Lengo la mtu utalijua tu.. The way ulivyowasilisha mada na unavyowapaka mafuta wakenya na kuikandia Tz ata mifano yako uliyotoa.. Umeiweka Tanzania na nchi ambazo kwa mtu makini anaweza ona thairi lengo lako.
Mto mada hujafanya kuchungulia who wanafanya nini dhidi ya corona Europ na Afrika, kuna kitu kimejificha ambacho hukijui ila unakimbilia, oooh who ni wanasayansi..!.
Hivi kuna mzungu/beberu anayekupenda kwa dhati wewe mtu mweusi, mmh?
Naandika kwa maada na nimejibu nitakavyo mimi na si utakavyo wewe na majibu yakoUnaandika kwa mada ipi mkuu?
Hamia Kenya mkuu... Tuachie nchi yetu
Hahah daah mimi siwezi kua njiwa mkuu, mpk nimuone Nuhu mwenyewe ametoka kwanza kwny safina akiendelea na maisha yake ya kawaida mtaani na mimi ndio nitatoka.
Lockdown ya Kenya nayo usanii mtupu asubuhi mpaka jioni ruksa kufanya shughuli zenu,Kuanzia saa moja mpaka 12 alfajiri lockdown,sasa sijajua hao virus vya Corona Kuanzia asubuhi mpaka jioni huwaga wamelala.
Naandika kwa maada na nimejibu nitakavyo mimi na si utakavyo wewe na majibu yako
Haaa haaaa haaaa kumbe wewe unataka tujibu utakavyo wewe.Ha haa haa.
Kumbe wewe unaandika kwa mada utakayo wewe na wala siyo hii iliyotukanisha hapa?
Ndiyo sababu unaonekana kuwa unabwabwaja hovyo tu mkuu.
Utakuwa umeingia choo kingine mkuu.
Milangoni kuna maelekezo ya jinsia. Jitahidi kuzingatia.
Haaa haaaa haaaa kumbe wewe unataka tujibu utakavyo wewe.
Kwa kuwa una majibu yako ndio maana una niona nina bwabwaja,ila wewe kama unataka lockdown kaa wewe na mke wako mcheze kidali po,wenzenu wasio kuwa na hela option yao ni kutoka nje kuwatafutia watoto wao ugali.
Lockdown ya Kenya nayo usanii mtupu asubuhi mpaka jioni ruksa kufanya shughuli zenu,Kuanzia saa moja mpaka 12 alfajiri lockdown,sasa sijajua hao virus vya Corona Kuanzia asubuhi mpaka jioni huwaga wamelala.
Mods waiweke hii comment iwe nambari mokoNingependa kuwaambia kisa flani cha kwenye bible hao Jamaa wanaojiandaa kwenda ku-party hio J2 kusherekea 'kumalizika' kwa Corona:
Baada gharika kuisha Nuhu akaona amtume Njiwa nje ya Safina ili kuona vipi hali ikoje huko nje,maji yameisha au lah ili aone kama anaweza kutoka nje ya safina au la.
Sasa wajiulize kwa mazingira tuliyonayo Njiwa anaweza kua nani?
"Mnyama mkali anapo paswa kuwa? WAPI huyo mnyana anapopaswa kuwa?Kwani pana nini mkuu? Mada nzima nimeiweka tena summary yake hapa:
View attachment 1454878
Sioni tatizo popote.
Labda tusaidiane tatizo liko wapi?
Covid imetufanya tutambulike ulimwenguni, tumekuwa kituko sana,kituko hiko kinaonekana kupitia mtu fulani
"Mnyama mkali anapo paswa kuwa? WAPI huyo mnyana anapopaswa kuwa?
Manake unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma.
Mnyama anaposwa kuwa wapi?Si utaje sehemu anakuwa wapi? ETI ANAPO PASWA KUWA ππSoma kwenye mada imeelezwa mnyama mkali anapaswa kuwekwa wapi. Unayezunguka kuliko dawa ya mbu ni wewe. Usingekuwa dawa ya mbu ungekuwa umeona mwenyewe na usingekuja hapa na swali fyongo kama hilo!
Wewe ambae haumtukuzi mzungu kitu gani umekifanya kuliko hao wazungu? Kwanini mnaendekeza mihemko kuliko logic? Mbona ukiumwa unaenda hospitali kupigwa ma exray? Dawa zote unazozitumia zinatengenezwa nani? ,Magufuli hapo alipo kila kitu anatumia cha mzungu kuanzia suti zake, magari, simu, Tv na vitu vingne.Waafrika wengi sana mna upumbavu wa kujidharau na kutukuza vya mzungu mshenzi, katika gonjwa hili JPM ni mshindi na gumzo duniani japo wanaficha,.
Lakini mnatokea wa kudharau na kumuona mzungu kua ni kila kitu,kinachoendelea wala hakionekani mitaani wala kwa ndugu zetu wala kwa majirani,marafiki huko mikoani kote.
Tatizo lipo lakini linadunda kwa ngozi nyeusi,watu hawa sisi hutembea na Maralia, Typhod, Kichocho, Madonda ya tumbo na tunaanza kutibu kimoja kimoja huku tukiendelea na shughuli zetu ije iwe hii mafua?
Nyie vibaraka mnakuja na ngonjera chungu mzima wapuuzi wakubwa nyie..RAIS wetu ni zaidi ya kina Tyson na Mohamed Alli iwapo angekua ulingoni
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Mnyama anaposwa kuwa wapi?Si utaje sehemu anakuwa wapi? ETI ANAPO PASWA KUWA ππ