Watoto wapumbavu,wazee wapumbavu,vijana wapumbavu,wanawake wapumbavu,wqnaume wapumbavu,viongozi wapumbavu,walimu wapumbavu,Askari wapumbavu,itoshe tu kusema jamii nzima pumbavu kila mmoja anajitahidi kuwa mpumbavu kadri awezavyoNakazia..[emoji375]
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele...🔨Watoto wapumbavu,wazee wapumbavu,vijana wapumbavu,wanawake wapumbavu,wqnaume wapumbavu,viongozi wapumbavu,walimu wapumbavu,Askari wapumbavu,itoshe tu kusema jamii nzima pumbavu kila mmoja anajitahidi kuwa mpumbavu kadri awezavyo
Kila mahali dunian maisha Vita bwashee. Hayo mabara mengine wameendelea ndio maana huoni huo msuguano ila hiyo vita ipo katika kiwango chao. Hakuna sehem nzur ya kuish kama Africa mkuu. Kikubwa tafuta hela maana kwa Africa hela ndio sheria. Africa unaweza kupindisha unavyoweza na ukapiga hela kwa wenzetu hupindishi. Kila kitu kimenyooka. Hao ambao hawarud ni uamuz sio kwamba ni kuzur kiivyo maana hata Africa kuna wazungu au wachina wanakuja hawarud kwao. Ni uamuz wa mtu kuendana na jins anavyotafsiri fursa maeneo hayo.Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki
Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany huwa hawatamani tena kuishi Afrika kwasababu kule Sheria na haki zinafuatwa na kuthaminiwa jambo ambalo linaweka urahisi wa maisha tofauti na Afrika
Afrika ni bara ambalo mtu anapodai haki zake anaonekana mbaya na mwisho kudhulumiwa moja kwa moja pamoja na kudhurika kwa kubambikiziwa kesi sa uchochezi
Serikali za Afrika zinatakiwa kutilia mkazo Sheria na Haki kinyume na hapo watu wake wataishi kwa kuishtakiana mpaka mwisho wa maisha yao
Wanaomiliki fedha ni wachache wengi wananyanyaswa mkuu kilio ni kikubwa sanaKila mahali dunian maisha Vita bwashee. Hayo mabara mengine wameendelea ndio maana huoni huo msuguano ila hiyo vita ipo katika kiwango chao. Hakuna sehem nzur ya kuish kama Africa mkuu. Kikubwa tafuta hela maana kwa Africa hela ndio sheria. Africa unaweza kupindisha unavyoweza na ukapiga hela kwa wenzetu hupindishi. Kila kitu kimenyooka. Hao ambao hawarud ni uamuz sio kwamba ni kuzur kiivyo maana hata Africa kuna wazungu au wachina wanakuja hawarud kwao. Ni uamuz wa mtu kuendana na jins anavyotafsiri fursa maeneo hayo.
Hata ulaya wanaomiliki hela ni wachache sema western people sio materialistic ila wanaish uhalisia. Ila hakuna life liko hovyo kama lao. Ndio maana wengi wanajaa viwanja vya mpira wako very lonely.Wanaomiliki fedha ni wachache wengi wananyanyaswa mkuu kilio ni kikubwa sana
Shida ni sehemu au viumbe watokao sehemu husika?Sehemu y hovyo kuwahi kuishi binadamu ni Tanzania.
"Wherever you see Black people you see problems, black itself alone is a problem."WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE!
viumbe wameinajisi sehemuShida ni sehemu au viumbe watokao sehemu husika?
Swali fikirishi je viongozi waliopewa dhamana wakiahirisha kufikiri kwa nafsi utafanyaje na Ndiyo viongozi wetu hapa, (human herding)Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki
Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany huwa hawatamani tena kuishi Afrika kwasababu kule Sheria na haki zinafuatwa na kuthaminiwa jambo ambalo linaweka urahisi wa maisha tofauti na Afrika
Afrika ni bara ambalo mtu anapodai haki zake anaonekana mbaya na mwisho kudhulumiwa moja kwa moja pamoja na kudhurika kwa kubambikiziwa kesi sa uchochezi
Serikali za Afrika zinatakiwa kutilia mkazo Sheria na Haki kinyume na hapo watu wake wataishi kwa kuishtakiana mpaka mwisho wa maisha yao
Unyumbu ni tabia mbaya sana kwenye jamili zetu yaani wale tunaowajua kwamba ni vichwa na kuwapa dhamana ya kutuongoza huahirisha kufikiri kwa nafsi kwa kujipendekeza, kutumikia kundi Fulani na uoga kwa viongozi waoViongozi wanahitaji kunolewa vizuri ufanisi wao hauridhishi
Watu wananyanyasika sana hasa wasiokuwa na uwezo wa fedhaUnyumbu ni tabia mbaya sana kwenye jamili zetu yaani wale tunaowajua kwamba ni vichwa na kuwapa dhamana ya kutuongoza huahirisha kufikiri kwa nafsi kwa kujipendekeza, kutumikia kundi Fulani na uoga kwa viongozi wao