa ajili ya kumsaidia kupata vifaa vya kujifungulia
 
Hata Nape baada ya kutoa boko huko Kagera aliibuka na ufafanuzi wa kiboya kabla ya kuliwa kichwa!

Huyu naye akae mguu pande!
 
Watu wengi hamuelewi,Procedure ya kumzalisha mama mjamzito ndio bure ila vifaa vya kujifungulia ndio wanatakiwa kulipia.

mfano Gloves tu zinazotolewa na MSD hazitoshi kuwafungulisha wajawazito hivyo inawapasa waende kununua waje nazo hospital.

Mjamzito anatakiwa kufanya Full blood picture gharama 10000

pia anatakiwa apime homa ya ini anatakiwa alipe 10000

mipira anatakiwa anunue n.k

Serikali inavitaka vituo vya afya vikusanye mapato ili kusaidia kuboresha sekta ya afya. Ila wanasiasa wakisimama kwenye majukwaa hawaelezi ukweli ambao Chalamila ameuelezea.

Muhudumu wa afya ndio anakuhudumia bure ila vifaa vyote vya kujifungulia ni lazima mjamzito ajae navyo hospital au kama hana inabidi anunue hapo hospitali amepewe Delivery KIT.
 
Hilo ndilo tatizo kubwa siku hizi.
Umeniambia msikilize Chalamila anaongea kuhusu wanawake wenye mimba, lakini hapo anaongea kuhusu mambo mengine.
 
Utani.
Mimba upewe kwa kununuliwa chips YAI.
Alafu kuzaa uzae Bure, haingii akilini
 
Chalamila bugabuga ni mpumbavu wa asili.
Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata angekaa kimya.

Chalamila amebwabwaja tu wala hakuna alichosema cha maana kutuambia kwa nini, yeye kama kiongozi mwakilishi wa raisi, alitoa kauli kama ile ya kubeza, kudhalilisha na hata kumtukana mama ambae alikuwa akimlilia kuhusu kulazimishwa kutoa Tshs 50,000 ili apewe huduma ya kujifungua. Mtu yeyote mwenye akili hawezi kudhania kwamba huu ni utetezi unaotolewa na msomi wa Masters degree. Chalamila hata anagusia kwamba huyu mama mjamzito alishindwa kulipa Shsh 50,000 kwa sababu alimaliza fedha kwenye ngoma za vigodoro! In fact, hayo ni matusi kwa watu wasio na uwezo kwamba wanashupalia ngoma ndio maana hawawezi kumudu gharama za matibabu!

Ushauri wangu kwa Chalamila ni kwamba aache kiburi. Aombe msamaha kwa huyo mama mjamzito, kwa mume wake, kwa Rais Samia na kwa Watanzania wote kwa ujumla. In fact, kwa kauli ya Chalamila, kiongozi yeyote mwenye akili za kiasi angeandika barua ya kujiuzulu kwa Raisi Samia badala ya kusubiri kuondolewa. Kuendelea kujitetea ni kuwaambia wananchi alichosema ndio msimamo wa serikali ya Samia - kama huna hela ya kuchangia kujifungua mwambie mumeo achukue kisu na mikasi akuzalishe!

Na niseme wazi, Raisi Samia usipomchukulia Chalamila hatua yeyote basi utaonekana na watu wengi zaidi kuwa wewe ndio tatizo. Uchaguzi ni wako, umsuke Chalamila au umnyoe!

Hebu msikilize Chalamila wewe mwenyewe u-judge kama huu ni utetezi unaopaswa kutolewa na kiongozi kama Chalamila

Ona pia: CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue
 
Inawezekana mkuu wa mkoa kajibu hivyo kwa sababu ya hizohizo siasa, maana unamama mja mzito umefika wakati wa kujifungua zile hekaheka tu ni wazi kila utakachoambiwa na daktari utakitafuta tu, kwa wakati huo huwezi kukumbuka kumpigia simu mkuu wa mkoa.
Suala la ujauzito sio dharula, kwa mjamzito anayehudhuria kliniki mara nyingi anakuwa kishaambiwa mahitaji yote wakati wa kujifungua lakini ikitokea mama mjamzito wakati wa kujifungua hana maandalizi yoyote watamhudumia kama kawaida(tumasimango tutakuwepo kidogo) atalipa baada ya kuhudumiwa, huku ninakoishi hataruhusiwa hadi atakapolipia gharama zote.Mimi naamini hakuna zahanati, kituo cha afya au hospitali ambayo inaweza kuacha kumhudumia mama mjamzito wakati wa kujifungu kwa sababu ya kukosa hela kama zipo labda lakini naamin hivyo
 
wewe chizi...Sawa huduma ya kumfungulisha mama mjamzito ni bure, Je unajua gharama ya delivery KIT?

