Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Unajua kuwatafakarisha watu mafunuo inahitaji uwe na mbinu tofauti, watu wanatofautiana, hivyo staili nazo ziwe na ladha tofauti. Jambo la msingi wewe angalia tu ukweli wa neno.Na yule.paster anaembeba mwanaume mtu mzima na kumtupia kwenye viti...kweli hii style ya maombi ndo Yesu aliombea Watu hivyo...
Au kila nabiii anapata ufunuo wake.mwenyewe...?
Duh! Pole sana. Ila umejifunza mini hapo?Hili limenikumbusha miaka kadhaa iliyopita niliudhuria maombi katika kanisa moja liko boko maarufu kwa mzee*** basi bwana ilikua zamu yangu kuombewa nikawekwa mtu kati maombi yakaanza baada ya mda nikawa nimewekewa mikono sehemu mbalimbali ya mwili wangu,kutokana na kuomba kwao kwa kutumia nguvu wakawa wanasababisha maumivi mwilini mwangu especially mikono waliyokua wananivuta na kuniminya kwa nguvu,sasa nilishindwa kuvumilia nikawa nawatoa waniache wenyewe ndowanasema pepo linawajibu nikawa nawaambia mnaniumiza hawaniskii wanasema pepo linawajibu aisee nilipata tabu ambayo siwezi isahau mpaka nilipopata akili ya kwamba nitulie wajue pepo limeondoka nilikua na maumivu mwili mzima yaliyosababisha niumwe wiki nzima nyumbani ukijumlisha na yale mafuta tuliyokua tunapakwa machoni yanawasha kama pilipili...dah
Kingsmann
Are you sure? Watu wanaoona, wanafunguliwa. Soma vitabu vya dini au Bible utajua.Mkuu wanatupiwa mapepo na hao Pastors, manabii, wachungaji, mashetani, hizi dini ni usanii tu.
Makanisa yakiroho yanashangaza Sana..Sana.sanaUnajua kuwatafakarisha watu mafunuo inahitaji uwe na mbinu tofauti, watu wanatofautiana, hivyo staili nazo ziwe na ladha tofauti. Jambo la msingi wewe angalia tu ukweli wa neno.
Nilijua ungesema kwamba matatizo ya kiroho ndiyo kedekede. Watu wanateseka, wewe acha tu. Isingekuwa hawa wapadirishaji na mashehe dunia ingekuwa hapakaliki na tungekuwa tunakutana na mashetani laivu hivi.Makanisa yakiroho yanashangaza Sana..Sana.sana
Haha. Hata hujawahi kufika huko, unatunga uongo.Huko kwa mwamposa wenyewe wagonjwa waangalia nyuma kuna nani ndo wanajiangusha.Kama weight ya mgonjwa kubwa kuliko mdakaji ndo anajifanya anapepesuka kuelekea baunsa alipo.
Kweli...isingekuwa matatizo ya Dunia..Wati wasingejazana kwa manabii kutafuta suluhuNilijua ungesema kwamba matatizo ya kiroho ndiyo kedekede. Watu wanateseka, wewe acha tu. Isingekuwa hawa wapadirishaji na mashehe dunia ingekuwa hapakaliki na tungekuwa tunakutana na mashetani laivu hivi.
Kwanini ujiangushe, nyie ndo mnawasaidia kuwapa umaarufu manabii hao fekiNishawai kwenda kanisani tukapangwa foleni ya kupakwa mafuta[emoji3][emoji3][emoji3]...ikawa mchungAji anakupaka mafuta kuchwani alafu akaongea maneno yake...Mimi nikawanashangaa Watu wanaanguka TU...mmoja baada ya mwingine.
Kuna Watu nyuma yetu na wamama wamebeba khanga...
Kila mtu akawa anaanguka ..ilivyofika zamu Yangu nami nikaapiga kelele...alafu nikaajiangusha chini[emoji3][emoji3][emoji3]....
Wengine wanajinyonganyonga Kama nyoka nguo zinawavuka wamama wanakuja kuwafunika...
Kwakweli Sijawai kujua Sababu ya Watu kuanguka...Mimi nilifuata mkumbo.
Kwani Tv sina si wanajitangaza kupitia chanel zao.Haha. Hata hujawahi kufika huko, unatunga uongo.
Maisha mwanadamu kayatatanisha mwenyewe; kila mtu anakula chakula alichoagiza mwenyewe, na wala hakuna kumsingizia Muumbaji. Ndiyo maana kasema usikose kumpatia sala hapo pepo unaiona.Kweli...isingekuwa matatizo ya Dunia..Wati wasingejazana kwa manabii kutafuta suluhu
Mungu asitupe.mitihani kama ya wale waliopita kabla yetu..
Wakati mwingine ile nguvu ya kuzimu ikikemewa, lazima ushuke chini. Ilo juaKwanini ujiangushe, nyie ndo mnawasaidia kuwapa umaarufu manabii hao feki
Mimi ningemwambia taratibu unaniumiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka 2011 nilimtembelea ndugu yangu maeneo ya Block T, Mbeya.
Yeye na familia yake wanasali AGAPE, ni walokole kweli kweli na mkuu wa kaya ni mzee wa kanisa.
Viongozi wengi wakubwa AGAPE hupenda kutembelea kaya ile kwa maombi, mafundisho, maongezi na chakula.
Hadi Mr. Fenandez na mkewe, Annie nao huwatembelea kila wafikapo Mbeya.
Wakati nimefika nilikuta wiki ya maombi ya kazi, na msaidizi wa Askofu Fenandez alikuwa Mbeya akiongoza maombi hayo ya wiki.
