Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Kwa mtu usiye na hela wala ramani, Dar ni kuzimu!
 
Mm nataka Mwanza au Morogoro
 
Dahhh.....
Poleni sana vijana, ebu endeleeni kuota kwanza badala ya kupambana.
 
Chakushangaza mbunge wenu anaishi dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…