Kuibuka kwa bodaboda wazee, kijana unajifunza nini?

Unakariri maisha, kuna vijana Yeye ni bodaboda na anamiliki bodaboda zake, na analima vilevile, Kwa akili yako mtu akiwa bodaboda ndio kamaliza! Nyie ndio wasomi wetu Wa kutupeleka nchi ya ahadi 🚮🚮
 
Unakariri maisha, kuna vijana Yeye ni bodaboda na anamiliki bodaboda zake, na analima vilevile, Kwa akili yako mtu akiwa bodaboda ndio kamaliza! Nyie ndio wasomi wetu Wa kutupeleka nchi ya ahadi 🚮🚮
Tutafika tumechoka 🤣
 
Unakariri maisha, kuna vijana Yeye ni bodaboda na anamiliki bodaboda zake, na analima vilevile, Kwa akili yako mtu akiwa bodaboda ndio kamaliza! Nyie ndio wasomi wetu Wa kutupeleka nchi ya ahadi [emoji706][emoji706]

Kaongelea security anafikiri yuko sahihi kwa Mtazamo wake ila bado, wengi waoga wanataka
security

Wakati kiukweli kujinasua kimaisha ni Kupata financial freedom na sio security kutoka kwa serikali au kampuni kubwa

Swali muhimu kujiuliza sasa una saving/investment ya kiasi gani ikitokea haufanyi kazi unaamka na kulala itakufikisha muda gan?

Je mapatao yako yanazid matumiz?

Haya maswali wengi hatujiulizagi
 
Kuwekeza Kwa usawa huu wa Mama yawezekana?
 
Weka kwanza picha ya hao bodaboda wa miaka 60
 
Mtu kaamua kununua Pikipiki yake na kuifanyia kazi yeye mwenyewe kistaarabu na pia kupata wasaa wa kuujua ukweli wa kipato kwa siku.

Kuna ubaya gani?

Kwanza abiria wengi wanapenda hao madereva wenye umri mkubwa sababu ya uaminifu na umakini wanapokuwa barabarani.

Kazi ni popote na kazi ni yoyote ilimradi inaingiza kipato halali.

Kama kuja kwa wazee vijiweni kunawanyima fursa nyinyi vijana.
Vema mlajiuliza mnakosea wapi?
 
Mihumi hajaja kwako kuomba hell Wala unga muache na kazi yake
 
Usichojua.

Boda boda aliye na connection nzuri ana uwezo wa kuingiza hata 1m+ kwa mwezi...

Wewe endelea kubaki na Ujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…