Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Unakariri maisha, kuna vijana Yeye ni bodaboda na anamiliki bodaboda zake, na analima vilevile, Kwa akili yako mtu akiwa bodaboda ndio kamaliza! Nyie ndio wasomi wetu Wa kutupeleka nchi ya ahadi 🚮🚮Halafu akiumwa anafany nin, atafanya kazi , hizo hela atapata ,bodaboda anaweza kuamka asubuhi pikipiki imeibiwa , kazi haina security yoyote future ya kijana ambaye ni bodaboda ni kuja kuwa nani,mfano Mimi nalima na mkulima my future ni kwamba siku moja MUNGU akipenda nije kuwa mkulima mkubwa, unaweza shauri mwanao awe bodaboda