Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Acha kuonesha ukengeufu wako hapa. Anatrend kwa sababu mataifa mbali mbali wameanza kumwelewa kuhusu hatua alizochukua wakati huu wa janga. He saw what other presidents/ leaders didn't see. Kwa sababu wewe ni team ufipa utabishaNani anapinga kuwa ha trend sana? Lakini je ana trend kwenye yapi?
Kwamba "hawaweki mtandaoni wengi"
Waafrika wengi sana mna upumbavu wa kujidharau na kutukuza vya mzungu mshenzi, katika gonjwa hili JPM ni mshindi na gumzo duniani japo wanaficha,lakini mnatokea wa kudharau na kumuona mzungu kua ni kila kitu,kinachoendelea wala hakionekani mitaani wala kwa ndugu zetu wala kwa majirani,marafiki huko mikoani kote...
Mara zote mpumbavu hujidhania kua anajua kila kitu kama wewe.Mkuu wenzio kina "bia yenu" waonapo itifaki kuzingatiwa huwa wanaelewa na kulala mbele.
Huu upumbaav wako wa kumtukuza mzungu na kujidharau unauokota wapi? Jikite kwenye mada kuona hayo labda utakuwa umeyaokota ulipokuwa ukikatiza jalalani...
Mara zote mpumbavu hujidhania kua anajua kila kitu kama weww.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kwenye iyo tafrija tutashangilia pamoja na makonda au atabaki na familia yake amejifungia ndani, na magufuli apewe taarifa uku mjini Corona imeisha arudi Daslamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali wewe umeweka wazi kwamba kwa hili la vita dhidi ya corona, Marekani amekuwa akitofautiana na WHO kwenye baadhi ya mambo. Kuna watu hawaelewi lolote, wao lawama zote ni kwa Marekani tu
Acha kuonesha ukengeufu wako hapa. Anatrebd kwa sababu mataifa mbali mbali wameanza kumwelewa kuhusu hatua akizovmchukua wakati huu wa kanga. He saw what other presidents/ leaders didn't see. Kwa sababu wewe ni team ufipa utabisha
Unapata tabu sana wakati umepewa OPTION hujalazimishwa,wewe ukiona una wasiwasi jilockdown wewe na familia yako muendelee kuheza kidali po,mpaka utapoona kwa mtizamo wako Corona imeisha utatoka nje.
Wengine option yao ni kutoka nje na kuendelea kuwatafutia ugali watoto wao,kwani hali zao za kiuchumi wana zijua wenyewe,wewe ambaye account yako imenona bank endelea kujipiga lockdown HUJAKATAZWA.
Niko nje ya mada sababu SIJAJIBU UTAKAVYO WEWE naona UNA MAJIBU YAKO hii JF ni jukwaa HURU.Uko nje ya mada ambapo mada iko wazi:
"kuishi na Corona".
Hata hivyo usijali kwa maana "itifaki yote imezingatiwa".
Wenzio wamekufa wewe kwa sababu uko hai basi hao waliokufa shauri yao!Kwendeni huko mmeanza kusema tusubiri, sijui Corona itatunyoosha karibia miezi mitatu na bado tunadunda.
Mtasubiri sana...
Uko nje ya mada ambako mada iko wazi:
"kuishi na Corona".
Hata hivyo usijali kwa maana "itifaki yote imezingatiwa".
Niko nje ya mada sababu SIJAJIBU UTAKAVYO WEWE naona UNA MAJIBU YAKO hii JF ni jukwaa HURU.
Ongeza marekani, Sweden n.k
. So uzi wako unalengo la kupraize Kenya na kutufanya sisi hatuna maana?