Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu.
Lakini naomba nitoe angalizo kwa timu yetu, hatua mliofikia ni mtihani mkubwa sana huenda kuliko watu wavyofikiri.
1. Ikumbukwe kuwa ili tuchukuwe ubingwa inategemea matokeo chanya ya kwa Mkapa tofauti na hapo tutakuwa kwenye wakati mgumu sana, tushinde walahi angalau bao 3
2. Bado timu ina wenge la ushindi mfululizo, hii kisaikolojia huenda ikatugharimu kwani huenda ikapelekea wachezaji wetu wakarelaxy wakawachukulia poa USM Alger.
3. Tunaenda kucheza na timu yenye uzoefu na mashindano haya kuliko sisi.
4. Timu za kiarabu nimeziona kila hatua anayofikia abadilika hapa inabidi bench la ufundi kuwa makini kwelikweli.
Ndio hayo, Naitaka Yanga Ushindi.