Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

Kiukweli kwa reference ya Mamelody Sundowns vs Widad Casablanca ni somo tosha kuwa hatua hii hakuna mnyonge ila kikubwa ni matokeo tu.

Yanga wanastahili pongezi ila wasijiamini sana kupita kiasi sababu haitakuwa na maana yoyote ikiwa itafungwa kisha ikaongoza kwa shorts on target, ball possession na conners.

Udhaifu wa Yanga ni kukosa kosa nafasi nyingi za wazi zinazoweza kuamua matokeo mapema sana, naiombea Yanga ijitahidi kwa hili maana Maadui wanaweza wasiruhusu makosa mara 2, 2, yani wakipata nafasi tu watumie papo hapo.

Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mmekandwaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uoga, acha mashaka, acha wasiwasi.

Yanga kwa mkapa tukipata moja au ata droo, kule ugenini tunamchapa mtu vizuri tu.

Hii Yanga ni ya kumpasua mtu nje ndani.
Ongezaaaa sautiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan uto mshukuru pitch ilikuwa vle,hakika mngekoga za kutosha
Tumeadhibiwa na makosa madogo madogo
1) pitch haikuwa nzuri na ilipaswa kucheza mpira unaoendana na hali ya uwanja.
2) Ugonjwa wa wacheza kushindwa kuwa makini katika mipira ya set pieces limejirudia tena leo. Katka msimu huu magoli aliyoruhusu Yanga mengi ni mipira ya set pieces (mipira ya cross)
3) ukiachana na majukumu ya kukaba, Aucho alikuwa ni mtu anayefanya transition kwa usahihi sana kwa timu. Hivyo lake pia lilionekana.
4) wachezaji hasa mabeki leo ni kama wahakuwa mchezoni maana wamekuwa waliozubaa zubaa kiasi. Sijui labda hawakua sawa kisaikolojia.

Mwisho ni kwamba mechi imeisha kipindi cha kwanza kwa Yanga kupoteza hivyo tusubiri kipondi cha pili nini kitatokea.
 
Mmekandwaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kulazimisha nyeusi kuwa nyeupe na bado Kanjibai anadai ataendelea kuwawekea pesa hewa hadi mtapoacha kumeza dawa za Mirembe ninyi Makolokolo.

Chezea miaka miwili bila kombe lolote [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi cha pili jana hakikuepooo mlongooo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlongo, mechi ya jana yote ni kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili ni mechi ijayo
 
Ile ahadi pia kwa wachezaji ilichangia kufanya vibaya
 
Endelea kulazimisha nyeusi kuwa nyeupe na bado Kanjibai anadai ataendelea kuwawekea pesa hewa hadi mtapoacha kumeza dawa za Mirembe ninyi Makolokolo.

Chezea miaka miwili bila kombe lolote [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmelowaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom