Kuibuka kwa bodaboda wazee, kijana unajifunza nini?

Ha ha ha nimecheka kwa mara ya kwanza siku ya leo.
 
Kwani nyie wa maofisini mkiumwa inakuwaje?
Mkuu usitype tu ili mradi unatype.
Nyie mnakula hazina sijui, ila huku upande mwingine likizo za ugonjwa zina muda wake, zina muda utakaofika utapokea nusu salary.. mwishowe itakata hiyo salary.

Muhimu omba tu Mungu wako usipate magonjwa hayo ya kukulaza muda mrefu, the same applies to hao boda.

Hata huyo boda Mungu akimjaalia atahamia kwa bajaji, tax na mwishowe awe na hiace zake.
 
Ah hapa tumeelewana , kumbe unakubali kuwa akifanikiwa anahama from bodaboda kwenda kwenye hiace, sasa mimi nafanya kilimo nikifanikiwa sihami kwenye kilimo Bali naongeza kuwekeza huko, na kuongeza biashara nyingine
 
Mkuu,Unachotaka kusema ni nini?Kwamba hawa wazee wanaoendesha bodaboda wameyumba?Kwamba vijana wanaoendesha bodaboda sasa hivi wanayumba au unataka kusema nini hasa?

Katika uchumi na utafutaji usione ukadhani.Leo ni ya muhimu kuliko kesho.Ila kesho inajitegemea na leo inajitegemea.

Ukiona mtu anajishughulisha usifikiri hana ramani ujue kwamba yeye ni productive member wa jamii.
 
Good for you… Hongera sana pia boss 😂😂😂😂

Maskini akipata…ila
Mkuu uwe na adabu, wewe kuwahi kupata usiwaone watafutaji ni wazembe.

Kwanza we HUNA HELA zozote, ungekuwa na hela usingekuwa unakaa kuulizia ulizia ka msg kama kameonekana hata kama ni ujira wako.
 
Au sio😎
 
Najifunza kuwa yuko fainali na mechi imepita extra time mpaka matuta
 
Maskini akipata matako Julia mbwata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…