- Thread starter
- #61
Lengo la mtu utalijua tu.. The way ulivyowasilisha mada na unavyowapaka mafuta wakenya na kuikandia Tz ata mifano yako uliyotoa.. Umeiweka Tanzania na nchi ambazo kwa mtu makini anaweza ona thairi lengo lako.
Unaweza 'kulijua lijua tu' lengo la mtu kama wewe ni kibwetere.
Mkuu kama wewe si kibwetere soma mada na mawazo huru kuelewa mambo.
Haya ya kudandia treni kwa mbele yatakupelekeni kwingine ambako haikuwa safari yenu.