Wakati mama anaapishwa wengine machozi yalitoka,si kwamba tunadharau wanawake ama tunadharau wazenj NO,ni sababu tunawajua wanawake vizuri.
Hii nchi ilimshinda JK mwanamume mpaka akazira ikapigwa vizuri mno,ijekuwa huyu mama???
Nchi imejaa wahuni,watu wa fulsa,matapeli,watu wenye uchu na na ashki ya pesa,wasiolitakia mema taifa na wananchi hata chembe,ukiwapa kisogo tu unakuta damage isiyotizamika.
Mama hataki lawama wala ugomvi na mtu,E2 naskia ni kama yuko frustrated hata akikasirishwa na walinzi tu wa getini anatishia kujiudhuru[emoji28][emoji28],kwanini??haoni hata maana ya cheo chake,wa kutubeba alikuwa E 4 lakini nayeye sijui kafungwa nini miguuni wadau[emoji24][emoji24][emoji24].
Mgomo Kkoo unawezafungua njia ya migomo mingine,migomo sio uzalendo,migomo sio uungwana,ila watu wanafanyaje sasa[emoji29][emoji29]