ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Too theoretical ingawa ukweli kwamba atasevu 700,000 hana hiyo jeuri alijitahidi sana Kwa kujibana ni 400k..Hela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m. Kama umeanza kujenga na miaka 40 unaingia nyumba ukiwa 60yrs
Achana mambo ya shilinngi ngapi tunaposema nyumba ndogo tunainanisha nyumba standard ambayo familia inaweza kukaa haina mambo mengi na unaweza ijenga ikaisha katika ultraNyumba ndogo ndo ya shillkng ngapi? vyumba vingapi wakati una watoto wa kike na kiume, hapo unajipa pressure ya kujenga nyumba nyingine mbeleni
Ukisema usijenge Kwa haraka ukivuta mapema au kupoteza uwezo wa kutafuta Kwa ugonjwa nk hakuna mtu rangi utaacha kuona,so Bora ujenge ukija kufa mapema sio kesi Mzee hakuna maana ya kuwahi au kuchelewa kufaBado hiyo nyumba unayoijenga kwa tabu,ukiishimo sana ni 15 years,kisha utamwachia huyo Mkeo ambaye hata haja struggle kuipata kama wewe.
Dunia haipo fair kabisa kwa upande wa Mwanaume.
Si ndio hapo,huyo Jamaa anazungumzia maofisa wa taasisi nzuri ila majority hawako huko..Embu mkuu njoo na Hesabu ya kima Cha chini Cha mshahara serikarini ili tuone hiyo hesabu
Weeee Bora utangulie kufa,utaweza ghasia za nyumbani kwenye umri mkubwa wewe?Kwahiyo mkuu tufanye je tuoe wanao tuzidi umri ili watutagulie kufa.
Hapa lazima uugue ugonjwa wa nguvu za kiume kwa muda.Majukumu kibao mkuu huku Kodi, matumizi ya daily , wazazi upige tufu kidg na ada za watoto na matumizi yao ya kila siku shule sio kitoto lazima kichwa kiumee alafu na umri nao ndo unatupa mkono dah
Hayo mawazo huja kama una nafasi yaani maisha Sasa Kwa nini uwaze hivyo Jenga nyingine Ardhi haijaishaTatizo la kuwahi kujenga ni pale unapogundua kia ramani yako ni old fashioned!!
HUWA inauma sana unakuta wenzio wanajenga Brand New Bungalows!!
Mkuu kazi zetu posh zitoke wapi ni kujibana na mshahara wako tu, tena hapo ujaweka ada ya watoto wakina junior and BrainToo theoretical ingawa ukweli kwamba atasevu 700,000 hana hiyo jeuri alijitahidi sana Kwa kujibana ni 400k..
Omba kuwe na posho la sivyo matumizi ya hela ni makubwa sana kijamii
Kweli wakati mwingine ni kupeleka mbele majukumu ni Bora ujenge hata kama haitaishaa utamalizia mbele kwa mbeleNyumba ndogo ndo ya shillkng ngapi? vyumba vingapi wakati una watoto wa kike na kiume, hapo unajipa pressure ya kujenga nyumba nyingine mbeleni
Hapoo Sasa ndio mtihani wenyewe mpk kichwa kinaumaaNyumban kwa wazazi unapigiwa simu unaambiwa hatuna ela ya kula....
Hujakaaa sawa umeungwa kwenye group la michango, afu unaambiwa ahidi...
Hujakaa sawa unaambiwa gesi inaisha, ila ya nondo ipunguze ununue gas....
Nyie wanaume tumeumbwa mateso
Kweli kabisaa broUkweli ni huo, kijana kama unajishugulisha na unapata kipato anza sasa kuwekeza kwenye ujenzi, wale wenye ajira za uhakika inaweza kuwa rahisi.
Ila wale kwenye mvua, jua vyote ni vyao hakika pambana kuitafuta shilingi na uwekeze, issue ya uwekezaji sasa, maana kuna changamoto sana baadaye.
[emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa bhana mawazo gani hayo xaxa
Sasa unajenga... ile unamalizia ujenzi tu unadedi... wahuni wanakuja kumla wife tunda kimasihara kwenye nyumba yako
Wewe tajiri ndo ukaamua kuwa NesiMasikini nyie bwana yaani kwao wanahisi nyumba ndiyo kila kitu! Mlaaniwe
Hilo li Nesi litakuwa li simbe ndo mana lina stress za kuolewaOna kama hili limbukeni, Sasa kauli gan hizo za kuita wenzako masikini na kusema walaaniwe kisa wanadiscuss maswala ya kujenga, kama kuna Uzi ambao hauflow kwenye priorities zako unakaa kimya,Yan kwamba watu wakiwa wanadiscuss maswala ya kujenga wewe unawaita masikini na kusema walaaniwe, uko timamu kweli?
Na ukiimaliza kama umeoa kichaa anaanza vitimbwi mgawane 50 kwa 50Nyumban kwa wazazi unapigiwa simu unaambiwa hatuna ela ya kula....
Hujakaaa sawa umeungwa kwenye group la michango, afu unaambiwa ahidi...
Hujakaa sawa unaambiwa gesi inaisha, ila ya nondo ipunguze ununue gas....
Nyie wanaume tumeumbwa mateso
Hii ndio huwa inakatisha tamaa kwenye hizo mambo...esp kama kipato cha chini...ukiwaza kuwa kunawatu wanaeza chukua hizi mali effortlesslyNa ukiimaliza kama umeoa kichaa anaanza vitimbwi mgawane 50 kwa 50
35xaxa-sasa
how old are you?
AhsanteDah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.