"Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

"Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

Nani anapinga kuwa ha trend sana? Lakini je ana trend kwenye yapi?

Kwamba "hawaweki mtandaoni wengi"
Acha kuonesha ukengeufu wako hapa. Anatrend kwa sababu mataifa mbali mbali wameanza kumwelewa kuhusu hatua alizochukua wakati huu wa janga. He saw what other presidents/ leaders didn't see. Kwa sababu wewe ni team ufipa utabisha
 
Waafrika wengi sana mna upumbavu wa kujidharau na kutukuza vya mzungu mshenzi, katika gonjwa hili JPM ni mshindi na gumzo duniani japo wanaficha,lakini mnatokea wa kudharau na kumuona mzungu kua ni kila kitu,kinachoendelea wala hakionekani mitaani wala kwa ndugu zetu wala kwa majirani,marafiki huko mikoani kote...

Mkuu wenzio kina "bia yenu" waonapo itifaki kuzingatiwa huwa wanaelewa na kulala mbele.

Huu upumbaav wako wa kumtukuza mzungu na kujidharau unauokota wapi? Jikite kwenye mada kuona hayo labda utakuwa umeyaokota ulipokuwa ukikatiza jalalani.

Kumbuka ukibaraka hauna hati miliki na kwa kukutathmini katika vibaraka, kwa hakika baba lao unaweza kuwa wewe!

Angalia mkuu majina uliyoyaweka isije kuwa kumbe una maanisha akina 'Chemical Ali' au Tyson ukimaanisha 'Wassira.'

Corona siyo mafua ingekuwa mafua unadhani jemedari angekuwa mafichoni mwezi wa 2 sasa?

Hivi akili mnashikiwa? Hata kama basi, "akili za kushikiwa changanya na za kwako."
 
Mkuu wenzio kina "bia yenu" waonapo itifaki kuzingatiwa huwa wanaelewa na kulala mbele.

Huu upumbaav wako wa kumtukuza mzungu na kujidharau unauokota wapi? Jikite kwenye mada kuona hayo labda utakuwa umeyaokota ulipokuwa ukikatiza jalalani...
Mara zote mpumbavu hujidhania kua anajua kila kitu kama wewe.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mara zote mpumbavu hujidhania kua anajua kila kitu kama weww.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Jikite kwenye mada kama hoja hamna matusi ya nini?

Kwamba unajua weka unavyojua chini waungwana wachambue short of that zako ni kelele tu za kupuuzwa kama zilivyo kuja.

"Mtanzania wa leo si yule wa jana." Mwisho wa kumnukuu.

Si mbaya kukumbuka kuwepo kwa matusi ni dalili chanya kabisa kuonyesha u mufilisi wa mawazo!
 
Kwenye iyo tafrija tutashangilia pamoja na makonda au atabaki na familia yake amejifungia ndani, na magufuli apewe taarifa uku mjini Corona imeisha arudi Daslamu

Sent using Jamii Forums mobile app

Palikuwa na ushauri toka kwa jiwe mwenyewe kwenye ile waliyoita operation ukuta (kama sikosei). Nakumbuka aliwashauri wale viongozi wa vyama husika kuwa pale mbele kabisa, wao na familia zao.

Kwa hizi chereko chereko kwa hakika ingependeza zaidi kama mkuu angeuchukua ushauri wake yeye mwenyewe, ili yeye na familia yake wakawa pale mbele kabisa tukashangilia ushindi huu mnono kwa pamoja kama taifa.
 
Afadhali wewe umeweka wazi kwamba kwa hili la vita dhidi ya corona, Marekani amekuwa akitofautiana na WHO kwenye baadhi ya mambo. Kuna watu hawaelewi lolote, wao lawama zote ni kwa Marekani tu

Usisahau kuwa anayetofautiana na WHO ni Trump siyo marekani.

Kuwa Magufuli kaamua kujikita kwenye nyungu na mitishamba hakumaanishi Tanzania imeamua kujikita kwenye nyungu na mitishamba.
 
Unapata tabu sana wakati umepewa OPTION hujalazimishwa,wewe ukiona una wasiwasi jilockdown wewe na familia yako muendelee kuheza kidali po,mpaka utapoona kwa mtizamo wako Corona imeisha utatoka nje.

Wengine option yao ni kutoka nje na kuendelea kuwatafutia ugali watoto wao,kwani hali zao za kiuchumi wana zijua wenyewe,wewe ambaye account yako imenona bank endelea kujipiga lockdown HUJAKATAZWA.
 
Acha kuonesha ukengeufu wako hapa. Anatrebd kwa sababu mataifa mbali mbali wameanza kumwelewa kuhusu hatua akizovmchukua wakati huu wa kanga. He saw what other presidents/ leaders didn't see. Kwa sababu wewe ni team ufipa utabisha

Mkuu bila shaka ongezea na trending zingine hapa chini:

IMG_20200520_121947_480.jpg


Zote hizi ni real mkuu.

Relax.

Ngoja tupige nyungu kwanza.
 
Unapata tabu sana wakati umepewa OPTION hujalazimishwa,wewe ukiona una wasiwasi jilockdown wewe na familia yako muendelee kuheza kidali po,mpaka utapoona kwa mtizamo wako Corona imeisha utatoka nje.

Wengine option yao ni kutoka nje na kuendelea kuwatafutia ugali watoto wao,kwani hali zao za kiuchumi wana zijua wenyewe,wewe ambaye account yako imenona bank endelea kujipiga lockdown HUJAKATAZWA.

Uko nje ya mada ambapo mada iko wazi:

"kuishi na Corona".

Hata hivyo usijali kwa maana "itifaki yote imezingatiwa".
 
Uko nje ya mada ambapo mada iko wazi:

"kuishi na Corona".

Hata hivyo usijali kwa maana "itifaki yote imezingatiwa".
Niko nje ya mada sababu SIJAJIBU UTAKAVYO WEWE naona UNA MAJIBU YAKO hii JF ni jukwaa HURU.
 
Mto mada hujafanya kuchungulia who wanafanya nini dhidi ya corona Europ na Afrika, kuna kitu kimejificha ambacho hukijui ila unakimbilia, oooh who ni wanasayansi..!.

Hivi kuna mzungu/beberu anayekupenda kwa dhati wewe mtu mweusi, mmh?
 
kuna mambo yanachanganya sana, ngoja tusubiri nani ataibuka mshindi.
 
Ongeza marekani, Sweden n.k
. So uzi wako unalengo la kupraize Kenya na kutufanya sisi hatuna maana?

Wasiwasi wako tu. Niongeze marekani na Sweden wapi?

Kwa mada ipi unaandika mkuu?

Praise za Kenya unazionea wapi?
 
Back
Top Bottom