Uko sahihi mkuu...Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Masikini nyie bwana yaani kwao wanahisi nyumba ndiyo kila kitu! MlaaniweDah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Nani kasema ndio kila kitu bro... Alafu kila mtu na priority zake acha kutoa maneno kama hayo even if kama hauko interestingMasikini nyie bwana yaani kwao wanahisi nyumba ndiyo kila kitu! Mlaaniwe
Yaani wanawaza kujenga na kusubr kufa..hawawazi hata kumiliki biashara kubwa,matokeo yake umaskini unaenda kizazi hadi kizazi.hakuna anaye waza nje ya box,hawawazi hata angalau watoto wakute wazazi walifanya uwekezaji ili watoto waendeleze.Masikini nyie bwana yaani kwao wanahisi nyumba ndiyo kila kitu! Mlaaniwe
🤣🤣🤣NIACHE BHANAAsali huleta usingizi mtamu na wa haraka!!
Lamba vijiko mbili au tatu!
Mwisho jf saa nne!
Umemwekea mwanangu neti!!?
Au hakuna mbu!!?
Kwa hiyo kujenga sio muhimu?kama unaenda chooni kwa shemeji yako unaweza ukaona sio muhimuYaani wanawaza kujenga na kusubr kufa..hawawazi hata kumiliki biashara kubwa,matokeo yake umaskini unaenda kizazi hadi kizazi.hakuna anaye waza nje ya box,hawawazi hata angalau watoto wakute wazazi walifanya uwekezaji ili watoto waendeleze.
Ni muhimu,lakini kuna mengi makubwa ya kupewa umuhimu..nyumba ni basic need,siyo issue ya ku struggle kihivyo.Kwa hiyo kujenga sio muhimu?kama unaenda chooni kwa shemeji yako unaweza ukaona sio muhimu
Kweli aisee, ndo maana misukule na mauza uza hayaishi bongo, kumbe ni jamaa anapiga misele kwenye geto lakeSasa unajenga... ile unamalizia ujenzi tu unadedi... wahuni wanakuja kumla wife tunda kimasihara kwenye nyumba yako
Kama una family [emoji128] na unakaa nyumba ya kupanga then bado Ada za shule ,matumizi ya family lazima utafikiria ujenzi ili ikupungunzie mzigo mf unalipa kodi laki 2 au 3 kwa mwaka 3.6 M ,ukijenga means unaweza struggle kwa kipindi kifupi but baadae hiyo hela unaipeleka shule na mambo mengine binafsi huku ukiwa ndani ya nyumba yakoNi muhimu,lakini kuna mengi makubwa ya kupewa umuhimu..nyumba ni basic need,siyo issue ya ku struggle kihivyo.
Fanya ufanyavyo, hakikisha hukutanishi ADA ya mtoto wako wa kumzaa, na UJENZIDah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Yaani wanawaza kujenga na kusubr kufa..hawawazi hata kumiliki biashara kubwa,matokeo yake umaskini unaenda kizazi hadi kizazi.hakuna anaye waza nje ya box,hawawazi hata angalau watoto wakute wazazi walifanya uwekezaji ili watoto waendeleze.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu acha uoga tunapambana kama jinsia ya kiume ada tunaitenga na ujenzi tunapambana noa na sherehe pia tunaudhuria.Fanya ufanyavyo, hakikisha hukutanishi ADA ya mtoto wajo wa kumzaa, na UJENZI
We pambana. Na huko kutokukutanisha ada na ujenzi, namaanisha kwa nyumba ya kwanza..!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu acha uoga tunapambana kama jinsia ya kiume ada tunaitenga na ujenzi tunapambana noa na sherehe pia tunaudhuria.
Yaani wewe unaonekana una stress sanaKabisa hiyo ndiyo akili za hawa mijitu sijui ikoje aisee