Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Dar ! sio mahali pa kuishi hata unipe Shell ya mafuta nyumba na vx v8 na Mke mzungu sikai .Jiji chafu hewa chafu Kariakoo huko mnakanyaga vinyesi usafiri tabu Maji tabu Kila kitu tabu unatembea unawaza wallet huku unafikiria vibaka kitaa unalala saa 5 usiku unaamka saa 10 usiku unatuambiaje Dar kuzuri
Njoo huku Rungwe Maji mtoni Baridi salama na Safi maziwa ltr 5 ni 3,000 gimbi 500 ndizi Bure
Kulala ni ww tu ukiamka saa 12 saa 1 upo ofisini
Huko kaa tu mwenyewe
 
Balaaa
 
Dar ni mkusanyiko mkubwa wa matapeli. Tuliotembea majiji ya maana hatushtuki na dar.
 
Huku ulikomalizia Ndio ulikuwa ujumbe wako
Sasa suala la passport hapo limekujaje
Una Maneno Sana wewe. Unataka kuchafua tena Hali ya hewa na ilishatulia.
Sir.Makonda aliwai kunukuliwa aki waambia enzi mkuu wa mkoa dar es salaam aliwai kunukuliwa akisema UKIJA DAR ES SALAM KUTEMBEA KWA NDUGU USIKAE SANAA
 
Hali ya hewa ya dar+ mazingira haijawahi nishawishi hata niishi tu kwa mwaka hapo...jiji Lina harufu kama janaba....joto kila sehemu hadi mtu unaweza pandwa na uazimu...Mimi hapana aysee ....usiniweke kweny list
Tafuta hela Mkuu, hata Dubai Kuna joto Kali... Ila wanaishi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…