moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Uzuri wa bara la Afrika kila mmoja anazijua haki zake na za wenzake, lakini ukimpa nafasi anafanya maovu kuliko aliyemtangulia.
Waafrika wanalalamika hata kwa mambo yaliyo chini uwezo wao.
Ndiyo maana wafrika wengi wamejaa magerezani China, India, Pakstani Italia, Sweden, Norway na kwingineko.
Kwakuwa tumezoea kuishi maisha ya kionevu.
Waafrika wanaosemwa hapa ndiyo sisi.
Tubadilike.
Sisi wenyewe tukibadilika na sehemu kubwa ya jamii itabadilika