Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Omba sana upate imani, maanaMkuuu.... Sikwenda kufanya research ya Watu kuanguka .. Ndugu Yangu aliniona hali Yangu..akanishauri niende huko... Imani Yangu ilikua haba Kama SI hamna.
Tena nishawai kwenda na kanisa Moja pale posta PSSF TOWER sijui saiv linaitwaje....wale hawakuanguka ..Ila miss ilikua ya kiingereza SIKUELEWA KITU.
Kwa hiyo maswali yote hayo jibu lake moja??Huu ulimwengu hatujauumba sisi tumezaliwa tumeukuta. Kama unatambua uwepo wa uchawi naamini utaamini kuna Mungu. Wewe jiulize tu maswali rahisi tu kwanini hakuna siti namba 13 kwenye Ndege, Wewe jiuliza tu unaambiwa mtu kafa hivi nini kinaondoka mwilini maana kila kitu ukikagua vipo mwilini lakini hapumui. Jiulize vijiswali vyepesi tu inakuaje Mtu anatoa kafara familia yake kisha anakuwa Tajiri,Hivi nini kinamkuta mtu tunayeambiwa anayo Mapepo unakuta Mtu anapiga kelele anapiga ukuta vichwa, anazama kwenye maji masaa mpaka mawili akiwa Hana mtungi wa gesi pamoja na yote akiombewa na Sheikh au Mchungaji anapona na anaendelea na Shughuli zake, Jiulize nini dhumuni la wewe kuwepo duniani, Natakua kujua kwanini haujiulizi Dunia imetengenezwa na nani na ni Fundi wa aina gani.Jichunguze mwenyewe kisha jiulize tu kwanini Daktari wa Macho kwanini hawezi kutibu moyo halafu jiulize ni nani anaweza kutibu vyote. Umewahi kufikiri kwanini Madaktari nguli lakini bado wanakwenda Ibadan. Umewahi kuona watu wanapasua Nazi njia panda? Au kuchinja Mbuzi njia panda, Leo fikiria kwa upana zaidi Hivi walioandika vitabu vitKatifu walikuwa na upeo gani wa kufikiri?. Jiulize vijiswali vidogo hivyo kisha njoo utujibu..
Picha linaanza napokea simu kwa ndugu zangu upande wa mama watoto wangu wanasema, samahani tunakuja kwenye maombezi kwa Mwamposa wewe kama mwenyeji tunaomba utupokee ili utupeleke kwa Mwamposa tukaombewe.
Nikasema ok poa nitawapeleka nyie njooni. Ijumaa wakaingia ndani ya jiji la Dsm nikawapokea, Jumamosi chapu nikawapeleka Kawe kuombewa, mimi nikaamsha kwenye mishe zangu za hapa jijini.
Kesho yake Jumapili waakambiwa warudi tena kweli Jumapili tena nikawarudisha kwenye ibada kama kawaida nikasema ibada ikiisha mtanistua nije kuwachukua.
Mida ya saa nane ibada ikaiisha wakanishitua nikawachukuwe nilipofika kwa Mwamposa mmoja wao akasema kuwa kuna mfanyakazi mwenzake walishawahi kufanya naye kazi miaka ya nyuma kwenye kampuni kampigia simu waonane maeneo ya PICOLO HOTEL kuna maombezi pia.
Basi bwana tukaenda pale Picolo hotel kufika pale wakatupandisha juu kuna ukumbi kule wanasali.
Nilichokikuta kule kinashangaza sana kwa kuwa ilibidi niwasubiri basi nikasema hebu ngoja nikae nisikilizie hapahapo ukumbini.
Kanisa lina waumini 13 tu, wanawake 10 na wanaume 3. Maombi yakaanza nguvu ya upako sijui nini inawashukia wakawa wanadondoka waumini wote hadi ndugu zangu nao wanadondoka.
Nikajisemea moyoni mbona haya majanga. Ikawa kama mchezo sasa wanaombewa watano waliobaki wanasimama nyuma yao kuwashikilia ili wasijibamize sakafuni. Wakizinduka wengine tena wanaombewa halafu waliodondoka wanaamka tena kuwashikilia wenzao.
Nikachoka kuangalia movie ya kitoto nikawambia oya nyie si mnadondoka humu hebu niwaache mkipona mtanishitua nije niwachukue twende nyumbani. Nimeshangaa hivi kipi kinamfanya mtu anadondoka hovyo wakati wa maombezi au ni michezo ya kuigiza?
