Kuiba Trillion 2 halafu kesho yake unamwambia mtu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa ni matusi, hii inauma sana

Ut

Utafanya nini?
Wale wa goli la mkono bado wapo.
Waliotupoka ushindi 2015 kina Nape na Makamba na Mwigulu bado wapo. Na unaambiwa watu wema hawafi.
2025 itakua Kama 2020 au zaidi.
Inafikirisha...


Pengine wanaweka pesa za kampeni ...na Hangaya hawezi kutawala miaka 15. ..

mipango inasukwa kimya kimya ..lakini Makakamba na wa Msoger ...ndio shida;
 
Watu wanagawa Bandari kwa kampuni za kihuni harafu unawaambia walipe kodi unazungumzia kuiba 2 Trilion mbona hiyo cha mtoto...
Daah, yaani hili la kugawa bandari bure bila kikomo isipomng’oa huyu mama, nothing will!
 
Kwahiyo wewe uliona nchi ilimshinda JK na Mama pekee?

Hawa wengine wa kabla na baada walikuwa vizuri sana siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…