Kulikuwa kile kinaitwa kufunguliwa, ambao hawajampokea Bwana walimpokea, wengi makumi kwa makumi, isipokuwa mimi. Jambo lile halikuwafurahisha wenyeji wangu, walitaka niokoke pia.
Maombi yakawa maombi, kila siku usiku wanatembelea kaya ile na kufanya maombi, kama kawaida waombewaji hudondoka.
Wao wakifanya maombi, mimi huwa chumbani nikiperuzi FB na Twitter. Ndugu walinishawishi sana, nikaona acha nifanye watakayo kwakuwa nipo kwao, nikiondoka kurudi home, naendelea na kanisa langu.
Kabla ya maombi, ilianza Sala ya toba, nikifuatisha maneno ya yule msaidizi ya Fenandez. Baada ya hapo alinishika kichwani kuniombea. Kwa kweli sikusikia nguvu yoyote ya ajabu, ulikuwa mkono tu, jambo lililofanya niendelee kusimama wima tena mwenye utulivu huku nimefumba macho.
Nahisi alipoona sitetereki, nikaona anaanza kunifinya maeneo ya misuli ya macho, yakaanza maumivu ya kichwa, nikavumilia... Alipoona nimetulia, akaweka mkono wa pili na kuzidi kuomba huku akiniminya zaidi, maumivu yalizidi, nikapata akili kuwa anataka nidondoke, basi taratiiiiiiibu nikaanza kushuka chini.
Bro alipoona nanyong'onyea, akaja nyuma yangu na kunidaka, kisha nikalazwa chini na kila mtu akaanza kukemea pepo chafu la kiburi litoke ndani yangu.
Baada ya kuamka, mchungaji akasema pepo aliyekuwa ndani yangu hakuwa wa kawaida, kama angekuwa mchungaji dhaifu, asingetoka hakika.
Nilicheka kimoyomoyo, siku ikaisha
[emoji1787][emoji16][emoji16]Nishawai kwenda kanisani tukapangwa foleni ya kupakwa mafuta[emoji3][emoji3][emoji3]...ikawa mchungAji anakupaka mafuta kuchwani alafu akaongea maneno yake...Mimi nikawanashangaa Watu wanaanguka TU...mmoja baada ya mwingine.
Kuna Watu nyuma yetu na wamama wamebeba khanga...
Kila mtu akawa anaanguka ..ilivyofika zamu Yangu nami nikaapiga kelele...alafu nikaajiangusha chini[emoji3][emoji3][emoji3]....
Wengine wanajinyonganyonga Kama nyoka nguo zinawavuka wamama wanakuja kuwafunika...
Kwakweli Sijawai kujua Sababu ya Watu kuanguka...Mimi nilifuata mkumbo.
Sababu watu wanaamini number 13 ni unlucky hivyo ili kutofukuza wateja baadhi ya company wanaiondoa kwa makusudi ya kibiashara ili wasikoje wateja.Wewe jiulize tu maswali rahisi tu kwanini hakuna siti namba 13 kwenye Ndege
Ni kwasababu ubongo umeacha kufanya kazi.Wewe jiuliza tu unaambiwa mtu kafa hivi nini kinaondoka mwilini maana kila kitu ukikagua vipo mwilini lakini hapumui
Unaweza ukaorodhesha watu waliotoa kafara familia zao na kuwa matajiri?Jiulize vijiswali vyepesi tu inakuaje Mtu anatoa kafara familia yake kisha anakuwa Tajiri
Hiyo ni disorder na sio mapepo.Hivi nini kinamkuta mtu tunayeambiwa anayo Mapepo unakuta Mtu anapiga kelele anapiga ukuta vichwa,
Hiyo ni impossible na haitokaa iwezekane mtu akae bila ya oxygen kwa masaa mawili tena kwenye maji lazima afe tu.anazama kwenye maji masaa mpaka mawili akiwa Hana mtungi wa gesi
Hiyo haina tofauti na placebo.pamoja na yote akiombewa na Sheikh au Mchungaji anapona na anaendelea na Shughuli zake
Jiulize kwanini sayari nyingine hazina maisha bali dunia tu?Jiulize nini dhumuni la wewe kuwepo duniani
Mimi nakujibu ni "coincidence"Natakua kujua kwanini haujiulizi Dunia imetengenezwa na nani na ni Fundi wa aina gani
Sababu hajasomea kutibu moyo.Jichunguze mwenyewe kisha jiulize tu kwanini Daktari wa Macho kwanini hawezi kutibu moyo
Hakunajiulize ni nani anaweza kutibu magonjwa yote
Kwani kuwa daktari kunakuzuia vipo kutokwenda ibadani?Umewahi kufikiri kwanini Madaktari nguli lakini bado wanakwenda Ibadan
Kwani aliyesema kuna gravity ambayo huioni alikuwa na upeo gani wa kufikiri?Leo fikiria kwa upana zaidi Hivi walioandika vitabu vitKatifu walikuwa na upeo gani wa kufikiri?.
Hiyo sababu wameanishwa hivyo na sababu ya imani zao.Umewahi kuona watu wanapasua Nazi njia panda? Au kuchinja Mbuzi njia panda,
Si kila mtumishi ni mtumishi wa MunguDuh! Pole sana. Ila umejifunza mini hapo?
Daah πππ..atari sanaaaUmenikumbusha mchizi wangu mmoja aliwahi nambia alienda kuombewa wote wana dondoka yeye kakaza tu. yule bwana anamsukuma kwa nguvu yeye kakausha tu
alipozidi sukumwa akaona yaishe tu akaanguka na yeye.
wanamaombi watakuja na ufafanuzi.
Upo na nguvu ya mukoko Tonombe si bureeMwaka 2011 nilimtembelea ndugu yangu maeneo ya Block T, Mbeya.