Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana


Bado timu ina wenge la ushindi mfululizo, hii kisaikolojia huenda ikatugharimu kwani huenda ikapelekea wachezaji wetu wakarelaxy wakawachukulia poa USM Alger.

Hii mechi tu nashinda
 
Kiukweli kwa reference ya Mamelody Sundowns vs Widad Casablanca ni somo tosha kuwa hatua hii hakuna mnyonge ila kikubwa ni matokeo tu.

Yanga wanastahili pongezi ila wasijiamini sana kupita kiasi sababu haitakuwa na maana yoyote ikiwa itafungwa kisha ikaongoza kwa shorts on target, ball possession na conners.

Udhaifu wa Yanga ni kukosa kosa nafasi nyingi za wazi zinazoweza kuamua matokeo mapema sana, naiombea Yanga ijitahidi kwa hili maana Maadui wanaweza wasiruhusu makosa mara 2, 2, yani wakipata nafasi tu watumie papo hapo.

Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mi nachojua kombe la yanga hayo ya kufunga bao 3 sjui kulinda mara ooh chezeni Kwa kuwaheshimu awapii hayasaidii kkubwa ni ushindi hata Kama ni mwembamba mno
Hii nchi ina wajuaji wengi sana yaani yanga wamevuka huko kote bila kuwaheshimu wapinzani ??? Ndo maana kuna vipindi vya michezo mchana kutwa wanaoitwa wachambuzi wanaishia kujadili mikimbio siju nn basi ili mradi kila mtu aongee tu.fainali ni ngumu kwa wote jamani
 
Eti toa droo uone.
Sio droo Tu hata Kwa kufungwa tunaweza fungwa na tukaenda kupindua Kwa muarabu.
Yanga is on fireee mkuu
Utakufa vibaya wewe...🤣
 
Mkuu uko sahihi kabisa tuwaombee vijana wapambanie Timu na Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…