Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki
Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany huwa hawatamani tena kuishi Afrika kwasababu kule Sheria na haki zinafuatwa na kuthaminiwa jambo ambalo linaweka urahisi wa maisha tofauti na Afrika
Afrika ni bara ambalo mtu anapodai haki zake anaonekana mbaya na mwisho kudhulumiwa moja kwa moja pamoja na kudhurika kwa kubambikiziwa kesi sa uchochezi
Serikali za Afrika zinatakiwa kutilia mkazo Sheria na Haki kinyume na hapo watu wake wataishi kwa kuishtakiana mpaka mwisho wa maisha yao