Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

Majanga gan? Jitahid uache asset mkuu. Ukifa na hawana kitu,hata hyo nyumba wataiweka sokoni.
SIku hazifanani tafuta asset ukiwa Kwako no body knows about tomorrow...

Hasa hapa Tanzania ulaya Sawa unaweza kupanga mpaka unakufa
,
 
Ni bora ni keshe bar na mademu wa kila aina sijui maswala ya kujenga sijui kununua gari ya kazi gani??
Watu siku hizi wanakufa mapema sana.
Ni wekeze alafu ela zangu aje kula bwege mmoja hata simjui.
Au niache pesa zangu waje kuuana bure ya kazi gani.
Watoto wangu waje kurogwa ya kazi gani.
Mimi sijazaa machizi bana nimezaa watoto wazima wa akili sitaki hata mmoja aje kuwa chizi.
Nakula bata kwanzia January mpaka disemba.
Kazi nafanya tena kwa umahiri mkubwa sana.
Tena nikiwa tungi na hakuna anayejua.
Nalala na pombe nahamka na pombe.
Sina stress za maisha sijui nijenge wapi ili iweje.

Ninunue gari la nini wakati na miguu.
Kwanza mjini hakuna raha ya kuendesha gari.
Mwisho wa siku nitalipark alafu lipate kutu kwenye engine.

Nasema hivi bata tu bata tu bata
Mpaka kuku aone wivu.
Mangi shangali hapa cha pombe.

Napenda pombe sana yani asilimia 75% ya mwili wangu ni alcohol water.
Pombe yenyewe yesu aliibariki
 
[emoji3][emoji3] Ponda mali kufa kwajaaaaa....!!!
 
Kwenye kuwekeza kuna mawili

1)win
2)loss

Wekeza taratibu,huku ukijenga usipeleke mtaji wote kwenye kuwekeza
Hakika Kuna Jambo la kujifunza kutoka kwenye huu Uzi.Hongera Sana mkuu kwa elimu yako nzuri
 
Kula bia kula bata na watoto vifaranga wake
 
Sjaelewa unaposema wanasiasa kama mawaziri wanapata pesa kutokana na mifumo isiyo rasmi... mifumo isiyorasmi ni ipi inayowapatia pesa hawa watu?
 
Nmekuleta site kwangu uone hatua niliyofika umekuja kutangaza huku

Sasa elimu ya biashara sina ulitaka ifilisike uje kunicheka tena huku

DAH
 

Ni uongo kusema Kariakoo mwaka 1990 kiwanja kilikuwa kinauza laki.

Viwanja yombo vituka viliuzwa kwa laki mbili mpaka tatu mwaka 1988..

Baba yangu alinunua kiwanja enzi hizo yombo.. sasa why useme kariakoo mwaka 90 viwanja vilikuwa laki.


Viwanja vya kariakoo mpaka mwaka 1961 tunapata uhuru..tayari vilikuwa havigusiki...

Kariakoo na posta ni mjini kitambo
 
mkuu mm nimeishi kariakoo miaka ya mwanzoni ya 90s nikiwa mdogo wakati ambapo nyumba nyingi zilikuwa za tope na mawe..enzi hizo kariakoo baadhi ya maeneo yalikuwa uswahilini sana na barabara mbovu sana..hizo nyumba zilikuwa squata na wenyeji wake walikuwa wazaramo&wandengereko..kuna maeneo laki tisa yaliuzwa hasa uelekeo wa jangwani...maeneo ya katikati ya kariakoo kama DDC & msimbazi yalikuwa bei ya juu maana yalishachangamka!
 
1.) Tungekuwa tunapanga nyumba za serikali hapo sawa LAKINI nyumba ya mstaafu kilasiku anaikagua na kunisimulia alivyojibana kujenga hapana aisee... Nasasa huwezi kujenga town center inabidi utoke kidogo
2.) Usafiri wa daladala kugombania,kushika bomba na kucheleweshwa job kilasiku huku umeulamba nayo haifai ntatafuta kagari kakunilinda mjini.
3.) Biashara inaweza kukuchomesha ukafukuzwa hadi nyumba yakupanga kwakukosa Kodi ukadhalilika na familia yako ama ukajikuta umechanganyikiwa unaingia kwakila mganga mpaka ukakosa pakuchanjwa!!
Kilamtu ajiangalie Aishi Kwa maarifa na uelekeo unaomfaa hatuwezi kuigana wooote tuanze na biashara/uwekezaji!! Wengine tutakuja baadae tukishajiweka kimkakati.
 
Word[emoji106]
 
Hongera mkuu somo zuri.
 
Kupanga ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…