Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

Washashinda CAF CL mwaka 1976
Michuano ya CAF confederation cup imeanzishwa mwaka 2004, hii ndio fainali yao ya kwanza. kwisha
IMG_20230525_203920.jpg
 
acha uongo utopolo wewe mbumbumbu usiejua kitu mwaka 2015 walicheza fainali na tp mazembe
2015 ilikuwa ni champions league, nilichoongea mimi ni kwamba kwenye mashindano ya CAF confederation cup ndio fainali yao ya kwanza hii
 
Kwenye namba 3 fahamu ya kuwa hata wao ni fainali yao ya kwanza pia cafcc
Upo sahihi Ila huko nyuma walishafika fainali ya champions league wakafungwa na Tp Mazembe na kufika fainali hii ya cafcc walimtoa far As Far wanaongoza league ya Morocco ya kina waydad Casablanca na raja Casablanca.
Yote kwa yote yanga naamini wameandaliwa kisaikolojia kupambana nao kwa Mechi zote 2 za fainali
 
Acha uoga, acha mashaka, acha wasiwasi.

Yanga kwa mkapa tukipata moja au ata droo, kule ugenini tunamchapa mtu vizuri tu.

Hii Yanga ni ya kumpasua mtu nje ndani.
 
Niliongea hili, kuruhu goal la pili zimeharibu sana ila wapinzani wetu walikuwa bora sana ugenini, ingawa sioni matumaini ya sec leg ila utakuwa mchezo bora sana kuliko Cafc final.
 
Fainal haiitaji magoal matatu, ukiwalazimisha wachezaji wafunge magoal matatu hapo ndo pressure inapoanza baada ya kufika dakika ya 30 hujafunga goal mwisho wa siku unapanik unafungwa wewe
Ndi ho kilichotokea
 
Niliongea hili, kuruhu goal la pili zimeharibu sana ila wapinzani wetu walikuwa bora sana ugenini, ingawa sioni matumaini ya sec leg ila utakuwa mchezo bora sana kuliko Cafc final.
Tumeadhibiwa na makosa madogo madogo
1) pitch haikuwa nzuri na ilipaswa kucheza mpira unaoendana na hali ya uwanja.
2) Ugonjwa wa wacheza kushindwa kuwa makini katika mipira ya set pieces limejirudia tena leo. Katka msimu huu magoli aliyoruhusu Yanga mengi ni mipira ya set pieces (mipira ya cross)
3) ukiachana na majukumu ya kukaba, Aucho alikuwa ni mtu anayefanya transition kwa usahihi sana kwa timu. Hivyo lake pia lilionekana.
4) wachezaji hasa mabeki leo ni kama wahakuwa mchezoni maana wamekuwa waliozubaa zubaa kiasi. Sijui labda hawakua sawa kisaikolojia.

Mwisho ni kwamba mechi imeisha kipindi cha kwanza kwa Yanga kupoteza hivyo tusubiri kipondi cha pili nini kitatokea.
 
Fainal haiitaji magoal matatu, ukiwalazimisha wachezaji wafunge magoal matatu hapo ndo pressure inapoanza baada ya kufika dakika ya 30 hujafunga goal mwisho wa siku unapanik unafungwa wewe
Na mkafungwaaaa kweliiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti toa droo uone.
Sio droo Tu hata Kwa kufungwa tunaweza fungwa na tukaenda kupindua Kwa muarabu.
Yanga is on fireee mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Semeni mapema USM inashika nafasi ya ngapi kwao ili tukiwatoa marinda msianze kukatika viuno
Marinda wamewatoaa nyieee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na viuno mlikataa kuupokeaa utraaamu.
 
Hakuna cha mtihani mkubwa kwa Yanga, zaidi ya kupambana kuchukua kombe. Kwa sasa Yanga ni timu bora. Hivyo inaweza kuifunga timu yoyote ile Barani Afrika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom