M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Gharama zote zinapaswa kutolewa na serikali, ndivyo sera ya afya inavyoainisha.wewe chizi...Sawa huduma ya kumfungulisha mama mjamzito ni bure, Je unajua gharama ya delivery KIT?
Mjamzito anakuja hospitali akiwa na upande wa kanga tu, Je hizo gharama za vifaa vya kumfungulisha mjamzito zinatolewa na nani?
Otherwise wabadili sera ili wananchi wafahamu kwamba gharama ni za kulipia, si kutapeli watu kwa cheap politics kuwahadaa wananchi kuwa gharama ni za bure lakini wakifika hospitali wanakuta kumbe walikuwa wamedaganywa tu wanapaswa kulipia.