M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Gharama zote zinapaswa kutolewa na serikali, ndivyo sera ya afya inavyoainisha.wewe chizi...Sawa huduma ya kumfungulisha mama mjamzito ni bure, Je unajua gharama ya delivery KIT?
Mjamzito anakuja hospitali akiwa na upande wa kanga tu, Je hizo gharama za vifaa vya kumfungulisha mjamzito zinatolewa na nani?
Wewe wacha ujinga, wengine hawana hiyo elfu HAMSINI!Mie nimemuelewa. Ebu imagine mkeo ana uchungu wa kujifungua, kaambiwa hawana gloves lipua 50,000/=. Hivi inskuingia akilini kwamba badala ya kutoa hela hizo utachukuacsimu kupiga kwa Mkuu wa Mkoa kweli
Sijui unabisha Nini.Wewe nawe una tatizo kama la Chalamila. Huelewii mambo halafu unaishia kulaumu. Aliekuambia hiyo link anaongelea mambo kuhusu wanawake wenye mimba nani? Soma thread, acha uvivu wa kusoma na kurukia vitu bila kuelewa background!
Ila aliambiwa aache utoto, huyu inaonekana hata haikuwa pendekezo lake Samia.Alivyokuwa RC mwanza mama alimpiga benchi akaenda ikulu analia makamasi yanamtoka kama mtoto kuomba msamaha
Kuna mtu humu JF aliwahi kusema " kichwa cha Chalamila ni mwamvuli wa shingo"Siku zote watu wenye vichwa kama maboga(kichwa Cha chalamila)Huwa wanaropoka sana.
Watanzania wengi ni wajinga.Na chalamila anakemia wajinga kujipa UMUHIMU.Mie nimemuelewa. Ebu imagine mkeo ana uchungu wa kujifungua, kaambiwa hawana gloves lipua 50,000/=. Hivi inskuingia akilini kwamba badala ya kutoa hela hizo utachukuacsimu kupiga kwa Mkuu wa Mkoa kweli, huku pia ulijiunga na Mtandao wa Maria Sarungi? La pili, umeenda hospitali baba yako mahututi, ukapokelewa, madaktari eakapambana juu chini lakini Mungu hakupenda ukakuta Dad amekufa. Kweli utakataa kulipwa deni la matibabu ya baba yako usingizie mdaiwa amekufa? Kwa kifupi, Watanzania hatuko hivi.
Acheni kujiendekeza ujingaujinga hii ndo inapelekea mikoa ya pwani haina maendeleo kwakuwa mnapenda viongozi wasiowaambia ukweli!!!Hafiki pasaka huyu,
Hajui kuishi na waswahili
Vigodoro ni utamaduni na jadi yao
Fanya kazi uwe na uwezo wa kujihudumia serikali ndo inatia watu mimba??!!!Huyu ni mkuu wa mkoa wa ajabu sana, kiufupi hana akili
Public figure hajui when and how pa kuongea kauli kama hizo?Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!
KAMA ILINGIA KWA HELA ITATOKA KWA HELA🤣🤣🤣🤣Utani.
Mimba upewe kwa kununuliwa chips YAI.
Alafu kuzaa uzae Bure, haingii akilini