Mjamzito anakuja hospitali akiwa na upande wa kanga tu, Je hizo gharama za vifaa vya kumfungulisha mjamzito zinatolewa na nani?
Na tozo unazokamuliwa wewe kila siku!

Watu mnajitia ujinga sana. Wewe kuna siku hata moja umewahi kusikia mawaziri wanaopewa magari ya kutembelea bure, kuna siku wanaambiwa wachangie kununua mafuta ya hayo magari kwa sababu mara nyingine wanayatumia kwa safari binafsi?
 
Hilo ndilo tatizo kubwa siku hizi.
Umeniambia msikilize Chalamila anaongea kuhusu wanawake wenye mimba, lakini hapo anaongea kuhusu mambo mengine.
Wewe nawe una tatizo kama la Chalamila. Huelewii mambo halafu unaishia kulaumu. Aliekuambia hiyo link anaongelea mambo kuhusu wanawake wenye mimba nani? Soma thread, acha uvivu wa kusoma na kurukia vitu bila kuelewa background!
 
Utani.
Mimba upewe kwa kununuliwa chips YAI.
Alafu kuzaa uzae Bure, haingii akilini
Jamani, si watu wote wanapata mimba kwa sababu walitoa mbususu ili wapate mimba! Kuna wengi wanazaa hawakuwa tayari wala hawana uwezo wa kugharamia au kulea mtoto.

Hivi wewe, ikiwa mara zote ulizokula mbususu zingekuwa mimba, kwa sasa ungekuwa na watoto wangapi?
 
Watu wengi hamuelewi,Procedure ya kumzalisha mama mjamzito ndio bure ila vifaa vya kujifungulia ndio wanatakiwa kulipia.

mfano Gloves tu zinazotolewa na MSD hazitoshi kuwafungulisha wajawazito hivyo inawapasa waende kununua waje nazo hospital.

Mjamzito anatakiwa kufanya Full blood picture gharama 10000

pia anatakiwa apime homa ya ini anatakiwa alipe 10000

mipira anatakiwa anunue n.k

Serikali inavitaka vituo vya afya vikusanye mapato ili kusaidia kuboresha sekta ya afya. Ila wanasiasa wakisimama kwenye majukwaa hawaelezi ukweli ambao Chalamila ameuelezea.

Muhudumu wa afya ndio anakuhudumia bure ila vifaa vyote vya kujifungulia ni lazima mjamzito ajae navyo hospital au kama hana inabidi anunue hapo hospitali amepewe Delivery KIT.
Wewe utakuwa unafanya hospitali, tena cashier wewe!
 
Hivi kuzaa si wanasema ni bure
Kakudanganya nani,mi week iliyopita nimempeleka mtoto wa miezi saba mwananyamala alikuwa anaumwa maututi,kalazwa siku tano bill laki moja na, na tunaambiwa watt chini ya miaka mitano bure.....nilihoji nikajibiwa ikiwa ivyo basi hospital zitakosa hata dawa eti.,
 
wewe chizi...Sawa huduma ya kumfungulisha mama mjamzito ni bure, Je unajua gharama ya delivery KIT?

Mjamzito anakuja hospitali akiwa na upande wa kanga tu, Je hizo gharama za vifaa vya kumfungulisha mjamzito zinatolewa na nani?
Na tozo na kodi tunazolipa. Mbona husemi Mawaziri unawapa magari ya kutembelea bure, gharama za mafuta ya hayo magari wanataka nani akipie, sisi tena tuliotzwa gari za kununua magari yao?

Kama wajawazito wanalazimishwa wachange gharama ambazo serikali inapaswa kubeba, basi mawaziri walazimishwe kuchangia mafuta ya magari ya bure wanayopewa kutumia!
 
Hivi kuzaa si wanasema ni bure
Screenshot_20250126-223355.jpg
 
Akiwa kama msimamiaji wa mambo ya serikali, amesahau wizara ya afya husema matibabu bure kwa makundi yafuatayo

(1) mama mjazito

(2)watoto chini ya miaka 6 kwamana miaka 5 kurudi chini

(3)Wazee

Leo ,badala watibiwe wanaambiwa eti wakanunue mkasi wakatwe na wanaume zao
 
Screenshot_20250126-223325.jpg

Back
Top Bottom