Nina dada yangu humwambii kitu kuhusu Mwamposa, kila akija kunitembelea lazima aje na mafuta kwenye kichupa huwa akinipa nachukua akiondoka natupa, nahisi amegundua, jana nilipita nyumbani kwake kumsalimia akanivizia akanipaka kichwani
Hahahahahaha..eti Rashid gwajima...mpaka Sasa hv porn video ya Gwaji boy limenitenga na rafiki yg kipenzi,akibisha lile sio Gwaji boy....tulibishana tukashindwa kuelewana ..akanichukua kuwa mm ni balozi wa shetani..Nikweli..wanaume wamesimama nyuma ya wanawake eti wanawadaka na kuwabeba wakianguka..
Kuna Muda wa maombi Huyu Ndugu Yangu alikua TU anaapiga kelele anaanguka ...wanakuja vijana wanambeba wanampleka mbele ya kanisa..
Sijajua kwa undani sababu ya kuanguka..Rashid Gwajima anaweza kuwa na jibu.
Mkuu saiv Mkuu..Alhamdulilah Imani yaani kwa Allah Jallah Jallalu Ni kuubwa..na naomba naona Kama sijafika hata nusu...Omba sana upate imani, maana
Mimi sikuiona hiyo video kwa kwakweli....ila.mbunge Askofu Ustadhi Rashid Gwajima....sidhani Kama anafimbo sahihi ya kuongoza kondoo.Hahahahahaha..eti Rashid gwajima...mpaka Sasa hv porn video ya Gwaji boy limenitenga na rafiki yg kipenzi,akibisha lile sio Gwaji boy....tulibishana tukashindwa kuelewana ..akanichukua kuwa mm ni balozi wa shetani..
NI kweli miujiza ipo ila shaka yangu kubwa inatokana na mambo makuu mawili, kama umenisoma vizuri hapo juu. Ni kwamba huyu mtumishi baada ya kuwa amekaribishwa na kusimama kwenye madhabahu:Au itakuwa hukumwelewa? But miujiza ipo sana
Wengi wetu imani ndio tatizo, tunaweka imani yetu kwa mchungaji kuliko kuweka kwa Mungu.Niliombewa na bibi yangu mzaa mama' alitumia jina la yesu kukemea ugonjwa huo.. bibi yangu ni nurse ila nilikataa dawa zake kwani hazikunisaidia na hali ilikua mbaya' nilimwambia nipeleke kwa mchungaji.. nadhani hii imani ndiyo iliniponya
hiyo imenifanya ni amini ukiwa na IMANI hakuna haja ya wachungaji
Nb.sisali kanisa lolote!
Na yule.paster anaembeba mwanaume mtu mzima na kumtupia kwenye viti...kweli hii style ya maombi ndo Yesu aliombea Watu hivyo...Of course kuna fake pastor amini usiamimi, ila pia kuna jamaa alikata moto kwasababu ya kuanguka, aliangukia sehemu mbaya
Jiombee mwenyewe wewe hao wanaokuombea wengine wema wengine ndio hivyo tena wanatumia nguvu za giza kuonyesha miujizaIna maana wewe hukutaka kuombewa.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nahisi ili pepo litoke unatakiwa upigwe wrestling [emoji2247] kwanza ukiumia basi pepo linaumia pia [emoji12][emoji12] linatoka ndukiNa yule.paster anaembeba mwanaume mtu mzima na kumtupia kwenye viti...kweli hii style ya maombi ndo Yesu aliombea Watu hivyo...
Au kila nabiii anapata ufunuo wake.mwenyewe...?
Kuna yule pastor anawatoa wadada chupi zao mbele ya kadamnasi ili wadada hao wapate watotoNa yule.paster anaembeba mwanaume mtu mzima na kumtupia kwenye viti...kweli hii style ya maombi ndo Yesu aliombea Watu hivyo...
Au kila nabiii anapata ufunuo wake.mwenyewe...?
Hukuiona video ya gwajiboy? Usiangalie hana mazuri zaidi ya uchafuMimi sikuiona hiyo video kwa kwakweli....ila.mbunge Askofu Ustadhi Rashid Gwajima....sidhani Kama anafimbo sahihi ya kuongoza kondoo.